Kesho Machi 17 ni miaka miwili ya kumbukizi ya hayati Magufuli.
Rais Samia yupo nje ya nchi, je amekwepa kwa makusudi au bahati mbaya kwenye kumbukizi ya mtangulizi wake?
Ikumbukwe mwaka jana waliadhimisha Rais Samia pamoja na Kaguta Museveni huko Chato. Mwaka huu kulikoni?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu ametunukiwa nishani ya Heshima ya nchi ya Afrika ya Kusini (National order of South Africa) na Rais wa nchi hiyo Cyril Ramaphosa katika kutambua nafasi ya Tanzania katika kuisaidia Afrika Kusini kupambana na ubaguzi wa rangi...
Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi), Profesa Riziki Shemdoe amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuidhinisha Shilingi Bilioni 266.7 kugharamia ujenzi wa mradi wa Bandari ya Uvuvi Kilwa Masoko mkoani Lindi.
Profesa Shemdoe amesema bandari hiyo ya uvuvi ikikamilika itakuwa msaada...
Ngoja tuendelee tu kunywa Mtori na Nyama huenda tukazikuta chini ya Sahani na Mabakuli.
Ngojea Sasa nimsikie Mwanamke yoyote iwe ndani ya DalaDala au Mtaani anaulalamikia Uongozi wa Rais GENTAMYCINE nitamtandika bonge la Kofi / Keleb.
Hakuna Kitu ambacho nakichukia kama Unafiki na Watu...
Mbunge wa Viti Maalum, Mwakilishi wa Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate amempongeza Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kujikita kuangazia katika suala la Ajira na Upandishwaji vyeo.
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu...
Waandishi wa habari wawili kati ya wanne walioshikiliwa baada ya kusambaa kwa video ikionesha suruali aliyovaa Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir Mayardit ikiwa imelowa hadharani ikitafsiriwa kuwa alikuwa akitokwa na haja ndogo wakati wa kusikiliza Wimbo wa Taifa.
Jumuiya ya Waandishi wa Habari...
Mbunge wa Jimbo la Namtumbo Mhe. Vita Rashid Kawawa amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza Miaka Miwili Madarakani kwa kutekeleza Miradi katika sekta mbalimbali.
1. Mhe. Vita Rashid Kawawa anapongeza Miaka Miwili ya Rais Samia kwa...
"Sisi ndio tutakuwa timu ya Kwanza kutoka kwenye ardhi ya Tanzania kulileta Kombe la CAF nchini Inshallah, Jumapili tukifanikiwa kutinga Robo fainali nina Imani tutavuka na kwenda Nusu fainali , baadae Fainali na Inshallah sisi ndio itakuwa timu ya Kwanza kushangilia taji hili""
Wananchi msiwe...
MBUNGE WA KALIUA MHE. ALOYCE KWEZI AMPONGEZA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWA MIAKA MIWILI MADARAKANI
Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Tabora Mhe. ALOYCE KWEZI amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza Miaka Miwili Madarakani huku akiainisha...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Waterkloof Air Force Base Pretoria kwa ajili ya kuanza ziara rasmi ya Kiserikali nchini Afrika Kusini tarehe 15 Machi, 2023.
Mark Takano amewasilisha muswada Bunge la wawakilishi Califonia akitaka siku za kazi ziwe nne iwe sheria ya Kitaifa Nchini Marekani.
Takano amesema jambo hilo litaongeza ubora wa maisha kwa wafanyakazi kwani itawaongezea muda wa kuishi, kucheza na kuyafurahia maisha nje ya kazi bila kupoteza...
MBUNGE WA WAFANYAKAZI JANEJELLY NTATE AMPONGEZA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWA MIAKA MIWILI MADARAKANI KWA ALIYOYAFANYA KWA WATUMISHI
Mbunge wa Viti Maalum, Mwakilishi wa Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Baada ya nchi kupata taarifa za ugeni wa Makamu wa Rais wa Marekani, ndugu zetu wahaya wameanza propaganda kwamba huyu mama ana asili ya mkoa wa Kagera, natumia fursa hii kuweka wazi kwamba hana nasaba yoyote na Mkoa wa Kagera.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Songea Vijijini Mhe. Jenista Mhagama amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza Miaka Miwili Madarakani 19 Machi, 2021 - 19 Machi, 2023
Mhe...
United States Vice President Kamala Harris will be the 18th and most senior American official to visit Africa this year in late March.
The tour to Ghana, Tanzania, and Zambia was scheduled for 25 March to 3 April.
This visit will be the most high-profile as the US and Russia go pound-for-pound...
Tunafurahi kwa diplomasia nzuri ya kufungua nchi kwa dunia. Jitihada kubwa inayofanywa na mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kurejesha mahusiano na mataifa mbalimbali hususani ya Magharibi sio ya kubezwa ...ni jitihada kubwa na leadership style ya kipekee ambayo inaleta manufaa...
Umofia kwenu wana Great Thinkers.
Nilianzisha uzi huu uitwao Rais Samia hii wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum ina ukakasi kidogo. ambapo pamoja na mambo mengine nimeona kutenganisha uzi huo na huu ninaouweka hapa hasa kuishauri serikali kwenye masuala ya kimuundo...
Amani iwe kwako mkuu wangu wa nchi.
Nimeweka heading hiyo kuweza kukuvutia kusoma usuli wa hoja yangu.
Sote tunafahamu kwa Mujibu wa Katiba kuwa tasisi unayoiongoza imepewa mamlaka ya kuunda, kupangua ama kufuta wizara mbalimbali za serikali hasa kutokana na mahitaji ya nchi kwa wakati husika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.