Kwanza kimuonekano, njia panda ya TAZARA na njia panda ya Ubungo zote zipo sawa (Zime cross njia mbili kila moja). Ila moja ina flayover moja na nyingine ina mbili. Hii design ilitakiwa kuwa kitu tunaita "typical design" . Kwa kile walichofanya ni kama kuchafua tu mji kwa kuweka mazagazaga...
Wananchi wote tumemsikia Rais Magufuli akimuagiza waziri wa Fedha, Dkt Philipo Mpango "achote" pesa kiasi cha shilingi bilioni mbili kwenye Hazina ya Taifa, ndani ya saa 24 na awaletee wakandarasi ili zikamilishe ujenzi wa Ikulu wa Chamwino na akaendelea kumpiga mkwara mzito waziri huyo kuwa ole...
Lowassa aliletwa Chadema na TISS wakimtumia Apson na Gwajima bila Mbowe kujua ila baadae alikuja kugundua na hakutaka ajue chochote alifanya hivyo pia kwa Sumaye, Masha& Co. Mbowe baada ya kugundua alifanya makosa akaanza kuwafanyia ujasusi na kugundua wote walio kuja kutokea CCM na wimbi la...
Miongoni mwa kauli nzito aliyotoa Rais mstaafu wa awamu ya tatu mzee Benjamin Mkapa ni kuwa enzi za utawala wake vikao vyote vya baraza la usalama la taifa vilifanyikia mjini Dodoma.
Tafsiri yake ni kuwa kikao hiki kilikuwa kinajadili mambo ya siri za usalama wa nchi (Labda ikiwemo upotezaji)...
Kiukweli kila nikimtazama Rais Magufuli naona dhahiri amevuka level ya siasa za vyama na sasa anaitumikia nchi katika mustakabali mpana.
Kwa namna anavyoenenda ni ukweli ulio wazi Rais Magufuli anatumikia maslahi ya nchi japo kwa kuongozwa na Ilani ya CCM lakini kwa ubunifu binafsi wa kuleta...
Kiukweli kila nikimtazama Rais Magufuli naona dhahiri amevuka level ya siasa za vyama na sasa anaitumikia nchi katika mustakabali mpana.
Kwa namna anavyoenenda ni ukweli ulio wazi Rais Magufuli anatumikia maslahi ya nchi japo kwa kuongozwa na Ilani ya CCM lakini kwa ubunifu binafsi wa kuleta...
Badala ya kupigania wananchi wasife njaa, Rais wetu anataka tupate tabu ya chakula na kununua kwa bei ya juu. Kasema,-
“Niwaombe wakulima, msiuze chakula kwa bei ya chini, mwaka huu na mwaka unaokuja si mzuri sana, sasa tutunze chakula, na kama tunaamua kuuza basi tuuze kwa bei ya juu sana...
Marais wa awamu ya Pili hadi ya Tano wamehudhuria hapa mama maria nyerere yupo hapa pia kama mke wa mwasisi wa Taifa hili
Mh Rais amewazawadia marais wastafu zawadi ya ndege tausi 25 kila mmoja pamoja na hati za umiliki wa ndege hao, mc wa sherehe anasema tunao tausi zaidi ya 2800+
Ikulu ya...
January mwaka huu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof Palamagamba Kabudi alisema bila juhudi za Rais John Magufuli, fursa za kufundisha lugha ya Kiswahili Afrika Kusini in getupita… “Fursa hiyo ingepita si kwasababu nyingine yoyote ile, uzembe wetu wenyewe”
Aliyasema...
Rais anayemaliza muda wake Nkurunzinza pamoja na mkewe wamepimwa na kukutwa na Virusi ya Corona
=======
It is now emerging that Burundi’s President Pierre Nkurunzinza could after all have contracted Coronavirus (Covid-19).
Sources in Bujumbura close to Presidency indicate that soon after the...
Utamu wa ngoma ingia mwenyewe ucheze. Na ukitaka kujua ayafanyayo Dr John P Magufuli wewe ishi Tanzania na ukiwa nje ya Tanzania hakikisha ngoma ya masikio yako iko vizuri na kingine zaid kula mchicha wa kutosha ili mboni ya macho yako iwe na uwezo wa kuyaona ayafanyayo.
Wakati Dr John P...
Hali ya taharuki imetokea katika mji wa Meerut baada ya kundi la nyani kumvamia mfanyakazi wa maabara aliyekuwa amebeba sampuli za damu za wagonjwa wa COVID-19.
Nyani hao walikimbia baada ya kuiba sampuli tatu na kuzitafuna wakiwa juu ya mti. Tukio hili lilirekodiwa na camera ikimuonyesha...
Tumebakiza muda mfupi sana bunge kuvunjwa na kwenda kwenye ungwe nyingine ya hiena hiena.
Wengi tunajua Musa aliwavuja Israel bahari ya Shamu, na baadae Joshua akawavusha mto Jordan ili kuingia nchi ya ahadi. Sina shaka na ushindi wa Rais; ila kwa wabunge ambao baadhi yao ndiyo wanakuja kuwa...
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema katika kuikabili Corona mh Mbowe wa Chadema aliona shetani, majeneza na vifo ndio maana aliogopa na kukimbilia chumbani kujificha yeye na kundi lake.
Lakini Rais Magufuli alimwona Mungu akazipeleka haja zetu mbele zake, Mungu akatupigania nasi...
Hawa Burundi nao pia walijitutumua kwa kujifanya wakaidi na kugoma kufunga chochote, wakajisahau wao ni kainchi kadogo kenye watu wachache, hawana jeuri ya kustahimili vifo vingi kama maskini wenzao wenye idadi kubwa ya watu wa kupoteza na maisha bado yaendelee.
Sasa kirusi kimegonga ikulu na...
Mtu kati.
Ni moja ya wiki stressful sana kwa Job Ndugai.
Wakati huko jimboni kwake Kongwa wapiga kura wake wakimkana mbele ya mwenyekiti wa chama chake Magufuli, huku kuna wananchi wengine wanamburuza kortini.
Kesi hii inatarajiwa kuanza kusikilizwa tarehe 3 June 2020 katika Mahakama Kuu kwa...
Hayo yamesemwa na Dr. Elisha Osati, Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) leo Mei 27, 2020
FULL TEXT:
Leo tumekuja kuzungumza nanyi Waandishi wa Habari kuhusu tathmini ya Corona hapa nchini. Ikumbukwe tangu Corona imeingia hapa nchini Mwezi wa tatu kumekuwa na mambo mengi yakiwa...
Hussein Albelbagi, makamu wa tano wa Rais wa Sudan Kusini amekutwa na #CoronaVirus. Pia ni kiongozi wa tano kutangaza kuwa ana #COVIDI19
Sudan Kusini ilipata maambukizi ya kwanza ya #CoronaVirus Aprili 5, yaliyokutwa kwa mwanamke aliyeingia nchini humo Februari 28 akitokea Ethiopia
Awali Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.