Meya Jiji la Dar es Salaam, nchini Tanzania Isaya Mwita amejikuta njia panda baada ya kunyang’anywa gari alilokuwa akilitumia ambalo linamilikiwa na halmashauri hiyo muda mchache baada ya uamuzi wa mkutano mkuu kutoa uamuzi dhidi ya tuhuma dhidi yake.
Mkutano huo umefanyika leo Alhamisi...
bush senior aliuondoa ubabe wa iraq ndani ya kuwait.
clinton sikumbuki. ila nakumbuka ishu ya monika lewinski 🤣
bush mtoto alikomesha utawala wa talenan, akala kichwa cha saddam
obama akala kichwa ya osama, rest in peace.
trump kala hii kamanda ya magaidi ya iran kassimu.
wakongwe wa zamani...
Serikali ya Washington imeamua kumuadhibu Makamu wa Kwanza wa Rais, Taban Deng Gai. Marekani inaendelea kuiwekea shinikizo Juba wakati mchakato wa amani unaendelea kucheleweshwa.
Serikali ya Umoja imepangwa kuundwa hadi mwezi Februari.
Wizara ya Fedha imeamua kuzuia mali za Taban Deng Gai...
Hata kama inafikiriwa ni watu wachache tu wanafikia hatua ya kuchukizwa na baadhi ya vitendo vya Rais na kuwa haiwezi kuathiri yeye kukosa Urais kwenye uchaguzi ujao bado kuna madhara makubwa sana yanayotokana na kuchukizwa huko na kumwathiri yeye katika maisha ya Urais na hata ya kutokuwa Rais...
Rais Yoweri Kaguta Museven wa Uganda akiwa ameketi huku wazee wakimpigia magoti na kupewa chochote kwenye bahasha ya kaki.
Ikumbukwe kuwa uchaguzi nchini Uganda unatarajiwa kufanyika mwakani February 9, 2021. Kiongozi huyo wa taifa la Uganda ameongoza Uganda kwa takribani ya miaka 34 hadi...
Makamu wa rais wa Ufilipino ameitaja vita ya Rais wa taifa hilo, Rodrigo Duterte, dhidi ya dawa za kulevya kuwa imeshindwa.
Leni Robredo alisema ni asilimia 1 tu ya makadirio ya dawa za kusisimua zilizosambaa nchini humo aina ya 'Methamphetamine' almaarufu nchini Ufilipino kama "Shabu"...
MNAMO Novemba 5, 1984, kinara wa ODM Raila Odinga alifahamishwa kuhusu kifo cha mamake, Bi Mary Juma ikiwa imepita muda wa miezi miwili tangu afariki.
Mary alifariki mnamo Septemba 1984, lakini Bw Odinga hakuwa na ufahamu wowote kuhusu tukio hilo kwa kuwa alikuwa akitumikia kifungo katika...
Mara tu baada ya kuapishwa kuwa Rais wa nchi hii, Rais Magufuli alivipiga marufuku vyama vya upinzani nchini kutofanya mikutano ya kisiasa hadi mwaka 2020, kwa madai kuwa uchaguzi umekwisha, kwa hiyo huo ni wakati wa kufanya kazi na siyo wakati wa kampeni.
Wakati akitangaza hivyo Rais Magufuli...
Kenyatta, Odinga helped DR Congo's Tshisekedi win presidential poll
Kenya's President Uhuru Kenyatta (left) welcomes the President of the Democratic Republic of the Congo Felix Tshisekedi at State House, Nairobi on February 6, 2019. PHOTO | PSCU
Kenyan President Uhuru Kenyatta and opposition...
Naandika hivi ni kwa sababu Mh Rais unapokuwa katika ziara zako hapo ndipo kero za wananchi huibuliwa na kutatuliwa.
Maana wengi wa wasaidizi wako ni kama hawana msaada kwa wananchi. Misafara yako inaposimama kila mahali hapo ndipo akina mama na wazee walioonewa na kudhulumiwa huwa unawasaidia...
