Rais mstaafu Jakaya Kikwete aongelea Ikulu mpya, aisifu kwa uzuri wake

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
13,794
18,513
Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesifu amuzi wa serikali kujenga ikulu Dodoma. Amesifu ujenzi wa ikulu mpya na kusema kuwa ikulu hiyo ndio uthibitisho wa adhma ya serikali kuhamia Dodoma. Asema imekamilikia vizuri na inapendeza.

Mheshimiwa Jakaya amesema Juhudi za ujenzi wa ikulu mpya zilianza na awamu ya tano na kukamilika na awamu ya sita chini ya ungozi wa Mama Samia Suluhu Hassan.
 
Mbona amemtaja?? Unapata faida gani kusema uongo?
 
Back
Top Bottom