rais

  1. Mystery

    Hivi Rais Magufuli kulihutubia Bunge na kuahidi kuwa katika kipindi kijacho ataimarisha Demokrasia, maneno hayo yanatoka moyoni mwake au ni usanii?

    Nianze mada yangu kwa kutoa tafsiri ya neno Demokrasia, ni serikali ya watu iliyochaguliwa na watu katika uchaguzi ulio huru na wa haki Hata hivyo Rais Magufuli ametoa tafsiri tofauti katika hotuba aliyotoa Bungeni Jana kwa kudai kuwa Demokrasia ni kuleta maendeleo na kuwataka viongozi Wa...
  2. kavulata

    Hotuba ya Rais Rais Bunge la 12 ni nzuri lakini sikuipenda

    Imejaa mambo mengi sana ya kutimiza kwa miaka 5. Inatia mashaka kuwa huenda akaanzisha miradi mingi sana itakayolazimu aongezwe muda ili aikamilishe mwenyewe vizuri na kwa ubora kama alivyokusudia. Ningetamani kama angejikita kwenye umalizaji wa reli, bwawa la umeme, uchimbaji wa chuma na makaa...
  3. K

    PSSSF haina ufanisi katika kulipa mafao kwa wakati. Maana ya Rais kuunganisha mifuko haionekani

    Yaani malipo ya wateja ni delays ambazo hazieleweki, ni majuto kufanyakazi na hawa watu kweli, wako na visuti na tai humo efficiency chini kabisa, bado tunapiga hesabu, tunasubiri baada ya uchaguzi, tunalipa kwa awamu hii inamuhusu mteja au big results ndo failure.
  4. GENTAMYCINE

    Unaacha kujijenga zaidi, kutathmini ulikokosea na kukiinua zaidi Chama chako unakimbilia kumlaumu Rais Magufuli

    Mhe. Tundu Lissu anasema miaka 5 inayokuja ya utawala wa JPM itakuwa miaka 5 migumu sana kwa wananchi wote wa kila chama na wasio na vyama. Akaongeza kuwa JPM ni mtawala katili asiyejali haki za binadamu, demokrasia wala uchumi wa nchi yetu. Chanzo: Matukio Live Na CHADEMA mkiendelea...
  5. J

    Rais Magufuli: Wabunge msiogope kuikosoa serikali, Tukosoeni lakini ukosoaji wenu uwe na tija siyo ilimradi kukosoa tu!

    Kuna wakati wapinzani walidai serikali ya awamu ya 5 haitaki kukosolewa bali inataka kusifiwa tu. Kumbe walikuwa waongo. Rais Magufuli amewataka wabunge wote bila kujali itikadi zao kuikosoa serikali na kuleta solutions za changamoto na siyo ilimradi kukosoa tu. Huu ni ujumbe wa kijasiri sana...
  6. B

    Wanafunzi vyuo vikuu Rais haja ahidi kuwapunguzia riba ya mkopo wa chuoni badala yake ataongeza idadi ya wanufaika

    Ni wakati wa wanafunzi kuwa wapole, walitegemea riba itapunguzwa imekuwa tofauti badala yake fedha zitaongezwa ili wengi wapate mikopo maana yake ni mtaji unawekezwa ili ukue kwa riba ile ile ya 15% . ushauri wangu ni wazazi wajitahidi kutafuta pesa wawasomeshe watoto si kwa mikopo maana...
  7. B

    Je, hotuba ya Rais ina uhusiano wowote na bajeti ya mwaka huu au itakuwa na uhusiano na bajeti ya mwakani?

    Sijaelewa kitu kimoja naomba mnifafanulie vizuri 1. Mapendekezo na aliyoyasema kuyafanya au kuyatekeleza je yana uhusiano na bajeti ya Mwaka huu au yatakuwa na uhusiano na bajeti ya mwakani. Mfano Bima ya Afya kwa wote, maeneo tajwa kujenga barabara na hayakujadiliwa kwenye bajeti ya mwaka...
  8. D

    Hotuba ya Rais imeonyesha njia; Tozo na kodi kwa mahoteli na lodge zipunguzwe

    Nimesikiliza hotuba nzuri ya Rais na kubaini kuwa Rais anayo nia njema ya kulipeleka mbele taifa letu. Kwa upande wa miundo mbinu ya watalii mahoteli ni muhimu sana yakaboreshwa kwa kuyawekea mazingira mazuri hivyo nashauri mambo yafuatayo: 1. Kupunguza bei ya leseni ya TALA kwa mahoteli kama...
  9. Elius W Ndabila

    Niwasahihishe wapotoshaji wanaodhani Rais Magufuli amekiuka sheria kuwateua mawaziri (Prof. Kabudi na Dkt. Mpango)

    Na Elius Ndabila 0768239284 Baada ya Mh Rais kuwateua Mawaziri wawili, yaani Waziri wa Mambo ya nje Prof Kabudi na Waziri wa Fedha Prof Mpango kumezuka watu wanaoandika mtandaoni kuwa Rais amevunja katiba ambayo inasema Rais atateua Mawaziri na Manaibu Mawaziri kwa kushauriana na Waziri mkuu...
  10. Roving Journalist

    Hotuba ya Rais Magufuli kufungua Bunge la 12: Utumbuaji majipu utaendelea ili kuhakikisha Watumishi wanatenda kazi kwa mujibu wa Sheria na Kanuni

