rais

  1. Mbeya: Agizo la Rais Magufuli la kugawa eneo la Airport ya zamani kwa wamachinga latekelezwa

    Ikumbukwe eneo hilo liliombwa kwa Mh. Rais na Naibu spika Dr. Tulia siku ya tarehe 26 April 2019. Zaidi soma https://www.jamiiforums.com/threads/mbeya-rais-magufuli-ahutubia-wananchi-uwanja-wa-ruanda-nzovwe-agusia-usajili-wa-laini-na-machinga.1577226/ Tangu juzi wafanyabiashara wadogo wadogo...
  2. Dar es Salaam: Rais Magufuli aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumanne Januari 14, 2020 ameongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu jijini Dar es salaam.
  3. Rais Mstaafu wa Kenya Mtuku Daniel Arap Moi (95) ni mgonjwa mahututi

    Rais Mstaafu wa Kenya Daniel Arap Moi (miaka 95) yuko katika chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu (ICU) Hospitali ya Nairobi. Amekuwa akilazwa na kuruhusiwa hospitalini hapo mara nne toka Oktoba 2019, ambapo mwanzo alitibiwa kwa tatizo la maji kujaa kwenye mapafu.
  4. Kura yangu ni asilimia 100% kwa Tundu Lissu

    .
  5. J

    Je, kiitifaki Waziri mkuu wa Tanzania ni mkuu kuliko Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar?

    Nauliza kwa wale watu wanaoelewa vizuri mambo ya itifaki. Katika sherehe za mapinduzi Zanzibar, Waziri mkuu mh Majaliwa aliingia uwanjani baada ya makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar mh Idd Seif kuwa ameshaingia na wakati wa kuondoka alianza waziri mkuu kabla ya balozi Seif. Karibu kwa...
  6. J

    Sherehe za Mapinduzi uwanja wa Amani Zanzibar Rais Magufuli na Dr Shein kuhudhuria

    Sherehe hizi zitarushwa mubashara kupitia TBC, Channel ten, Azam tv, ITV nk Rais Magufuli wa JMT na Rais Shein wa Zanzibar watawaongoza maelfu ya watanzania katika maadhimisho hayo. Karibuni! Up dates; Viongozi wastaafu wameshaingia ukumbini wakiwemo mzee Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Sumaye...
  7. J

    Rais Magufuli: Wasukuma na Wanyamwezi wengi walikuja Zanzibar na kutorudi tena usukumani akiwemo baba yangu mkubwa

    Rais Magufuli amesema Zanzibar ni kisiwa cha raha hata watanzania bara wengi wanapohitaji kupumzika huja Zanzibar. Rais Magufuli amesema hata kaka wa baba yake alikuja Zanzibar na kubakia huko huko kama ilivyokuwa kwa wasukuma na wanyamwezi wengi. Chanzo: Channel ten
  8. J

    Live ITV: Rais Magufuli anafungua Hotel ya Verde Azam Luxury Resort & SPA mtoni jijini Zanzibar inayomilikiwa na S S Bakhresa

    Ni tukio kubwa na la kihistoria kwani hii ni hoteli ya kipekee kabisa nchini Tanzania, Afrika mashariki na kusini mwa jangwa la Sahara. Karibuni!
  9. Rais Magufuli kufanya ziara ya siku 5 Zanzibar, kuzindua jengo la TISS Zanzibar

    Baada ya likizo ya mwisho wa mwaka, kesho Rais Magufuli ataanza ziara ya siku 5 Zanzibar ikiwa ni pamoja na kuhudhuria sherehe ya mapinduzi Zanzibar tarehe 12 mwezi huu. Pia Mh. Rais atazindua jengo la makao makuu ya Usalama wa Taifa kisiwani Zanzibar katika ziara yake Zaidi. soma: Zanzibar...
  10. Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita Meya anyang’anywa gari, ofisi yafungwa. Adai kuwa yeye bado ni Meya halali

    Meya Jiji la Dar es Salaam, nchini Tanzania Isaya Mwita amejikuta njia panda baada ya kunyang’anywa gari alilokuwa akilitumia ambalo linamilikiwa na halmashauri hiyo muda mchache baada ya uamuzi wa mkutano mkuu kutoa uamuzi dhidi ya tuhuma dhidi yake. Mkutano huo umefanyika leo Alhamisi...
  11. I

    Kwanini kila Rais wa Marekani sharti aondoke na kichwa cha mtu mtata?

    bush senior aliuondoa ubabe wa iraq ndani ya kuwait. clinton sikumbuki. ila nakumbuka ishu ya monika lewinski 🤣 bush mtoto alikomesha utawala wa talenan, akala kichwa cha saddam obama akala kichwa ya osama, rest in peace. trump kala hii kamanda ya magaidi ya iran kassimu. wakongwe wa zamani...
  12. Marekani yazuia mali za Makamu wa Kwanza wa Rais wa Sudani Taban Deng Ga

