Tetesi: Hakuna askofu yeyote wa Kanisa Katoliki anayehudhuria ufunguzi wa ikulu ya Dodoma siku ya leo. Walimwandikia rais Samia kuhusu hilo

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
13,807
18,534
Ikulu mpya ya Dodoma inafunguliwa leo, viongozi mbalimbali wamehudhuria ikiwa ni pamoja na viongozi wastaafu na viongozi wa dini.

Hukuna askofu yeyote wa Kanisa Katoliki kwenye ufunguzi huu! Wapo wapi?

Rais Samia amesema kuwa maaskofu walimwandikia barua kuomba udhuru kuwa watakwenda Roma kwa hija. Maaskofu Katoliki wote wapo Roma ambapo licha ya kufanya hija, watafanya mkutano wao wa Ad limina (mkutano wa kila baada ya miaka 5) na Baba Mtakatifu.
 
Time will teri
 
Sio wote wako Roma. Wengi tu wamebaki nyumbani. Haiwezekani hata siku moja maaskofu wao wote wakawa sehemu moja kwa wakti mmoja hata kwenye sherehe zao wenyewe!
 
Maaskofu wote walikuwa na ziara maalum Vatican na wamemaliza kikao maalum na Papa Francis. Hata katibu mkuu TEC yupo huko! Nafikiri jimbo kuu Dodoma watakuwa wametuma mwakilishi.
Walioenda Vatican ni maaskofu wote wa majimbo pamoja na mapadre wasimamizi wa majimbo yasiyo na maaskofu. Hata hivyo, Kuna maaskofu wengi wastaafu kama Mwadhama Polcarp Cardinal Pengo, Wahasham Maaskofu Wastaf Josephat Lebulu(ARUSHA), Damian Kyaruzi( Sumbawanga) na Nobert Mtega(Songea).

Badala yake TEC imewakilishwa na Padre. Yote ni mema.
Kama kanisa , tunaishukuru serikali kwa mwaliko.
 
Back
Top Bottom