rais

  1. E

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi amezitaka Wizara na Wadau katika sekta ya biashara kukutana kila miezi mitatu kujadiliana kuhusu changamoto za biashara

    Mwenyekiti wa Baraza la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZNBC), Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amezitaka Wizara na wadau wa sekta mbalimbali zinazofanya biashara wakutane kila miezi mitatu kujadiliana kuhusu changamoto na kuzipatia ufumbuzi. Pia...
  2. Billal Saadat

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Samia ni Rais bora ambaye hajawahi kutokea Tanzania

    Kupitia kwenye ukurasa wa Twitter, aliyekuwa Mbunge wa Arusha mjini na Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Kaskazini Godbless Lema ameandika: “Mh Rais SSH kama akiendelea kujenga Demokrasia yenye sura hii kutoka Moyoni mwake bila hila, bila shaka anaweza kuja kuwa kati ya Rais bora kabisa Tanzania...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwangu Mimi haya ndiyo Mafanikio Kuntu ya Rais Samia kwa hii miaka yake Miwili Madarakani

    1. Kiwango cha Ujinga ( Ungumbaru ) kwa Wananchi wa Taifa lake Kuongezeka. 2. Utamaduni wa Visasi na Chuki kwa Waliokuchukia na Usiowapenfa Kuongezeka. 3. Kiwango cha Elimu Kushuka na kuwa ICU huku Ufaulu wa Kisiasa kwa Wanafunzi Kuongezeka. 4. Kiwango cha Wanaume wengi kupenda kuwa kama Dada...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tokea Rais Samia aingie Madarakani Dar haijawa na hii Mvua Kubwa, ila Leo kaadhimisha Miaka yake Miwili tu it is raining cats and dogs

    Kuna nini labda Kimejificha hapa? Je, hii Mvua inamuadhimisha Hayati Dk. Magufuli kwa Kifo chake Miaka Miwili iliyopita au ni Mvua ya Kuonyesha kuwa Mama ( Rais Samia ) ana Baraka na sasa Tozo, Mikodi, na hali ngumu ya Maisha iliyoko ndiyo inaenda kuwa Historia? GENTAMYCINE nimekaa pale kusoma...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nimeona utani baada ya Simba kushinda 7-0, waambieni fedha bado zipo tupieni magoli wavuni

    Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza hayo baada ya Simba kushinda magoli 7-0 dhidi ya Horoya katika mchezo wa Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kwenye Uwanja wa Mkapa.
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Juliana Masaburi: Miaka Miwili ya Rais Samia Suluhu Hassan Imekuwa ya Baraka kwa Taifa

    Mbunge wa Viti Maalum CCM Vijana Taifa anayetokea Mkoa wa Mara Mhe. Juliana Masaburi amepongeza Rais Samia kwa kutimiza Miaka Miwili Madarakani hasa akijikita kwa kuelezea miradi mbalimbali ya kimaendeleo iliyotekelezwa na inayoendelea kutekelezwa na Serikali kwa kipindi cha Miaka Miwili ya Rais...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia wakati ukisheherekea Miaka yako Miwili hiki ndicho anachokisema Mwamposa Kanisani Kwake sasa...

    "Hayati Dk. Magufuli ndiyo Rais pekee aliyefanya Kazi za Baraka zaidi na Watanzania tutamkumbuka na tunamkumbuka hadi sasa" amesema Mtume Wao ( siyo wangu ) Mwamposa Ibadani Kwake leo. Haya Rais Samia Kazi Kwako kwa Mtu ambaye umeshammilikisha eneo la Tanganyika Packers aendelee na Huduma yake...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Nani anamwelewa Mhe. Rais anatupeleka wapi?

    Mimi Kwa maoni yangu namwona Mhe. Rais akitupeleka kuyafikia haya yafuatayo; 1. Taafa lenye maridhiano ambalo litatufanya sote tuwe ndugu 2. Anaelekea kutuachia Taifa lenye Katiba mpya itakayoratibu maendeleo na ustawi wetu kulingana na mahitaji ya sasa 3. Upo uwezekano mkubwa akatuachia Taifa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia nchini Saudi Arabia kuwaleta wawekezaji

    WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema ziara ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan nchini Saudi Arabia, imeanza kuleta matunda. Waziri Ulega ameeleza kuwa kufuatia ziara hiyo, mamia ya wawekezaji Saudi Arabia wameonyesha nia ya kutaka kuwekeza katika sekta ya mifugo na uvuvi nchini...
  10. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa ICC: Nina uhakika Putin atafika/kufikishwa mahakamani

    Rais wa zamani wa mahakama ya kimataifa ya ICC amesema anao uhakika kabisa kuwa Rais wa Urusi Vladimir Putin atafikishwa mahakamani kujibu mashtaka yanayomkabili. Dr Chile Eboe-Osuji ameongeza kuwa katika miaka ambayo hati hizo za kukamatwa zimekuwa zikitolewa wote wamejikuta mwisho wa siku...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Hizi pongezi Kwa Rais Samia zina nini nyuma yake kama sio kumbeza na kutweza utu wake?

    Imezoeleka Rais Mpya aliyeko madarakani kuadhimisha siku 100 Ikulu, utaratibu ambao nchi nyingi zimeiga kutoka Marekani. Baada ya hapo Rais anaachwa kuchapa kazi. Hata Joe Biden baada ya zile siku 100 hatukusikia tena akipongezwa Kwa mwaka mmoja au miwili au vinginevyo. Siku 100 imewekwa...
  12. Mdude_Nyagali

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ya kifo cha Hayati Magufuli kwa upande wangu

    KUMBUKUMBUYA KIFO CHA JPM KWA UPANDE WANGU. Ilikuwa saa 5 usiku 17 March 2021. Nilikuwa ndani ya kuta za gereza la Ruanda mkoani Mbeya selo namba 16. Nikasikia kelele nyingi selo zingine ukizingatia kelele haziruhusiwi usiku mpaka kuwe na tatizo. Maana kelele ndio alarm ya kuwaita askari...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Xi Jinping kukutana na Rais Putin Moscow

    Taarifa kutoka Ikulu ya Kremlin nchini Russia, imeeleza kuwa Rais wa China Xi Jinping atasafiri hadi Moscow wiki ijayo kufanya mazungumzo na Rais wa nchi hiyo, Vladimir Putin, kuhusu ushirikiano wa kimkakati. Kwa mujibu mtandao wa BBC, ziara hiyo inajiri baada ya Beijing, mshirika wa Russia...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Exaud Kigahe apongeza Miaka 2 ya Rais Samia Madarakani kwa aliyoyafanya Jimbo la Mufindi Kaskazini

    Naibu waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara nchini na Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini Mhe. Exaud S.Kigahe amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza Miaka Miwili Madarakani 19 Machi, 2021 - 19 Machi, 2023 Mhe.Exaud S.Kigahe amesema...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Innocent Bashungwa amwakilisha Rais kwenye kumbukumbu ya Hayati Dkt. Magufuli

    Waziri wa Ulinzi, Innocent Bashungwa amemwakilisha Rais Samia Suhulu Hassan kwenye misa ya kumuombea Hayati Dk. John Pombe Joseph Magufuli leo Machi 17 2023 nyumbani kwa Hayati Magufuli Chato mkoa wa Geita. Nanukuu "Nimepata heshima ya kumuwakilisha mhe. Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nitaendeleza mazuri yaliyoanzishwa na Hayati Magufuli

    Leo ikiwa ni kumbukizi ya Hayati Dkt. Joseph Pombe Magufuri, Rais Samia Suluhu amemtakia pumziko la amani na amesema anaendelea kuendeleza yale yote mazuri yaliyoachwa na uongozi wa Awamu ya tano. Miaka 2 tangu magufuri aondoke na ikiwa ni miaka 2 tangu Rais Samia Suluhu ashike madaraka tumeona...
  17. benzemah

    JamiiForums Tanzania Miaka miwili ya Rais Samia Arusha inapiga hatua kubwa kubwa sekta ya afya

    Katika miaka miwili ya uongozi wa Rasis Samia Suluhu Hassan mengi yamefanyika katika mkoa wa Arusa lakini nimefurahishwa na yaliyofanyika katika sekta ya afya. Kwa uchache mambo hayo ni pamoja na: Katika sekta ya afya, Mkoa wa Arusha umeongeza vituo vya kutolea huduma za afya kutoka 383 kutoka...
  18. benzemah

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Nimeongea na Rais Samia, vyama vya siasa visiwe chanzo kutugawa

    MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amewataka wananchi kutanguliza uzalendo kwa taifa lao na kuweka mbele zaidi mshikamano kitaifa Badala ya kukumbatia vyarna vya siasa vinavyowagawa na kuwafanya waendelee kuwa maskini huku viongozi wachache wakinufaika na...
  19. MchunguZI

    JamiiForums Tanzania Rwanda inafanya makubwa

    Wale munaosema anafungua nchi, lengo ni nini? Jirani ni Rwanda na Kagame, mtu siriasi, hana safari za hovyohovyo na vitegauchumi vinamfuata. Dunia hii vitega uchumi havialikwi kama mkutano wa CCM. Vitega uchuni hufuata uongozi siriasi. Leo hii hata Ethiopia iko juu yetu, sisi tuko bize...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kagusa Watumishi kwa Mikopo ya Elimu nchini kuanzia Vyuo vya kawaida, Kati na Vyuo Vikuu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea kurahisisha ugumu wa maisha Kwa watumishi. Mnamo tarehe 14.3.2023 Serikali kupitia Wizara ya Elimu ikishirikiana na benki ya NMB wameanzisha mfuko uitwao Elimu Loan. Mfuko huu utatoa mikopo kwa riba ya 9%, hii...
Back
Top Bottom