rais

  1. Chakaza

    Ubalozi wa Marekani: Tumetiwa moyo na hakikisho la Rais Magufuli kwamba uchaguzi mkuu 2020 utakuwa huru, wa haki na wenye uwazi

    Tamko hili ni kama agizo juu ya kauli aliyotoa Rais Magufuli juu ya uchaguzi mkuu wa 2020. Hilo suala la Tume huru ya uchaguzi halijaingizwa hapo kwa bahati mbaya bali linaonyesha lina kusudio maalumu. Haya US wamepiga kulia huku kushoto WB wametwanga kivingine. Hakika mwaka huu kuna makubwa...
  2. Full 8

    Nenda Lugola, Bodaboda watakukumbuka

    Duniani kila kitu kina pande mbili, wema na ubaya, mbele na nyuma bila kusahau juu na chini. Siko hapa kuongelea mabaya ya Kangi Lugola maana atayaongelea mwingine. Mimi naongelea jambo moja tu ambalo ni miongoni mwa mazuri mengi aliyoyafanya katika kipindi kifupi cha uongozi wake. Bodaboda...
  3. S

    Watanzania tumtumieni Rais Magufuli vizuri, Akiondoka tutamkumbuka sana

    Najua kuna watu ambao hawataelewa ninachotaka kusema ila wacha niseme tu. Tangu wamau ya kwanza watu wamekuwa wakisubiri tu siku watakapopata kiongozi bora atakayeleta neema.Enzi za baba wa taifa watu hawakumtumia vizuri alipoondoka akaja Mzee ruksa akafanya yake naye watu hawakumtumia vizuri...
  4. Chagu wa Malunde

    Kauli yenye akili ya Simbachawene: Mh Rais mimi sina nyota hata moja hivyo jukumu la kuvisimamia vyombo vya dola ni lako Amiri Jeshi mkuu

    Naomba niweke wazi hapa nahitaji kueleweshwa juu ya hili suala. Katika hotuba yake Waziri wa mambo ya ndani alidokeza juu ya utawala ndani ya wizara ya Mambo ya ndani, akadai hana nyota na wala yeye si Amiri jeshi mkuu. (Hili nakubali asilimia mia). Hivyo ameonyesha wazi kuwa hatakuwa...
  5. mwanamwana

    Rais Magufuli: Benki ya Dunia wanatoa pesa wakijua Tanzania tuna msimamo gani na tunafanya nini, wapiga kelele wapuuzwe

    Rais Magufuli akiwa katika hafla ya kuwaapisha mawaziri na mabalozi Ikulu leo, amesema kwamba kuna mambo mengi yamezungumzwa na tuyapuuzie. Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia alikuja hapa, mwaka jana, kwahiyo wanatoa pesa wakijua sisi Tanzania tuna misimamo gani na tunafanya nini, hao wengine ni...
  6. technically

    Rais Magufuli mpaka anakosa pesa ya elimu bure?

    Makusanyo ya trion 1.3 unakosa bil 12 kwa mwezi!? Hata kama ingekuwa bil 50 kwa mwezi unapeleka tu. Yaani unaenda kukopa trion 1.2 wakati unakusanya mkapa zaidi ya 1.5 kwa mwezi? Hiyo pesa itarudi vipi wakati wanafunzi unaosomesha hawaingii kwenye soko la ajira? kwanini wasijisomeshe kwa...
  7. J

    Prof Kabudi: Rais Magufuli na serikali yake hawawabagui wanafunzi wa kike, wote wanapata haki sawa wapinzani wasipotoshe

    Zitto kaumbuliwa mchana kweupe kwa uzushi wake juu ya wanafunzi wajawazito kubaguliwa. Prof Kabudi ataenda UN kuieleza dunia ukweli kutokana na uzushi huu wa Zitto. Maendeleo hayana vyama!
  8. J

    Rekodi isiyofikiwa: Rais Mwinyi aitisha kikao cha Baraza la Mawaziri na kulivunja, mawaziri waondoka Ikulu wakitembea kwa miguu

    Hii ndio rekodi iliyoshtua wengi na haijavunjwa hadi leo Ni pale Rais wa awamu ya pili mzee Ally Hassan Mwinyi alipoitisha kikao cha baraza la mawaziri pale Ikulu ya magogoni na kuwatangazia wajumbe wake kuvunjwa kwa baraza hilo. Na walipotoka nje ya ukumbi mawaziri hao watumbuliwa walikuta...
  9. Mystery

    Ni kwanini Rais Magufuli awaogope wapinzani aliowashinda kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa kwa asilimia 99.9?