    Kwa sasa anaeongea ni spika wa Bunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na anasema kikatiba wabunge wanaotakiwa ni 393 jumla na waliopo ni 359 wakisubiri wabunge watano kutoka baraza la wawakilishi, wateule 10 wa Rais, viti maaum kutoka vyama vingine. Kwa sasa spika anamkaribisha Rais Magufuli...
  11. Mtukudzi

    Rais Uhuru Kenyatta: Nchi jirani zinahitaji siasa ambazo ushindani si uadui na vita

    Katika kile unachoweza kutafsiri kama ni Kenya kuguswa na siasa mpya za Tanzania, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesistiza ustahimilivu wa kisiasa hasa kwa nchi zilizoizunguka. Amesema uchaguzi unafaa kuleta utangamano wa nchi na siyo kinyume chake. Amedai kuwa siyo siri nchi zinazoizunguka...
  12. Analogia Malenga

    Je, wajua: Rais mwenye rekodi ya dunia ya kuongoza muda mrefu

    Rais Omar Bongo wa Gabon ni Rais anayeshikilia rekodi ya dunia ya kuwa Rais aliyeongoza muda mrefu zaidi duniani. Rais huyo aliongoza Gabon kwa miaka 42 tangu Desemba 2, 1967 hadi alipofariki Juni 8, 2009. Aikuwa akipita bila kupingwa kwa miaka ya awali walipokuwa na mfumo wa chama kimoja...
  13. Masokotz

    Je, ninaweza kuomba kuteuliwa na Rais kuwa Mbunge?

    Kuna jambo ambalo ninaliwaza. Najua kwamba Mheshimiwa Rais anazo nafasi kumi za uteuzi wa wabunge kikatiba.Najua pia kwamba anao uhuru wa kuteu mtu yeyote kwa nafasi hizo bila kuulizwa.Katika kipindi cha miaka mitano ya uongozi wa JPM kuna mambo kadahaa ambayo nimeyaona ambayo kama angekuwa na...
  14. Stephano Mgendanyi

    Hotuba ya Dkt. Hussein Ali Mwinyi katika Uzinduzi wa Baraza la Kumi la Wawakilishi

    TAREHE: 11 NOVEMBA, 2020 Mheshimiwa Zubeir Ali Maulid; Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar, Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla; Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Omar Othman Makungu; Jaji Mkuu wa Zanzibar, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Ali...
  15. Q

    Rais Hussein Mwinyi: Niko tayari kufanya maridhiano na vyama vingine

    HABARI: Ninaheshimu maridhiano na matakwa ya Katiba ya kushirikiana na vyama vingine vya siasa katika kuendesha Serikali. Niko tayari kuyatekeleza maridhano kama Katiba ya Zanizbar inavyoeleza - Dk. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar #MwanaHALISIDigital. ===================== KUMBUKUMBU...
  16. Kipenzi Changu

    Rais Magufuli ampongeza Rais Mteule wa Marekani, Joe Biden na Makamu wake kwa ushindi uchaguzi mkuu. Amhakikishia kuendeleza uhusiano

    Namnukuu On behalf of the Government and the people of Tanzania, I congratulate President-elect @JoeBiden and Vice President-elect @KamalaHarris on your victory in the US General Election. Be assured that Tanzania will continue to cherish the relationship that exist between our countries...
  17. GENTAMYCINE

    Kauli za Sisi 'Wanasiasa' ndiyo muda mwingine zinatufanya 'Wananchi' wasituamini na waendelee kumpa 'Kura' Rais Magufuli na CCM yake tu

    Kauli ya Mwanasiasa GENTAMYCINE wiki Mbili zilizopita.... "Namalizia Kampeni zangu za Kupambana na Magufuli ila Uchaguzi Mkuu ukiisha tu naenda Kijijini Butiama Mkoani Mara Kutibiwa zangu Kienyeji kutokana na Matatizo makubwa sana niliyoyapata ya Kung'atwa na Mbwa Mkali wa Ziwani na Meno yake...
  18. M

    Chondechonde Rais Magufuli, kwa hili la bei ya saruji usifanye nikajutia kura yangu kwako...

    Ndugu mheshimiwa, Kipindi Cha kampeni ulituahidi kuwa utapunguza Bei ya vifaa vya ujenzi ili hata Watanzania wenye kipato Cha chini tuweze kujenga. Tulishawishika na set zako na tukakuchagua kwa kura nyingi Sana kuliko kawaida. Sasa Cha kushangaza, Ni juzi juzi tu umeapishwa, lakini Jana Vifaa...
  19. E

    Hotuba ya Joe Biden mara baada ya kuchaguliwa kuwa Rais wa 46 wa Marekani

    Habari za leo wana JamiiForums, Natumai muwazima wa afya njema. Leo nilikua naangalia hotuba ya Rais wa U. S aliyechaguliwa bwana Joe Biden. Kwakweli ukimsikiliza kwa umakini Joe Baden unaweza mfananisha na Obama kwa jinsi anavyo hutubia. Mimi nadhani tutarajie yale aliyoyafanya Obama ndio...
  20. Nduka Original

    Makamu wa kwanza wa Rais ni nani Zanzibar?

    Hii kitu huwa inanisumbua kidogo naomba kusaidiwa. Muda wa Dkt. Mohamed Shein kulikuwa na Makamo wa pili wa Rais Balozi Seif Ally Eid lakini hakukuwa na Makamo wa kwanza wa Rais. Hivyo hivyo Dkt. Mwinyi keshateua na kumuapisha Makamo wa pili wa Rais ndugu Hemed Suleiman Abdulla. Je, Makamo wa...
Back
Top Bottom