rais

  1. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani wanamsifia Rais Samia au CCM?

    WanaJf salaam! Najiuliza tu, kwamba shauku ya Rais Samia ni kuendelea kuongoza nchi hii kupitia chama chake cha CCM, tena anapenda chama kishinde uchaguzi katika mitaa na vijiji 2024. Kisha ashinde nafasi za Ubunge na Urais. Wakati huo upinzani umeshamuona kama kiongozi mwenye msimamo wa kadri...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi, Wazazi wamlilia Rais Samia kuhusu matokeo yaliyofutwa

    Wanafunzi 140 wa shule ya sekondari Thaqaafa ya jijini Mwanza waliofutiwa matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka jana wamemwomna Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati kwa kuziagiza mamlaka husika kuwapa fursa ya kurudia kufanya mitihani ya kidato cha nne. Wakazungumza na waandishi wa...
  3. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Ni Rais wa nchi gani aliwahi kufanya hivi?

    Nimefuatilia kwa muda toka week ilipoanza wakati Rais wa Zambia Hakainde Hichilema alipokuwa akiwavika nishani makamanda wa jeshi la nchi yake. Wakati akikagua gwaride ndipo mvua ikaanza kunyesha, no mwamvuli na shadow! ☝🏾Baada ya kukagua gwaride. ☝🏾Akiwa anakagua huku akinyeshewa mvua...
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Urusi yaanza kuimba amani baada ya ziara ya rais wa China

    Marais wote wawili wamekubaliana kwamba sheria za Umoja wa Mataifa (UN) lazima ziheshimiwe na kwamba vita vya Ukraine viishe kwa mazungumzo. Hapa Mchina atakua amemsaidia Putin apate pakutokea na kufuta aibu..... Pia hilo la ICC limempa mchecheto Xi and Putin signed and issued at the Kremlin...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ndio Magareth Thatcher wa leo, Mwanamapinduzi na Mwanamageuzi wa kweli

    Mihula mitatu ya uongozi wa mwanamama shupavu aliyekuwa Waziri mkuu wa Uingereza Magareth Thatcher kutoka 1979-1990 ilihitimishwa kwa mabadiliko makubwa nchini Uingereza. Ni misimamo yake mikali iliyopelekea akapewa jina la 'The iron Lady' Historia ya Margareth Thatcher ni ya kusisimua sana...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanasema Rais Samia anaendelea kuvunja rekodi

    Tangu aingie madarakani Rais Samia Suluhu aliahidi vitu vingi na akasema yeye amekuja na nguzo nne zitakazomuongoza katika uongozi wake ambazo ni Maridhino, Ustahimilivu, Mabadiliko pia Kujenga upya. Tumeona amezifanyia kazi nguzo zote nne na sasa yuko katika ujenzi wa Tanzania mpya. Rais Samia...
  7. benzemah

    JamiiForums Tanzania Ukaguzi wa CAG 2021: Halmashauri zilizopata Hati Mbaya zimepungua

    Mwaka wa fedha 2020/21 Taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) kuhusu ukaguzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha 2020/21 zinaonesha kuimarika ikiwa ni kielelezo kuimarika kwa usimamizi wa fedha katika ngazi hiyo. Halmashauri zilizopata Hati...
  8. benzemah

    JamiiForums Tanzania Miaka miwili ya Rais Samia: Halmashauri zavuka malengo ukusanyaji mapato

    Katika miaka miwili ya uongozi wa awamu ya Sita chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Halmashauri nchini zimevuka malengo ya makusanyo ya mapato yaliyowekwa. Mwaka 2021/22 halmashauri zilikusanya mapato ya ndani ya Sh bilioni 888.7 kati ya Sh bilioni 863.86...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ufisadi uliotamalaki tangia aingie madarakani

    ~ Tozo kandamizi. ~ Ufisadi uliotamalaki tangia aingie madarakani. ~ Maisha kupanda bei, leo hii kula mlo mara mbili ni anasa. Maana maharage tu ni Tsh. 3,000. ~ Kufutia mafisadi makosa huku wasio na urafiki nae wakisota gerezani ~ Ndege za waarabu kushusha makontena hifadhi za taifa.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini inatumika "Mama Samia" badala ya Rais Samia?

    Jina lake Samia; kwanini aitwe mama Samia, badala ya kuitwa Rais Samia? Maana ukisema mama inasimama badala ya mama yake, au mume wake angeitwa Samia (Mrs).
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, neno lako tu litasaidia wakazi wa Mpiji na Makabe kupata Lami

    Rais wetu Mpendwa, binafsi najiona mwenye bahati kuwa na Rais wa aina yako. Kikubwa zaidi ni kwa jinsi ulivyoubeba uhusika wa kuwa Kiongozi usiyebagua watu wako. Zaidi ya kuwa Kiongozi wa Taifa letu lakini pia Umejaaliwa SANA UTU. Mama yetu pamoja na Majukumu mengi uliyonayo natamani japo...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania tu Rais wa Nchi anaitwa mpendwa naye kuchekelea!

