rais

  1. Samia atosha tukutane2030

    Hivi ni Bodi gani inaweza kumpangia mtumishi wa umma mshahara mkubwa kuliko wa Rais?

    Kwa mujibu wa Rais Magufuli ni kwamba kuna watumishi wengi tu wamemzidi mshahara. Sasa nauliza tu. Je, ni bodi ipi ina ujasiri na mamlaka ya kuipima kazi ya mkurugenzi fulani ni kubwa, ya thamani na ni ngumu kuliko ya Rais? Je, mshahara wa Rais Tanzania hupangwa na Rais mwenyewe aliye...
  2. Miss Zomboko

    Rais Magufuli amemtaka Katibu Mkuu Kiongozi kuwapunguzia mishahara watumishi wote TMAA kwa kufanya kazi ya hovyo

    RAIS John Magufuli amemtaka Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi, kuwapunguzia mishahara watumishi wote waliokuwa wakifanya kazi Wakala wa Ukaguzi wa Madini (TMAA) ambao umefutwa na kuhamishiwa Wizara ya Madini, kwa sababu kazi waliyoifanya wakiwa TMAA ilikuwa ya hovyo Amesema watumishi hao...
  3. E

    Naomba majibu kutoka kwa Rais Magufuli au wasaidizi wake au wanaCCM wenzangu ili ukweli uwe wazi

    %KUBWA NILIAMINI KUWA MH: RAIS NI MSEMA KWELI NA MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU, ILA HILI LA LEO LA MH: RAIS KUTAKA REGULATION ZIBADILISHWE ILI, ILI WALIOKUWA WAFANYAKAZI WA WAKARA WA MADINI (TMAA) WAPUNGUZIWE MISHAHARA , IMENIFANYA NILETE UZI HUU HAPA ILI TUTAFSIRI KWA PAMOJA UKWELI WA MH RAIS...
  4. J

    Kanisa la TAG lampongeza Rais Dkt. Hussein Mwinyi kwa kumteua muumini wao kuwa mjumbe wa Baraza la Wawakilishi!

    Askofu mkuu wa Kanisa la kilokole la Tanzania Assemblies of God Dr Barnabas Mtokambali amempongeza Rais wa Zanzibar Dr Hussein Ali Mwinyi kwa kumteua muumini wa Kanisa hilo kuwa mjumbe wa Baraza la Wawakilishi. Dkt. Mtokambali alifika Ikulu ya Zanzibar kumfikishia Rais Mwinyi salamu hizo za...
  5. Titicomb

    Naomba ufafanuzi juu ya kauli ya DC Sabaya "DESI ilivyofumuliwa na Rais Magufuli"

    Wakuu habari? Kwanza nimpongeze sana DC Sabaya jinsi alivyo weka juhudi kuwasaidia watu waliolalamika kulaghaiwa na kampuni ya Q-Net wilayani kwake. Katika mazungumzo yake na waalimu akawauliza "bado tu hamjajifunza jinsi taasisi ya DESI ilivyofumuliwa na Rais Magufuli?" Chanzo: Youtube...
  6. E

    CCM, tafuteni namna ya kumshauri Rais Magufuli maana muda mwingine anaumiza sana

    Nimesikiliza hotuba ya mh. JPM baada ya kumuapisha Naibu Waziri wa madini Prof. S. E.Manya. Moja ya sababu zilizosababisha kuleta huu uzi ili wana CCM wenzangu ambao wanaweza kutafakari uzi huu na ikibidi kumshauri mh. Rais. KIMEJIRI KITU GANI KWA MAONO YANGU? Mh. Rais alizungumzia mambo ya...
  7. Pascal Mayalla

    Voices from Within: JPM ni Rais msikivu na mwenye huruma, aliyekosea kuapa, atasamehewa, ataapishwa upya na kuendelea na Unaibu Waziri wake

    Wanabodi, Hili ni bandiko kuhusu kitu kinachoitwa "voices from within" ni kama "trends reading of some sort. 'Voices from Within" ni kuisikia sauti kutoka ndani yako!. Sasa baada ya Naibu Waziri wa Madini kushindwa kuapa, na Rais Magufuli kumtumbua pale pale, au papo kwa papo kwa kudhania...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Tundu Lissu rudi nyumbani, Rais Magufuli yupo tayari kutimiza ahadi yake

    TUNDU LISU RUDI NYUMBANI, RAIS MAGUFULI ATIMIZE AHADI YAKE. Na, Robert Heriel Sisi wote ni wanadamu, kila mmoja anamapungufu yake ambayo anahangaika kuyaweka sawa ili tuwe wakamilifu. Hatuwezi kuwa na tabia zile zile mbaya zinazowaumiza wengine, ni lazima tuziondoe ili kulifanya taifa hili...
  9. F

    Tatizo hili si Francis Ndulane pekee, hata hawa waliwahi kubabaika sana kuapa mbele ya Rais Magufuli. Ndulane apewe nafasi tena aape vizuri!

    Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli mimi najua wewe ni jembe kwelikweli na hutaki mchezo katika masuala ya kazi. Nakuomba Mkuu najua nafasi hizi Mungu ndiye hupanga. Angalia tena wakati unamwapisha Ndugu Martin Shigela kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga, pamoja na Shigela kuwa na Masters ya sheria (LLM)...
  10. Course Coordinator

    Kwangu mimi Rais Magufuli amefanya jambo la haraka kumuondoa Naibu Waziri wa Madini, hakuna uhusiano wowote kati ya kuzungumza na kufanya kazi

    Francis Ndulane alikuwa Mhasibu Mkuu wa Tanroads Mkoa Lindi, Magufuli alipo ingia Madarakani kama Rais akamteua kuwa Mkurugenzi wa Mji Ifakara. Mwaka huu akagombea ubunge, kwenye kura za maoni ndani ya chama akashika nafasi ya tatu kwa kupata kura 21 nyuma ya Ahmed Raphael Bongi aliyekuwa...
  11. Superbug

    Simlaumu alieshindwa kusoma kiapo, Urais unatisha, Rais anatisha na Rais Magufuli anatisha zaidi

    Nakiri wazi 100% ya wakosoaji humu hawana uwezo wa kukabiliana na rais siku wakikutana nae ana kwa ana yale mamlaka yanatisha usiombe kukutana na magufuli akiwa kwenye full gear halafu ukiwa na matatizo yanayoathiri utendaji. Kiufupi simlaumu yule waziri alieshindwa kula kiapo alitawaliwa na...
  12. J

    Rais Magufuli: Kuna Mbunge ana vyeti vya "Ujanja ujanja" lakini kwa kuwa sifa ya Mbunge ni kujua KK basi watamalizana wenyewe!

    Rais Magufuli amesema kuna Mbunge vyeti vyake ni " hewa" na historia yake ya elimu imejaa ujanja ujanja. Rais Magufuli amesema huyo Mbunge asingeweza kupata teuzi ya uwaziri lakini kwa Bungeni atawafaa kwa sababu sifa kuu ya Mbunge ni kujua kusoma na kuandika. Bado najiuliza ni nani huyo? Au...
  13. The Dictator

    Rais Magufuli na WhatsApp...

    Siku ya leo katika Hotuba ya Mhe. Rais hii teknolojia (anavyoiita) ya WhatsApp amelitaja sana jina hili zaidi ya mara 6 akituhumu kuwa inavujisha sana Siri za Serikali. Jambo la kufikiria kidogo nyuma ya pazia ni nini kinaendelea au tutegemee nini hapo mbeleni ambacho hatukijui bado kipo jikoni...
  14. J

    Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

    Hii sasa ni kali. Awali Naibu waziri wa fedha ilibidi arudie kula kiapo zaidi ya mara 5 kwa sababu sehemu iliyoandikwa "Baraza la Mawaziri" yeye alitamka " Baraza la Mapinduzi" Kali ya mwaka ni huyu Naibu waziri wa madini Francis Ndulane ambaye amekuwa akisoma kiapo huku akitetemeka na hivyo...
  15. Pascal Mayalla

    Ombi Maalum kwa Rais Magufuli: Mteue Zitto Kabwe kuwa Mbunge wa Bunge la JMT, ndiye mpinzani pekee mzalendo, Capable kuongoza PAC!

    Wanabodi Anza na kumsikiliza Kufuatia kilichotokea tokea leo Zanzibar kwa Maalim Seif kuapishwa kuwa Makamu wa Kwanza wa rais Zanzibar, nimefarijika sana, na kurudisha matumaini kuwa angalau Tanzania japo hatuna any serious and credible opposition, lakini angalau tunao responsible opposition...
  16. U

    Maya Harris, Dadake Makamo wa Rais mteule wa Marekani ashinikiza ili mumewe Tony West ateuliwe nafasi ya Mwanasheria Mkuu

    VP-elect Kamala Harris' sister pushing for husband to be named attorney general: report Maya Harris has allegedly worked behind the scenes to lobby for her husband, Tony West Vice President-elect Harris’ sister participated in discussions with Democratic allies about getting her husband...
  17. Replica

    Rais Mwinyi amuapisha Maalim Seif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar. Maalim Seif asema haukuwa uamuzi rahisi

    Kutoka Zanzibar, maandalizi yameshakamilika kwa ajili ya kumuapisha Makamu wa kwanza wa Rais, Maalim Seif Shariff Hamad kutoka chama cha ACT-Wazalendo. Kuwa nami kukujuza yatakayojiri kutoka visiwa hivi vya karafuu punde kutoka sasa. PIA, SOMA=> Rais Dkt. Mwinyi amteua Maalim Seif kuwa Makamu...
  18. U

    UAPISHO: Wabunge wawili waliteuliwa na Rais Magufuli Desemba 5, 2020 kuapishwa leo Bungeni

    Spika wa Bunge Mhesh Job Ndugai ataendesha shughuli hiyo kwa mujibu wa Kanuni za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Watakaoapishwa ni Dkt Dorothy Gwajima na Mhandisi Leonard Chamuriho.
  19. Miss Zomboko

    DRC: Rais avunja muunganiko kati ya wafuasi wake na wale wa Rais Kabila

    Rais Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amesema anavunja ushirikiano wa kisiasa baina ya muungano wa vyama vinavyomuunga mkono-CACH, na vile vilivyo upande wa mtangulizi wake, rais mstaafu Joseph Kabila-FCC. Ushirikiano huo umekuwa ukiongoza serikali ya Kongo kwa miaka miwili...
  20. Roving Journalist

    Rais Dkt. Mwinyi amteua Maalim Seif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Maalim Seif Shariff Hamad, kuwa Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar kuanzia leo Disemba 06, 2020. ===== Taarifa kwa vyombo vya Habari Kwa kuzingatia matakwa ya Kifungu cha 9(3) cha Katiba ya Zanzibar ya Mwaka...
Back
Top Bottom