Washauri wa Rais msisahahu ipo misingi iliojengwa na wazee wetu, kamwe msipotezee

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,188
11,219
Nakaa nakutafakari sana kule tumetoka na kule tunaenda kama taifa. Nina amini kabisa kama Taifa mtakubaliana nami kazi kubwa sana imefanyika mpaka leo hii yapata miaka zaid ya hamsini ya uhuru wetu kama Taifa.

Taifa hili limejegwa kwa jasho na dam za watu wengi na kwa bahati mbaya wengi hawakufika nafasi za juu ktk chama au kitaifa. Nilazima Kwa muktadha huwo kama Taifa tusijisahau wala tusije fikiri taifa hili ndio lina anza kujengwa sasa ikumbukwe Mwalim anachukua hili taifa hapakuwa hata na wasomi kama tulio nao leo mpaka wanakosa ajira. Taifa lilikuwa nakipindi kigumu sana kiasi waliimba Hallelujah. Kundi lina tawala sasa ni kundi lile bado lakipindi cha Mwalim Nyerere walio someshwa bure na kurud litumikia taifa lao while wengine wakipogelea hukohuko pasipo kurudi.

Serikali yangu ya awamu ya Tano nahisi kuna vijana uwenda hawajuwi kazi ngumu ilifanyika na hii hawamu haitokuwa ya kwanza kufanya miujiza. Kama taifa tumetoka mbali sana kila Rais alie pita pale magogoni atakwambia tam na shubiri ya kiti chake na kamwe hawakubeza kaz njema za serikali zimepita. Wakati wa mazishi ya Rais Msataafu Mzee Mwinyi aliongea maneno mazito sana alisema anawashangaa watu walio kuwa ktk msiba wengi wakajiuliza tupo uchi ama? Akawaambia nawashangaa kwakuwa mmevaa viatu watu wote wakacheka sana. Ila akaenda mbali akawaambia wakati wao kule pemba alivaa ndala wakati wa jando na wakati akiwa anafanya kibaruwa kama sijakosea.

Kwa wale wanajuwa kiswahili Mzee Mwinyi alikuwa anawahusia viongozi waliopo madarakani yakuwa hapo awali kabla yao tulipita nyakati ngumu sana. Alikuwa akitaka kuwahusia viongozi kutodhani wao ndio wakombozi wa Taifa na wenye uchungu wa masikini kama wao ndio masikini wakwanza tawala ktk taifa. Mzee Mwinyi Mungu ampe maisha marefu zaidi kiukweli aliongea mambo mazito sana ambayo wengi wetu yatupasa kujifunza nakuyaishi.

Nawaona mnagusa vifungu nakufanya kwa namna mnaona nyie nakusahau mbeleni kutakuwa nakiza kinene kwa kukanyaka misingi mnayo either ona imepitwa na wakati au kufikiri mnahekima sana.

Nilifurahi sana kuona hakuna sherehe za kitaifa ila baadae nikagunduwa ipo siku itakuwa nikiza kinene namiona kama nakiona kila siku kuna kitu kipya. Mwaka huu nane nane haitokuwepo Taifa la wakulima na wachapa kazi. Unaweza kuona kama kawaida ila huu ni mfululizo wakuelekea siku zenye giza nene kwa makosa madogo sana.

Mimi najiuliza unazuwia siku ya uhuru kisa gharama kuna serikali inaendeshwa pasipo gharama? Na kama hizo gharama zikiwa kubwa faida na hasara ipo wapi? Unahimiza Historia wakati siku za kitaifa mnazifanya kupita kama watu wapo kwenye kilio. Je, uzalendo unakuwa wapi je waweza fundisha uzalendo kwa nadharia kuliko vitendo? Uwenda kijana alie kuwa kwenye halaiki ya siku ya uhuru au mapinduzi amepata ujasiri kutamani kuwa kiongoz au mwanajeshi kutokana na maonyesho yale nani anajuwa. Mama alie uza maandazi na vitumbuwa vyake siku ya uhuru ama mapinduzi alipata ham yalisomesha akitamani mtoto wake aje kuwa ruban wa ndege.

Msiguse misingi iliowekwa kwa kudhani mnawerevu sana ipo siku mtasikitika kuona hathari za muda mrefu mlizo ziacha kwa kufanya mambo kwa utashi usio fuwata misingi ya Taifa hili. Watu wapo kimya ila wanafuwatilia mambo kwa umakini sana sana.
 
Hakuna mtu atajigamba kwa namna yeyote kuwa eti ni mzalendo kwa kuchezea katiba na kuharibu misingi iliyowekwa na waasisi wa TAIFA. Uzalendo ni pamoja na kuheshimu vile ulivyovikuta ikiwa ni pamoja na kuvilinda na kuviendeleza.
 
