Wanabodi,
Mode: Kunapotokea jambo kubwa, jema, zuri lenye manufaa kwa mustakabali wa taifa kama leo, naomba ruhusu free flow of information kuhusu jambo hilo kwa kuruhusu hata threads 100 zenye mawazo na mitazamo tofauti tofauti zipande, kisha zitakuja kuunganishwa mbele ya safari, lakini isiwe...
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amemtaka Rais Magufuli kuleta maridhiano ya kitaifa na kwamba yeye na chama chake wamenyoosha mkono wa mapatano.
Ifuatayo ni Hotuba Fupi ya Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Tanzania Freeman Aikael Mbowe mbele ya Watanzania katika kuadhimisha miaka 58 ya...
Wadau nimeandaa safari ya kwenda kuonana na Rais JMT hata nahitaji nikaonane naye ana kwa ana nifanye naye mazungumzo kama raia wa kawaida kijana mpenda maendeleo.
Watu wengi sana wamekuwa wakienda Ikulu lakini hao ni wale wenye channel.
Je, kwa mimi nisiye na channel ama kujuana na yoyote...
Kwa mara ya kwanza leo katika kipindi cha miaka mitatu kutafanyika tena kile kinachoitwa Mkutano wa Kilele wa Normandy kuhusu mzozo wa mashariki mwa Ukraine.
Mkutano huo ulioandaliwa na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na Kansela wa Ujerumani Angela Merkel utawaleta pamoja Rais wa Urusi...
Mh Rais haya ni maoni yangu vile naiona serikali yako.
Mh Rais hongera kwa kazi ya ujenzi wa taifa ila kiukweli Mh Rais kama kunajambo wengi hatukuelewi ni pale unasema wewe ni mtumishi wetu na unamuomba Mungu asikupe kiburi na kwenda mbali kusema maendeleo hayana chama wala kabila wala dini...
Rais Museveni ametenga fedha maalumu kwa ajili ya kuongeza vikundi vya ujasiria mali vya wanawake wa Maafisa wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Uganda (UPDF) ili kuboresha zabuni yao.
Gen Muhoozi alisema Rais Museveni alifikia uamuzi huo baada ya majadiliano aliyofanya na Maofisa wa Jeshi...
Watu wanahoji kwa nini Rais Magufuli anapeleka maendeleo kwao, Chato na Geita kwa ujumla, kama vile watu wa Chato au Geita hawastahili kupata maendeleo, sasa asipeleke Chato apeleke wapi?
Unapokuja kwenye rasilimali za nchi hii haziko kwenye mgawanyo sawa, kuna mahala pengine utafikiri sio...
WATU na taasisi wameguswa na uamuzi wa serikali kujenga daraja la aina yake la Kigongo-Busisi wilaya Misungwi kwa kumhakikishia Rais John Magufuli kuwa naye bega kwa bega wakimsihi aendelee kuchapa kazi bila kujali kelele.
Aidha, daraja hilo refu kuliko yote katika Afrika Mashariki na la sita...
Wanabodi,
Kuna hii video clip ni ya kipindi cha nyuma, ila mimi ndio nimeisikiliza leo, naomba na wewe isikilize halafu uniambie hayo yanayozungumzwa humu kama yanaweza kuwa ni kweli?!.
Mimi nimemsikiliza huyu Meya wa Jiji la Mwanza, Mtahiki James Bwire, hivi huyu kweli haya anayoyasema kwenye...
MUNGU ANISAIDIE NISIJE KUWA NA KIBURI - RAIS MAGUFULI
"Siku zote nimekuwa nikimuomba Mungu anisaidie kamwe nisije nikawa na Kiburi, nikajiona mimi ni kiongozi. Nitaendelea kuwa mtumishi wenu na muda wangu ukimalizika nitarudi kijijini," - Rais Magufuli.
Mbona kama NIDA bado haieleweki hata baada ya rais kutoa tamko kule morogoro kwa kumtaka mkurugenzi wa NIDA kutatua changamoto hii ya upatikanaji wa huduma ya vitambulisho vya taifa..?
Nini mrejesho wa NIDA kuhusu utekelezaji wa kusambaa wilaya zote ili watu wapate vitambulisho kabla ya azimio...
Rais Magufuli amewataka watanzania wapendane na kuacha kubaguana kwa misingi ya ukabila, dini au itikadi za kisiasa.
Dr Magufuli ameyasema hayo wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa daraja la Kigongo - Busisi jimboni Misungwi mkoani Mwanza.
Kadhalika Rais Magufuli amewapongeza wanaccm wa...
Nipo safarini kurejea kwetu Cyangungu,Kamembe Rwanda lakini hii adha ya kipande cha barabara tajwa hapo juu ni kero!
Toka juzi maroli yamekwama na njia mbadala imeharibika vibaya kwa sababu ya mvua na mkandarasi inadaiwa anadai pesa zake na amegoma kumalizia kipande kifupi tu cha km 5 hadI...
Ninashangaa chama kinachojiita cha ki-demokrasia, kiongozi wao mkuu anatishia wenzake kwamba wasionje sumu kwa ulimi linapokuja suala la kugusa maslahi yake ndani ya chama.
Ghafla maswali machache yanaibuka:
Hicho kikao kilikuwa cha maadui ama ndugu zake katika chama? Kama ni wanachama...
Ufaransa imeathiriwa na mgomo mkubwa ambao unafanyika leo wa wafanyakazi katika sekta ya usafiri wa umma. Treni nyingi hazifanyi kazi, shule zimefungwa na wasimamizi wa mnara wa Eiffel wametoa onyo kwa wageni kutozuru eneo hilo; kufuatia maandamano na mgomo dhidi ya mpango wa serikali kuufanyia...
Wataalamu watatu wa sheria nchini Marekani, wameiambia kamati ya masuala ya sheria ya Baraza la Wawakilishi mjini Washington kuwa wanaamini kwa ukamilifu kuwa Rais Donald Trump alifanya matendo yanayokidhi vigezo vya kufunguliwa kesi ya kutimuliwa madarakani.
Maprofesa hao watatu walialikwa na...
He said:
I have never stolen and I am rich - Ugandan President Yoweri Museveni
Yaani akimaanisha ya kwamba:
Hajawahi kuiba tokea awe madarakani, wala kuwaibia chochote kile Waganda lakini yeye ni bonge la tajiri.
Je, Waswahili (ukimuondoa GENTAMYCINE tu) mnaomsakama Museveni 24 / 7...
Kasi ya Rais Magufuli katika kuwaletea wananchi maendeleo imewavuruga kabisa wafuasi wa Chadema kiasi cha kushindwa kumuona mbadala wa Mbowe katika nafasi ya Mwenyekiti.
Kwa sasa kila anayetamani kuchukua fomu anaonekana ana mahaba na CCM isipokuwa Freeman pekee ambaye yuko Chadema tokea mwaka...
Kiongozi wa zamani wa Zimbabwe Robert Mugabe ameacha $ 10m na mali kadhaa lakini hakuna atakayetaja walengwa/warithi wake.
Gazeti linalomilikiwa na serikali la Herald lilisema binti yake, Bona Chikore, alifichua mali hiyo katika mahakama Kuu baada ya familia hiyo kukosa kupata wosia wake.
Pesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.