Tukiwa tumeuanza mwaka 2020, mwaka wenye tukio muhimu la uchaguzi mkuu , uchaguzi unaotazamiwa na wengi kuwa ndio uchaguzi utakaoanzisha mwanzo wa mwisho wa siasa za upinzani hasa wa vyama vya uchaguzi kama Katibu Mkuu wa CCM ndg.Dkt. Bashiru anavyopenda kuviita na muendelezo wa falsafa wa CCM...
MH RAIS WAPE MUDA WATANZANIA, TATIZO NI NIDA.
Na Elius Ndabila
0768239284
Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema aliyenipa afya njema na nguvu ili niweze kukuandikia barua hii ya wazi Mh Rais. Pia nitumie wasaa huu kuwatakia heri ya mwaka mpya Watanzania wote ambao Mungu...
Leo ni 01/01/2020 hongera kwa kuona mwaka mpya.
Mwaka 2020 ni mwaka wa uchaguzi mkuu. Kwa hali ilivyo kama mihimili yote imeshikiliwa na ule mhimili ulijikita chini zaidi kuna haja gani ya kupiga kura?
Wengi wanadai tume huru ya uchaguzi. Muda tulionao utatosha kuiandaa tume huru na iwe...
Jamani mwisho wa mwaka baada Rais atokee aongee na taifa atoe matumaini mapya kwa nchi yeye haonekani.
Anapenda mpaka awe na jopo la watu wote kufanya uzinduzi wa visima vya shule akiwa live
Ila kuchukua hata saa 1 kuongea na taifa na kutoa matumaini mapya kwa mambo ambayo yanaendelea yenye...
Wanabodi
Tangu kukamatwa kwa Mwandishi wa habari za kiuchunguzi Eric Kabendera, na kukamatwa kule kukahushishwa na makala zake, na kwa vile ni mimi niliyekuwa natafsiri makala za majarida ya nje na kuzileta humu jf, hivyo nikatuhumiwa kuwa ni makala za jf ndio zimemchongea Eric Kabendera...
Kwa vigezo vinavyoonekana na kupimika, Mheshimiwa Magufuli ndiye RAIS BORA barani Afrika kwa mwaka 2019. Nina sababu 20 ambao ni Ushahidi wa ubora wa Magufuli ukimlinganisha na maraisi wengine wote wa Afrika:
1. Amefufua shirika la ndege lililokufa kwa kununua ndege mpya 8 kwa pesa taslimu
2...
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amewataka wazee wa mkoa huo kutoa sababu za kutaka kumualika Rais Magufuli ili wampongeze, amewataka wajihoji mmoja mmoja na kujiuliza wanampongeza kwa jambo gani maana isiwe wanafuata mkumbo tu.
Chalamila amesema hayo kwenye kongamano la wazee wa mkoa wa...
Haupo salama kwasababu umesajili line kwa alama za vidole.
Huku mtaani wale vendors wanaosajili wanatumia data za watu waliojisajili kwa ku-backup kisha wanasajili line nyingine yenye jina la mtu aliyekwisha kamilisha usajili.
Baada ya hapo wanasajili line nyingine kwa data za mtu kisha...
Nimeshangaa sana baada ya Rais kubadili Maelekezo yake. Mwanzoni alikiri kuwa ni vigumu usajili kukamilika kwa kutumia Vitambulisho vya Taifa lkn jana ameelekeza kuwa kufikia Tarehe 20 Januari 2020 usajili huo uwe tayari. Nikaangalia nilipo mimi huku Idukilo - ukitaka kukutana na NIDA mpaka...
Mfichuasiri 'whistleblower' aliepelekea Rais Trump kuanza kuchunguzwa na kupelekea kupigiwa kura ya kumuondoa madarakani kufanyika afichuliwa.
Jana alhamisi Rais Trump alilaumiwa kwa kusambaza kiunganishi cha habari chenye jina la mtu huyo kwamba hii itafanya mazingira yake ya kazi kua magumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.