    Wapigadili, walafi, mafisadi na matapeli wana akili sana. Kila kiongozi anayeingia madarakani humkalia kikao na kujua wapi anawashwa ili wamkune hapo hapo! Hakuna Rais aliyewahi kuwa na mapenzi na watu wake Kwa hapa Tanzania kama Julius Nyerere lakini hatukuwahi kusikia akiitwa "Rais wetu...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Kuna jambo linasahaulika kuhusu Rais Samia

    Mambo mengi yametajwa kuhusu mafanikio ya Mhe. Samia Suluhu Hassan katika miaka hii miwili, lakini kuna jambo kubwa sana ambalo bila kulisema hayo mengine yote ni bure na hayana maana. Ni kuhusu kujenga FAMILIA. 1. Rais ameunganisha familia- Watu wengi walikuwa magerezani, mahabusu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kamwe siwezi kuwaamini watu walioteuliwa na Rais katika nchi inayoitwa Tanzania

    Natanguliza shukrani zangu kwa Mwenyezi Mungu mwingi wa kusamehe, pia nawashukuru wazazi wangu Kwa kunileta duniani na kuweza kupata uhai ambao Leo hii unanifanya naweza kufikiri Kwa mapana. Leo katika kupitia pitia katika mitandao ya kijamii nimekutana na nukuu iliyonukuliwa wanahabari...
  15. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tumpongeze Rais Samia, lakini tusiache kumshauri na kumkosoa

    Rais leo hakika umekonga nyoyo za wengi kwa kukabidhi shamba darasa kwa vijana ambapo umefanikisha lengo la kupunguza tatizo la ajira na hata itapelekea kutowesha tishio la njaa nchini na Afrika Mashariki. Kwa dhati nampongeza waziri Bashe kwa kusimamia hili kwa mafanikio makubwa. Jambo la...
  16. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Je, zawadi za pesa kwa magoli zinakiuka kanuni za CAF?

    Leo kuna jambo nilikuwa nafuatilia na katika kupekuapekua huko mitandaoni, nikawa napitia kanuni na sheria za mashindano ya CAF nikakutana na kitu kilichonifanya nijiulize maswali kuhusiana na zawadi za magoli za Muheshimiwa Rais Samia Hassan. Katika document ya CAF inayoitwa "Regulations of...
  17. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Sitasahau siku ambayo nimekutana na Rais Putin ikulu ya Kremlin

    Nikiwa lecturer bora au kwa namna nyingine nikiwa mmoja wa wafanyakazi bora wa nchi ya nchi ya Russia hatimaye wiki iliopita nimeweza kutimiza ndoto yangu ya kukutana na Rais wa Urusi bwana Vladimir Putin na kuweza kushikana nae mkono ama hakika hayo kwangu ni mafanikio na hata kama nikifa leo...
  18. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu amepokea hundi ya Dola Milioni 30 kutoka kwa Barick Gold Mine

    Rais Samia Suluhu amepokea hundi ya Dola Milioni 30 (Bilioni 70) kutoka kwa Barick Gold Mine kwa ajili ya ujenzi madarasa nchi nzima hasa kwa ajili ya Wanafunzi wa kidato cha 5 na 6 watakaoanza masomo katika muhula ujao wa masomo Rais Samia ameeleza kuwa kwa sasa wanafunzi watakaomaliza masomo...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia fanya maridhiano pia na "Umoja Party", usidanganye kuwa kimekufa

    Kinachoendelea kwa Serikali ya CCM na CCM yenyewe ni mwendo wa maridhiano ili nchi itulie kila anayekula na kipofu asiguswe mkono. Kama hiyo ndiyo njia muafaka iliyochaguliwa basi hakuna haja ya kujenga chuki na waasisi wa Umoja Party inayoendelea nchini kutafuta wadhamini Ili hatimaye kipate...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia ikitokea Timu za Ihefu FC na Gwambina FC zinacheza Kimataifa utaendelea Kununua Magoli kwa Tsh Milioni Tano?

    Nasubiri jibu lako Mheshimiwa Rais hasa nikijua kuwa huwa Unanisoma GENTAMYCINE na Wengineo hapa JamiiForums na Kuburudika nasi vile vile. Hongereni pia Vilabu vya Simba na Yanga kwa ama Kutokujua Kwenu au kwa Uzwazwa wenu Kukubali kuwa Mali ya CCM na Serikali.
Back
Top Bottom