Ni nini hatma ya tiketi za bure za Rais kwa mashabiki kwa mechi ya Yanga vs. USM Alger?

Algore

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
2,097
3,362
Miezi michache iliyopita Rais alitoa tiketi 20k bure kwa ajili ya mashabiki kwenda kuishangalia Taifa Stars vs. Uganda matokeo yake tulipigwa.

Jana katoa tena tiketi 5k bure kwa mashabiki kwenda kuishangilia Yanga vs. USM Alger. Je, historia itajirudia?
 
Kwani alivyotoa za kwenda kuishangilia Yanga Afrika Kusini matokeo yalikuwaje?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Uyo saa 100 anatafuta uungwaj mkono 2025 anatumia mbinu za kitoto sana nchii maskini kama hii si angesaidia vijana wanateseka kupata mitaji ata wachache abgabarikiwa kuliko anachokifanya
 
Miezi michache iliyopita Rais alitoa tiketi 20k bure kwa ajili ya mashabiki kwenda kuishangalia Taifa Stars vs. Uganda matokeo yake tulipigwa.

Jana katoa tena tiketi 5k bure kwa mashabiki kwenda kuishangilia Yanga vs. USM Alger. Je, historia itajirudia?
Acha kuifananisha Yanga na hicho kichwa chako cha mwendawazimu.
 
Uyo saa 100 anatafuta uungwaj mkono 2025 anatumia mbinu za kitoto sana nchii maskini kama hii si angesaidia vijana wanateseka kupata mitaji ata wachache abgabarikiwa kuliko anachokifanya
Kwani teketi 5000 za shilingi 5000 Kila moja zinagharimu kiasi gani? Mbona hata Afisa elimu mkoa anaweza kutoa kutokana na posho za uendeshaji mitihani kwenye mkoa wake? Mil.25 kutolewa na Rais imekuwa Jambo kuuuubwa kweli?
 
Kweli tunaliona ni jambo kuuuuubwa kama hili kombe la "caf losers cup' .
 
Uyo saa 100 anatafuta uungwaj mkono 2025 anatumia mbinu za kitoto sana nchii maskini kama hii si angesaidia vijana wanateseka kupata mitaji ata wachache abgabarikiwa kuliko anachokifanya
Siyo kila pesa ya serikali lazima iende kwenye mikopo ndugu yangu
 
Miezi michache iliyopita Rais alitoa tiketi 20k bure kwa ajili ya mashabiki kwenda kuishangalia Taifa Stars vs. Uganda matokeo yake tulipigwa.

Jana katoa tena tiketi 5k bure kwa mashabiki kwenda kuishangilia Yanga vs. USM Alger. Je, historia itajirudia?
Na raisi alivyoongeza dau kutoka goli moja mil 5 mpaka goli moja mil 10 makolo wakaenda kupigwaaa
 
Back
Top Bottom