Rais Mstaafu wa Kenya Mtuku Daniel Arap Moi (95) ni mgonjwa mahututi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,272
Rais Mstaafu wa Kenya Daniel Arap Moi (miaka 95) yuko katika chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu (ICU) Hospitali ya Nairobi. Amekuwa akilazwa na kuruhusiwa hospitalini hapo mara nne toka Oktoba 2019, ambapo mwanzo alitibiwa kwa tatizo la maji kujaa kwenye mapafu.

1578954284613.jpeg
 
Poleni Sana Wakenya
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Atapata Afya Yake Njema Kupitia Tiba
 
Umri wa mwanadamu ni miaka 70 na akiwa na nguvu ni miaka 80 baada ya hapo unaishi miaka ya ubatili
Rais Mstaafu wa Kenya Daniel arap Moi (miaka 95) yuko katika chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu (ICU) Hospitali ya Nairobi. Amekuwa akilazwa na kuruhusiwa hospitalini hapo mara nne toka Oktoba 2019, ambapo mwanzo alitibiwa kwa tatizo la maji kujaa kwenye mapafu.

View attachment 1322484

Jr
 
Rais Mstaafu wa Kenya Daniel Arap Moi (miaka 95) yuko katika chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu (ICU) Hospitali ya Nairobi. Amekuwa akilazwa na kuruhusiwa hospitalini hapo mara nne toka Oktoba 2019, ambapo mwanzo alitibiwa kwa tatizo la maji kujaa kwenye mapafu.

View attachment 1322484
Alikuwa dictator kama Jiwe, acha life liende likumbane na hukumu ya Mungu iliyo ya haki! Liliua watu wengi na kuwapoteza kama ilivyo hapa leo!
 
Back
Top Bottom