Pole sana ndugu Kimaro a.k.a Trump kwa jibu ulilopewa na Rais

Ed Kawiche

JF-Expert Member
May 28, 2020
2,554
4,554
Habari zenu wakulungwa wa JamiiForums

Nachukua nafasi hii kumpa pole Ndugu Kimaro a.k.a Trump kwa jibu alilopewa na rais wetu wa JMT pale Mbezi wilaya ya Ubungo.

Mimi Mangi niliyekulia Dar es Salaam bado nairudia rudia hii clip bila kujielewa!

Hakika mitano tena.

 
Yaani uzi unakupa hasira ila kwakua yuko mbali huna la kumfanya inabidi tu umueleweshe kwa staha.

Mkuu wengine hatujui kilichotokea, ungeweka hiyo clip ili tujue ABC hata tukichangia tujue tunaanzia wapi.
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom