rais

  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Hoteli ya nyota Tatu inajengwa Chato, Wana-CCM mnafurahishwa na kitendo cha kupeleka kila mradi wa ujenzi Chato?

    Maelezo ya Picha: Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja(Kulia) akikagua hoteli ya nyota tatu inayojengwa na Hifadhi za Taifa Tanzania inayojengwa Wilayani Chato mkoani Geita. Mwalimu Nyerere akijua kabisa kuwa kuku wa taifa lazima aliwe na wote, aliamua almasi inayochimbwa...
  2. Abdul Nondo

    JamiiForums Tanzania Mfahamu mrithi wa Marehemu Maalim Seif, Mh. Othuman Masoud Othuman

    Anaitwa Othuman Masoud Othuman Sharif Mzanzibari na mtu mashuhuri katika masuala ya sheria. Mh.Othumani alizaliwa kijiji cha Pandani huko Wilayani Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba, tar 7 Februari 1963.Alizaliwa mwaka ambao Zanzibar ilikuwa chini ya utawala wa kisultan mwaka 1963 ,utawala ushirika...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Zitto: Msaidizi wa Maalim Seif alinipigia simu mara 4 kutaka kunijulisha msiba sikupokea ndipo akanipigia Rais Mwinyi nikapokea kwa mujibu wa sheria

    Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360 KC wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema siku maalim Seif alipofariki yeye alikwenda hospitali asubuhi na kuelezwa maendeleo ya mgonjwa. Anasema ilipofika saa 5 na ushee akiwa katika shughuli za chama alipigiwa simu na msaidizi wa maalim Seif aliyekuwa...
  4. V

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Baptist IFB: Heko Rais John Magufuli kwa msimamo wako juu ya corona na chanjo zake

    TAMKO LA KANISA KUUNGA MKONO MSIMAMO WA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI KATIKA SUALA LA UGONJWA WA COVID-19 NA CHANJO ZAKE 1. UTANGULIZI: Tamko hii halina malengo ya kisiasa kwa maana sio jukumu la kanisa kuhubiri siasa (1 Kor. 5:12; 2 Tim. 4:2). Hii ni taarifa fupi ambayo haitaweza kugusia kwa...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Othman Masoud Othman Sharif ateuliwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

    Rais Hussein Mwinyi wa Zanzibar leo amemteua Othman Masoud Othman Sharif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais kufuatia kifo cha Maalim Seif Sharif Hamad. Uteuzi huo umefanywa na Rais kwa kuzingatia matakwa ya Kifungu cha 9(3) cha Katiba ya Zanzibar ya Mwaka 1984, na vilevile baada ya kushauriana na...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Jina la Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar tulilompelekea Rais Mwinyi limetokana na wosia wa Maalim Seif

    Kiongozi mkuu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema jina walilompelekea Rais Hussein Mwinyi kwa ajili ya uteuzi wa makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar limetokana na wosia aliouacha Maalim Seif mwenyewe. Zitto Kabwe amesema mtu huyo anaenda kumsaidia sana Rais Mwinyi na pia atawaunganisha wana...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Dkt. Antony Diallo alikuongopea kuhusu Bollen Ngetti, anatia huruma

    Wanabodi nawasalimu. Kama wewe ni mfuatiliaji wa siasa za Tanzania hasa miaka 10 iliyopita huwezi kusahau jina la kijana Bollen Ngetti aliyekuwa Mhariri wa gazeti la Sauti Huru. Kati ya Mwaka 2013-2015 kijana huyu alikuwa mwiba kwa Chadema na viongozi wao. Ni huyu kijana aliyeibua utapeli wa...
  8. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru aukwaa uenyekiti wa Kamati ya Usalama Afrika, hii ni mara tu baada ya kuchukua usukani EAC

    Ikumbukwe pia Kenya imepata uanachama kwenye kamati ya usalama ya Umoja wa Mataifa, ndio maana imebidi kupigiwa simu na rais wa Marekani bwana Biden ili wajadili udhabiti wa Afrika. President Uhuru Kenyatta signs the Finance Bill 2018 at State House, Nairobi. PSCU President Uhuru Kenyatta has...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Washauri wa Rais msisahahu ipo misingi iliojengwa na wazee wetu, kamwe msipotezee

    Nakaa nakutafakari sana kule tumetoka na kule tunaenda kama taifa. Nina amini kabisa kama Taifa mtakubaliana nami kazi kubwa sana imefanyika mpaka leo hii yapata miaka zaid ya hamsini ya uhuru wetu kama Taifa. Taifa hili limejegwa kwa jasho na dam za watu wengi na kwa bahati mbaya wengi...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Mastai: Kuchukua tahadhari dhidi ya Corona hakuhitaji kusubiri tamko la Rais

    Mchungaji Matsai wa Kanisa la KKKT kimara amewataka waumini wake kuchukua tahadhari dhidi ya Corona kwa sababu siyo kila jambo ni lazima Rais atoe kauli. Mchungaji amesema kama unaona kuna tatizo mbele ni lazima uchukue tahadhari kwa sababu akili unazo. Nawatakia Kwaresma yenye baraka...
  11. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Modus operandi ya Rais Magufuli ni ya ajabu!

