Ukimya wa Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,625
Reaction score
9,954
Kiongozi wetu mstaafu Ally H Mwinyi amekuwa haonekani katika hadhara. Na hii sio kawaida yake.

Kama kiongozi mstaafu wa taifa tunapaswa kupewa taarifa zake. Maana tumezoea kwenye matukio mengi kuona Marais Wastaafu wakiwa pamoja. Safari anaonekana mara kwa mara Jakaya Kikwete.

Je, kuna lolote linalomsibu?
 
Yani Mataga wazee wakiongea wanawasha,wakikaa kimya wanataka taarifa zao?

Nawdaz JamiiForums imekuwa kama Facebook yani anaandika post kama anamsongo wa mawazo.
 
Kaa kimya bibie.
 
Wazee kama hawa, kwenye nchi zinazothamini sana uhai wa raia wake, wamezuiwa kubisa kwenda maeneo public. Wanatakiwa kukaa nyumbani, na kuhudumiwa kwa kila kitu wakiwa nyumbani.
 
Wazee marais wastaafu?
 
Kaa kimya bibie.

Usitumie kichwa kama pambo au mfuko wa kubebea meno.

Shaurini serikali yetu hata mfumo wa Elimu ukae vipi, yani unaweza kukuta ni jitu kubwa lakini uwezo wa kufikiria ni majanga.
 
Kiongozi wetu mstaafu Ally H Mwinyi amekuwa haonekani katika hadhara. Na hii sio kawaida yake.

Kama kiongozi mstaafu wa taifa tunapaswa kupewa taarifa zake. Maana tumezoea kwenye matukio mengi kuona marais wastaafu wakiwa pamoja. Safari anaonekana mara kwa mara Jakaya Kikwete.

Je kuna lolote linalomsibu?
Kwa umri wake hule akinasa tu. Bora ajiisolate tu
 
Usitumie kichwa kama pambo au mfuko wa kubebea meno.

Shaurini serikali yetu hata mfumo wa Elimu ukae vipi, yani unaweza kukuta ni jitu kubwa lakini uwezo wa kufikiria ni majanga.
We unafikiri kwa makalio.

Umeshindwa nini kushauri?
 
Kiongozi wetu mstaafu Ally H Mwinyi amekuwa haonekani katika hadhara. Na hii sio kawaida yake.

Kama kiongozi mstaafu wa taifa tunapaswa kupewa taarifa zake. Maana tumezoea kwenye matukio mengi kuona Marais Wastaafu wakiwa pamoja. Safari anaonekana mara kwa mara Jakaya Kikwete.

Je, kuna lolote linalomsibu?
Kesha shiba, sasa anauhakika wa maisha, Raid mmoja, wabunge wawili! Sasa Munvu akupe mini cha ziada.
 
Back
Top Bottom