Mwamba ameshapumzika. Hii ni takribani siku 20 baada ya andiko lako.

Aliyeingia nae naona unamlalamikia, yaweza kuwa hauko peke yako hivyo sauti yako ikawa ya wengi.

Ila sasa tutalalamika mpaka lini?
Vizuri ukashauri nini kifanyike kwa mustakabali wa sasa na badae.

Sema umenisikitisha kuona yanayokukera ni kuzuiwa kwa matamasha, hii ndo misingi tunayoitegemea?
Vitu kama Mwenge vina faida gani?
Nakaa nakutafakari sana kule tumetoka na kule tunaenda kama taifa. Nina amini kabisa kama Taifa mtakubaliana nami kazi kubwa sana imefanyika mpaka leo hii yapata miaka zaid ya hamsini ya uhuru wetu kama Taifa.

Taifa hili limejegwa kwa jasho na dam za watu wengi na kwa bahati mbaya wengi hawakufika nafasi za juu ktk chama au kitaifa. Nilazima Kwa muktadha huwo kama Taifa tusijisahau wala tusije fikiri taifa hili ndio lina anza kujengwa sasa ikumbukwe Mwalim anachukua hili taifa hapakuwa hata na wasomi kama tulio nao leo mpaka wanakosa ajira. Taifa lilikuwa nakipindi kigumu sana kiasi waliimba Hallelujah. Kundi lina tawala sasa ni kundi lile bado lakipindi cha Mwalim Nyerere walio someshwa bure na kurud litumikia taifa lao while wengine wakipogelea hukohuko pasipo kurudi.

Serikali yangu ya awamu ya Tano nahisi kuna vijana uwenda hawajuwi kazi ngumu ilifanyika na hii hawamu haitokuwa ya kwanza kufanya miujiza. Kama taifa tumetoka mbali sana kila Rais alie pita pale magogoni atakwambia tam na shubiri ya kiti chake na kamwe hawakubeza kaz njema za serikali zimepita. Wakati wa mazishi ya Rais Msataafu Mzee Mwinyi aliongea maneno mazito sana alisema anawashangaa watu walio kuwa ktk msiba wengi wakajiuliza tupo uchi ama? Akawaambia nawashangaa kwakuwa mmevaa viatu watu wote wakacheka sana. Ila akaenda mbali akawaambia wakati wao kule pemba alivaa ndala wakati wa jando na wakati akiwa anafanya kibaruwa kama sijakosea.

Kwa wale wanajuwa kiswahili Mzee Mwinyi alikuwa anawahusia viongozi waliopo madarakani yakuwa hapo awali kabla yao tulipita nyakati ngumu sana. Alikuwa akitaka kuwahusia viongozi kutodhani wao ndio wakombozi wa Taifa na wenye uchungu wa masikini kama wao ndio masikini wakwanza tawala ktk taifa. Mzee Mwinyi Mungu ampe maisha marefu zaidi kiukweli aliongea mambo mazito sana ambayo wengi wetu yatupasa kujifunza nakuyaishi.

Nawaona mnagusa vifungu nakufanya kwa namna mnaona nyie nakusahau mbeleni kutakuwa nakiza kinene kwa kukanyaka misingi mnayo either ona imepitwa na wakati au kufikiri mnahekima sana.

Nilifurahi sana kuona hakuna sherehe za kitaifa ila baadae nikagunduwa ipo siku itakuwa nikiza kinene namiona kama nakiona kila siku kuna kitu kipya. Mwaka huu nane nane haitokuwepo Taifa la wakulima na wachapa kazi. Unaweza kuona kama kawaida ila huu ni mfululizo wakuelekea siku zenye giza nene kwa makosa madogo sana.

Mimi najiuliza unazuwia siku ya uhuru kisa gharama kuna serikali inaendeshwa pasipo gharama? Na kama hizo gharama zikiwa kubwa faida na hasara ipo wapi? Unahimiza Historia wakati siku za kitaifa mnazifanya kupita kama watu wapo kwenye kilio. Je, uzalendo unakuwa wapi je waweza fundisha uzalendo kwa nadharia kuliko vitendo? Uwenda kijana alie kuwa kwenye halaiki ya siku ya uhuru au mapinduzi amepata ujasiri kutamani kuwa kiongoz au mwanajeshi kutokana na maonyesho yale nani anajuwa. Mama alie uza maandazi na vitumbuwa vyake siku ya uhuru ama mapinduzi alipata ham yalisomesha akitamani mtoto wake aje kuwa ruban wa ndege.

Msiguse misingi iliowekwa kwa kudhani mnawerevu sana ipo siku mtasikitika kuona hathari za muda mrefu mlizo ziacha kwa kufanya mambo kwa utashi usio fuwata misingi ya Taifa hili. Watu wapo kimya ila wanafuwatilia mambo kwa umakini sana sana.

Sent JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom