Chadema inahitaji huruma kutoka kwa wananchi. Je, inastahili kuhurumiwa?
Kuhurumiwa na wanachi ili ipate wabunge na wao wapate pesa za kula na kujikimu. Ila sio kutatua kero za wananchi.
Chadema wamekubali kuwa rais Samia anastahili na anafaa kuwa rais.
Sasa wanataka nini zaidi ya huruma ya...
Wakulima wa Parachichi kupata fursa ya kuuza bidhaa hiyo katika soko la China kufuatia uamuzi wa Kampuni kubwa ya ununuzi wa mazao ya Yihai Kerry ya China kuanza kununua parachichi kuanzia msimo ujao. Kampuni hiyo hivi sasa inaongoza kwa kununua Ufuta unaoingia katika soko la China kutokea...
Kutokana na uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, Tanzania sasa ipo kwenye nafasi nzuri ya kuimarika katika sekta za uwekezaji, biashara na utalii kutokana na maridhiano ya kisiasa.
Miongoni mwa vitu vinavyovutia wawekezaji ni pamoja na sera za kudumu zisizobadilika pamoja na amani na utulivu wa...
Mpaka hii leo nafikiria, tena critically, ilifanyika vipi hadi John Pombe Mgufuli akafikia hatua ya kuwa Rais wa Tanzania?
Sijamfahamu Magufuli akiwa Rais, nilikuwa namfahamu toka akiwa Naibu Waziri pale Wizara ya Ujenzi. Kuingia ofisini tu siku alipoteuliwa na Rais mkapa kuwa Naibu Waziri wa...
Wananchi wa CHIMALA washindwa kujizuia kuonyesha furaha yao Kwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Askofu Dkt. Josephat Gwajima uliofanyika Chimala, Mkoani Mbeya. Mkutano huo umefanyika Tarehe 9, Machi, 2022
GENTAMYCINE nawasubiri mnaoijua Siri hiyo Nzito iliyojificha ili nami niijue na nisiwe Nakereka tena pale nikiona Mtu kateuliwa leo Ijumaa kisha kesho Ijumaa anatumbuliwa au uteuzi wake kutenguliwa.
Mh Rais Mimi kama mwananchi wako sina tatizo na Samia Suluhu Hassan Nina tatizo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiondoka wewe anaweza kuja mtesi mwingine Watanzania tukalia tena.
Binafsi kwangu umenimaliza kama Samia Suluhu Hassan ila kama Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania...
Serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe. Rais Samia Suluhu inaendelea na ujenzi wa miradi ya kimkakati iloachwa na awamu ya sita ikiwemo ujenzi wa Daraja la Magufuli lililopo maeneo ya Kigongo Busisi mkoani Mwanza.
Ujenzi wa daraja la Kigongo Busisi umefika 67% na linatarajiwa kukamilika...
Mayiik Ayii Deng amefutwa kazi kupitia tangazo lilitolewa kupitia Runinga ya Taifa bila kuwepo kwa taarifa zaidi za sababu ya kuondolewa kwake. Waziri huyo ni mtu wa karibu wa Rais Kiir na amewahi kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais.
Kiir amechukua uamuzi huo ikiwa ni Wiki moja tangu amfute kazi...
Siku ya jana inamwingiza tena kwenye historia ya Tanzania na Dunia Mama yetu kipenzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kudhihirisha ujasiri, utu na upendo wake kwa Watanzania wote kwa kile kitendo cha kuhudhuria kama Mgeni Rasmi sherehe za Siku ya Wanawake...
Rais Samia Suluhu Hassan amejipambanua kuwa ni msikivu kwa watu anaowaongoza. Samia amerejesha uongozi shirikishi. Kwamba unapotaka kuwaletea maendeleo wananchi basi uwashirikishe Ili kujua nini kipaumbele chao. Usilazimishe kuwajengea daraja kumbe shida yao ni kisima cha maji nakadhalika.
Sasa...
Tafakuri ya Askofu Benson Kalikawe Bagonza
Rais Samia ameweka rekodi. Tutasahau barabara, madaraja, madarasa na teuzi anazofanya. Lakini hili la kukutana na Chadema katika maadhimisho ya BAWACHA hatutalisahau kirahisi.
Wapo walionuna pande zote mbili za CCM na Upinzani. Ni budi wawepo ili...
Kama una afya njema ya mwili na akili hebu chukuwa muda wako kumuangalia usoni Mama Samia kwa kutumia macho yako ya nyama na ya rohoni. Bila shaka utagundua kuwa Tanzania na watu wema wote wako salama chini ya uongozi wake. Uhakika wa kuiona kesho yao na hata kuwaona wajukuu wako kabla hujafa...
Najua unapitia mno huu Mtandao wa JamiiForums na hulali bila Kutusoma Members kadhaa Watukutu ila ni Werevu (Stubborn but Intelligent) Wakiongozwa nami GENTAMYCINE na hata leo pia Umekiri Mwenyewe kuwa ni Mwenzetu hapa na Binafsi kuna ID moja nimeshaihisi kuwa ni yako (ni Wewe) kutokana na...
Rais Samia asitisha hotuba ili azungumze na simu ya Rais wa Afrika Kusini, hiyo imetokea Mkoani Kilimanjaro wakati akiwasalimia Wana CCM nje ya Ofisi za Ccm Mkoa wa Kilimanjaro
Katika hotuba ya Rais Samia Suluhu kwenye kongamano la siku ya wanawake duniani ambalo limefanyika Moshi, Kilimanjaro na kuandalia na wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) amesema hakuna ambaye anakataa suala la katiba mpya hata chama chake kiko tayari kwa ajili ya katiba mpya.
"Suala la katiba hakuna...
Katika maazimisho ya siku ya wanawake duniani, Rais Samia amesema hakuna anayekataa Katiba Mpya. Hata hivyo amesema Mbowe anataka akisema leo, kesho suala litendeke.
Rais ameyasema hayo kwenye mkutano wa BAWACHA wakiazimisha siku ya wanawake duniani.
Aidha kuhusu suala la wabunge 19 wa viti...
Rais Samia: Hakuna kisichowezekana kwenye mazungumzo, tumeshuhudia nchi kadhaa zimeingia kwenye vita hawakupata suluhu, suluhu imepatikana kwenye mazungumzo kwahiyo tuendelee kuzungumza. Najua si rahisi kabisa watu kuja na utamaduni huu mpya ukakubalika mara moja, si rahisi, kwenuu kuna vikwazo...
Leo naambiwa ni siku ya mwanamke , wanaume hatumo lakini tutawashabikia.
Kuna wanawake wengi wamefanya mengi ya kuigwa, lakini mimi namweka kwenye kiti mama Samia Suluhu.
Toka tarehe 17 March 2021 hadi leo upepo wa nchi umebadilika kabisa:
Hali ya kuogopa maisha yako kupotea kwa kusema lolote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.