    Nimeshangazwa sana na kauli aliyoitoa Rais Magufuli wakati ajihutubia makada wenzie wa CCM kuwa wasibweteke kuwa watashinda kirahisi uchaguzi mkuu ujao, ambao unategemewa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu na akawaeleza makada hao kuwa wapinzani wana mbinu nyingi za wazi na za kificho, kwa hiyo...
  10. G Sam

    Lengo la Rais Magufuli kuzuia makinikia ni ili Smelter inunuliwe hapa nchini. Prof. Muhongo alifukuzwa uwaziri kwa kushindwa kununua Smelter

    Nikukumbushe tu Rais Magufuli mwaka 2017 wakati unapokea taarifa ya Prof. Mruma lalamiko lako kubwa sana na hata watanzania wakakuamini (Isipokuwa mimi) ni kuhusu kuchenjulia makinikia nje ya nchi. Nakumbuka sana ulimlaumu sana Prof. Muhongo ukafikia hatua yakumwambia kuwa Prof. mwenzake yaani...
  11. M

    Rais Magufuli: Upinzani wa sasa umebadilika

    Mwenyekiti wa CCM na Rais John Magufuli amekionya chama chake kisibweteke kwani upinzani wa sasa unatisha kutokana na mikakati yake Akiwahitubia viongozi wa wilaya na mikoa kote nchini jijini DSM hapo jana Rais amesema wapinzani wa leo wamebadilika na wana mikakati ya hadharani na ya siri...
  12. T

    Nchi yangu, Rais wangu, Kilio Chetu, Majuto yetu

    Nchi yangu haina furaha tena, Rais wangu akisimama ni kukemea na kufoka tu, hakuna tena furaha. Akianza kuhutubia popote nchi inazizima, hamna tena maneno ya furaha, ni uozo uozo tu hata ule wa kulazimisha. Kingu kawachoma wenzake na kakimbizwa ubalozini kuficha uozo. Hamna hakika Rais hakujua...
  13. Dam55

    Rais Mugufuli atakumbukwa na vizazi vingi wa Watanzania

    Waswahili husema, "mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni". Ni ukweli ulio wazi Sasa kuwa Rais Magufuli atakumbukwa na watanzania katika vizazi vingi vijanyo. Kipindi chake cha uongozi kimekuwa na mambo mengi makubwa ambayo kiukweli yalihitaji ujasiri mkubwa kuyafanya. Hakika Magufuli ni mtu...
  14. USSR

    GE2020 Tunaojiandaa kumpa tena kura Rais Magufuli tukutane hapa

    Ndio ni mwaka wa uchaguzi na ukweli ni kuwa ilani tuliyomkabidhi Dkt. Magufuli imeshakamilika mpaka Leo 1/1/2020 na tuone sasa ipo haja ya kukutana na kujipongeza kwa kazi kubwa aliyofanya maana haikuwa rahisi. Yeye ni mwanadamu yawezekana kuna sehemu alijikwaa na kutukwaza Ila kwa kuwa...
  15. G Sam

    Laiti kama Rais wa Tanzania angekuwa anasemwa na anaowatumbua!...

    Naomba tu niseme, kama Rais wa Tanzania angekuwa anasemwa na anaowatumbua basi tungeona maajabu. Naandika tu mistari michache. "Asikudanganye mtu, hakuna jambo lolote lile analofanya mteule wa Rais bila kuwa na idhini ya Rais" Aisee acheni tu watu waendelee kuilinda heshima ya Rais wa nchi...
  16. Deus J. Kahangwa

    Mafuriko Msimbazi Dar: Mwarobaini watua Ofisi ya Rais

    Usuli Kwa mujibu wa Kanzidata ya Kimataifa kuhusu Majanga Asilia yaliyotokea tangu mwaka 1990, Tanzania inakabiliwa na hatari ya majanga asilia yafuatayo, frikwensi zake zikiwa zimeonyeshwa katika mabano: mafuriko (62.2%), ukame (13.3%), tetemeko la ardhi (11.1%), kimbunga (8.9%), moto wa...
  17. Analogia Malenga

    Rais wa Burundi atapata Tsh biilioni 1.1 akistaafu Urais

    Imesalia miezi minne kabla ya uchaguzi wa urais nchini Burundi, uchaguzi ambao rais wa Burundi Pierre Nkurunziza amebainisha mara kadhaa kwamba hatawania. Hayo yanajiri wakati Bunge la nchi hiyo limeidhinisha sheria inatakayompa rais Nkurunziza kitita cha faranga Burundi bilioni moja sawa na...
  18. G Sam

    Tatizo ni mfumo wa mawasiliano au? Aliyeshtakiwa makosa 280 ateuliwa kuwa M/kiti Bodi ya VETA

    Mashtaka yalisomwa January sita ila kesho yake DPP akaondoa kesi mahsksmani kimya kimya. Sijui alipewa maagizo? ==== Peter Maduki, ambaye alishtakiwa kwa makosa 280 yakiwamo ya kughushi, kuwasilisha nyaraka za uongo pamoja na utakatishaji fedha, ameteuliwa na Rais John Magufuli kuwa mwenyekiti...
  19. Luqman mohamedy

    Hivi Makao Makuu ya nchi ni Chato au Dodoma? Mzee anatuchanganya

    Sielewi ziara za viongozi wakubwa zote Chato. Naona harakati za kuikuza Dodoma zinadumaa kwa style hii. Na kwa style hii tunachanganya watendaji hatujui nguvu waeke wapi Dodoma au Chato? Kuna muda itafika tutawalaumu mawaziri na manaibu wao bure tu. Naendelea kuuliza je mipango hii ilikuwepo...
  20. Victor Mlaki

    Mambo 10 makubwa ya Rais wa awamu ya tano wa Tanzania

    Kwa majibu wa China Global Television Network (CGTN )mwaka 2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Johnn Pombe Magufuli anaonekana ni Rais wa pekee sana na ni miongoni mwa Maraisi Watano bora (5) Afrika kutokana na njia yake ya pekee ya kuleta mageuzi katika Nchi yake. Mambo hayo 10 ni...
Back
Top Bottom