    Utendaji kazi wa Rais Magufuli ni wa ajabu kweli. Au naweza kusema ni ambao haufuati desturi ama kawaida ya utendaji wa mambo. Ni unorthodox, kwa kimombo 😜. Hivyo ndivyo ninavyoweza kuuelezea kwa kifupi. Fuatana nami nikuelezee kwa nini nasema hivyo; Nimeangalia video fupi ya hotuba...
  12. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkenya ateuliwa kuwa Katibu Mkuu EAC, huku naye Rais Uhuru akichukua uenyekiti

    Binafsi huwa sina imani kwenye huu usanii wa hiki kitu tunaita EAC, lakini wacha tuone mwisho wake.... pia naona sarafu ya pamoja ipo kwenye hatua za mwsho kutekelezeka The chairman of the EAC Heads of State, Rwandan President Paul Kagame has announced Dr Peter Mathuki from Kenya as the new...
  13. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Ibara 36 ya katiba ya Tanzania imempa Rais mamlaka ya kuteua na kutengua anavyotaka. Msimpangie kwa matakwa yenu ya kisiasa

    Inatia aibu kuona viongozi wa chama kikubwa kama Chadema na wafuasi wao wanataka kuingilia mamlaka ya uteuzi aliyonayo rais wa JMT. Ina maana hamna muda wa kupitia na kuperuzi katiba ya JMT? Kwa namna hii mnafaa kuongoza nchi kama hata vifungu vya katiba ya JMT hamuwezi kuvipitia na kuvielewa...
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi

    Kiongozi wetu mstaafu Ally H Mwinyi amekuwa haonekani katika hadhara. Na hii sio kawaida yake. Kama kiongozi mstaafu wa taifa tunapaswa kupewa taarifa zake. Maana tumezoea kwenye matukio mengi kuona Marais Wastaafu wakiwa pamoja. Safari anaonekana mara kwa mara Jakaya Kikwete. Je, kuna lolote...
  15. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hajawahi kupangiwa na hatapangiwa

    Na Elius Ndabila 0768239284 Jana baada ya Balozi Dkt Bashiru kuteuliwa na Mhe Rais kuwa Katibu Mkuu kiongozi kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Kijazi aliyefariki kumekuwa na maneno mengi. Watanzania wamekuwa na mijadala mikubwa ya nani atakuwa mrithi wa Mhe Balozi Bashiru. Karibu...
  16. J

    JamiiForums Tanzania IKULU: Dkt. Bashiru Ally Kakurwa aapishwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi na Balozi

    Rais Magufuli leo saa 3.00 asubuhi ananamuapisha Katibu mkuu kiongozi mteule Dr Bashiru Ally. Tukio hili muhimu litakuwa mubashara katika luninga zote za ndani zikiwemo Upendo tv, ITV, TBC, Channel ten, Star tv nk Karibu. Updates: Rais Magufuli ameshaingia ukumbini na Dr Bashiru anakula...
  17. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Kwa CCM mnaoratibu mipango ya Maandamano Rais aongezewe muda, kumbukeni na haya.

    Wanaccm mnaoratibu mipango ya kufanya maandamano ili Rais aongozewe muda wa kusalia madarakani kumbukeni na haya, muwe makini msije mkachafua hali ya hewa tukatafutana. 1.Mnakumbuka kwamba kumekua na matamanio ya baadhi ya wanasiasa, viongozi wa dini na wanaharakati kadhaa kutaka kuitisha...
  18. Malaika Gabrieli

    JamiiForums Tanzania Pole sana ndugu Kimaro a.k.a Trump kwa jibu ulilopewa na Rais

    Habari zenu wakulungwa wa JamiiForums Nachukua nafasi hii kumpa pole Ndugu Kimaro a.k.a Trump kwa jibu alilopewa na rais wetu wa JMT pale Mbezi wilaya ya Ubungo. Mimi Mangi niliyekulia Dar es Salaam bado nairudia rudia hii clip bila kujielewa! Hakika mitano tena.
  19. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Magufuli kama Nebukadneza Mkuu wa Dola ya Babeli

    Mwaka 2015 niliandika habari iliyochapishwa na Gazeti la TAZAMA “Magufuli kama Nebukadneza mkuu wa dola ya Babeli” nairudia tena baada ya kusoma Gazeti la RAIA MWEMA. Mwandishi MWANA KIJIJI ameandika “sababu zilizowafanya mitume 11 wasimfuate Yesu majini” Amemshambulia sana Rais Magufuli. 1...
  20. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, ulipomuamrisha IGP kuwalazimisha wahalifu kuacha ujambazi, ulipaswa umkumbushe yasijirudie ya kama ya akina Zombe

    Mh rais wewe ni mkuu wa taifa letu, na taifa letu linaendesha kwa misingi ya kuilinda na kuiheshimu katiba ya JMT. Ibara ya 13 (6)(b) ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa hakuna mtu atakutwa na hatia ya jinai mpaka mahakama ithibitishe na kumtia hatiani. Kumpa amri IGP awe anawalazimisha...
Back
Top Bottom