    Serikali ya Washington imeamua kumuadhibu Makamu wa Kwanza wa Rais, Taban Deng Gai. Marekani inaendelea kuiwekea shinikizo Juba wakati mchakato wa amani unaendelea kucheleweshwa. Serikali ya Umoja imepangwa kuundwa hadi mwezi Februari. Wizara ya Fedha imeamua kuzuia mali za Taban Deng Gai...
  13. T

    Mmekuwa mkimharibia sana Rais na mwishowe kumjengea chuki kwa wananchi wake

    Hata kama inafikiriwa ni watu wachache tu wanafikia hatua ya kuchukizwa na baadhi ya vitendo vya Rais na kuwa haiwezi kuathiri yeye kukosa Urais kwenye uchaguzi ujao bado kuna madhara makubwa sana yanayotokana na kuchukizwa huko na kumwathiri yeye katika maisha ya Urais na hata ya kutokuwa Rais...
  14. Rais Museveni wa Uganda akipigiwa magoti na wazee huku akitoa pesa kwenye bahasha za khaki

    Rais Yoweri Kaguta Museven wa Uganda akiwa ameketi huku wazee wakimpigia magoti na kupewa chochote kwenye bahasha ya kaki. Ikumbukwe kuwa uchaguzi nchini Uganda unatarajiwa kufanyika mwakani February 9, 2021. Kiongozi huyo wa taifa la Uganda ameongoza Uganda kwa takribani ya miaka 34 hadi...
  15. Ufilipino: Vita ya Rais Rodrigo Duterte dhidi ya dawa za kulevya "imeshindwa vibaya"

    Makamu wa rais wa Ufilipino ameitaja vita ya Rais wa taifa hilo, Rodrigo Duterte, dhidi ya dawa za kulevya kuwa imeshindwa. Leni Robredo alisema ni asilimia 1 tu ya makadirio ya dawa za kusisimua zilizosambaa nchini humo aina ya 'Methamphetamine' almaarufu nchini Ufilipino kama "Shabu"...
  16. R

    Kamau: Rais Magufuli adhibitiwe na EAC, amevuka mipaka!

    MNAMO Novemba 5, 1984, kinara wa ODM Raila Odinga alifahamishwa kuhusu kifo cha mamake, Bi Mary Juma ikiwa imepita muda wa miezi miwili tangu afariki. Mary alifariki mnamo Septemba 1984, lakini Bw Odinga hakuwa na ufahamu wowote kuhusu tukio hilo kwa kuwa alikuwa akitumikia kifungo katika...
  17. GE2020 Siku hazigandi, mwaka 2020 aliotangaza Rais Magufuli kuwa ndiyo mwaka wa kufanya mikutano ya kisiasa, kwa vyama vya upinzani, ndio huo ushafika

    Mara tu baada ya kuapishwa kuwa Rais wa nchi hii, Rais Magufuli alivipiga marufuku vyama vya upinzani nchini kutofanya mikutano ya kisiasa hadi mwaka 2020, kwa madai kuwa uchaguzi umekwisha, kwa hiyo huo ni wakati wa kufanya kazi na siyo wakati wa kampeni. Wakati akitangaza hivyo Rais Magufuli...
  18. Is this true? Eti Rais Uhuru na Raila walimsaidia kichini chini Rais wa DRC kushinda urais

    Kenyatta, Odinga helped DR Congo's Tshisekedi win presidential poll Kenya's President Uhuru Kenyatta (left) welcomes the President of the Democratic Republic of the Congo Felix Tshisekedi at State House, Nairobi on February 6, 2019. PHOTO | PSCU Kenyan President Uhuru Kenyatta and opposition...
  19. Sikukuu zimeisha, Rais Magufuli tunakuomba uanze ziara

    Naandika hivi ni kwa sababu Mh Rais unapokuwa katika ziara zako hapo ndipo kero za wananchi huibuliwa na kutatuliwa. Maana wengi wa wasaidizi wako ni kama hawana msaada kwa wananchi. Misafara yako inaposimama kila mahali hapo ndipo akina mama na wazee walioonewa na kudhulumiwa huwa unawasaidia...
  20. K

    Rais Magufuli na CCM mpya kwa Tanzania imara: Falsafa inayojenga mtazamo chanya kwa watanzania juu ya CCM

    Tukiwa tumeuanza mwaka 2020, mwaka wenye tukio muhimu la uchaguzi mkuu , uchaguzi unaotazamiwa na wengi kuwa ndio uchaguzi utakaoanzisha mwanzo wa mwisho wa siasa za upinzani hasa wa vyama vya uchaguzi kama Katibu Mkuu wa CCM ndg.Dkt. Bashiru anavyopenda kuviita na muendelezo wa falsafa wa CCM...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…