rais

  1. BigBro

    JamiiForums Tanzania Baba wa mke wa Rais Zanzibar

    Kuna anayemjua Baba wa Mariam Mwinyi ambaye ni mkatoliki mke wa Rais wa Zanzibar, Hussen Mwinyi?
  2. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naibu Rais Kenya: Hatutajenga Barabara kwenye Majimbo yanayopinga Sheria ya Fedha

    Rigathi Gachagua ambaye ni Naibu Rais wa Kenya amesema Wabunge wote wanaoikataa Sheria hiyo wasitarajie miradi mikubwa ikiwemo ya Ujenzi kwenye majimbo yao kwasababu hakutakuwa na sehemu ya kutoa hizo fedha kama watapinga. Gachagua amesema Serikali inasubiri Sheria hiyo ili iweze kuongeza...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Awaandalia Yanga Hafla ya Kuwapongeza

    RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Ameandaa hafla ya kuwapongeza Wananchi, Young Africans SC kwa hatua waliyofikia kwenye michuano ya kombe la shirikisho Afrika ambapo klabu hiyo ilifika fainali na kufanikiwa kutunukiwa medali kama mshindi wa pili. Hafla hiyo ya...
  4. B

    JamiiForums Tanzania William Ruto, Rais wa Kenya: Waafrika tuachane sasa na malipo ya kutumia Dola

    Ni muda muafaka sasa kuachana na malipo ya Dola ya Marekani. By William Ruto. Rais wa Kenya, William Ruto ametoa ushauri huo kwa viongozi wa Afrika akisema ni muda wa kuanza kuchukua hatua ya kuachana na malipo ya fedha kwa kutumia Dola ya Marekani badala yake kuwepo na mfumo wa malipo wa...
  5. D

    JamiiForums Tanzania January Makamba amepeleka wapi mabilioni ya pesa za ruzuku ya mafuta? Amchonganisha Rais na wananchi

    January Makamba amepeleka wapi mabilioni ya pesa za ruzuku ya mafuta? Amchonganisha Rais na wananchi Rais Samia Suluhu Hassan alimuagiza Waziri wa Nishati, January Makamba, kuweka ruzuku ya mafuta kiasi cha shilingi Bilioni 100 kwa mwezi ili kutoa ahueni kwa wananchi kwenye bei ya mafuta na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila, PR yako ya kumsafisha rais juu ya shida ya Maji jijini wana Dar es salaam hatudanganyiki

    Siku hizi RC Chalamila kila akipata fursa ya kuzungumza mbele ya rais, haachi kutoa data zenye ukakasi kuhusu suala la maji jijini Dar es salaam. Amekuwa mara kwa mara akitoa data kuwa rais katoa fedha kujenga miundo mbinu ya maji hapa na pale jijini, hata hivyo hanukuu ni bajeti ipi hizo pesa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Wiki ijayo nitakuwa na kikao na Viongozi wa Dini ajenda kubwa ni Tokomeza adui ili Rais Samia apenye bila kupingwa

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ameyasema hayo akizingumza katika mapokezi ya ndege mpya ya mizigo aina ya BOEING B767-300F, mapokezi yanayoongozwa na Rais Samia katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam.
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Katiba haipaswi kutungwa kwa maagizo ya Rais, kinachofanyika ni kiinimacho

    Wakati safari ya Watanzania kwenda kupata Katiba mpya ikiendelea, Balozi Willibrod Slaa ameukosoa mchakato huo, akisema kinachofanyika ni kiinimacho na hakina uhalali kisheria. Hoja ya mwanasiasa huyo aliyewahi kuwa katibu mkuu wa CHADEMA, inajengwa kwenye msingi kwamba “Katiba haipaswi...
  9. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tuna haja kuwa na Ofisi ya Maadili ya Viongozi wa Umma?

    Suala la maadili ya viongozi limekuwa ni changamoto. Uwepo wa ofisi ya maadili ya viongozi wa umma ni jambo linalopaswa kuendana na nidhamu za viongozi kiutendaji na kimaadili. Ripoti za CAG nyingi zilizopita zomeonesha ukiukwaji mkubwa wa uadilifu wa viongozi katika ngazi husika. Imeonekana...
  10. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni na watu wa Uganda waungwe mkono, asema Mufti Mkuu wa Oman

  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto azitaka nchi za Afrika kuacha kutumia sarafu ya dola kwenye biashara zao za kimataifa

    Rais Ruto wa Kenya amezitaka nchi za Africa kuacha kutumia sarafu ya US Dollar 💵 💵 💵 kwenye biashara zao za kimataifa. Ruto anashangaa kwa nini Africa tumekuwa watumwa wa sarafu ya dola ya kimarekani kwenye biashara zetu kiasi kwamba inafikia nchi za Afrika zashindwa kuuziana bidhaa zao mfano...
  12. Morocco forever

    JamiiForums Tanzania Mufti Al Khalil: Mapambano ya Rais wa Uganda dhidi ya ushoga

    Allah amjaalie Mufti huyu afya njema na umri mrefu wa kuishi, Aamiin! Museven, Mwenyezi Mungu akubariki, hakika upo 💪🏽 huyumbishwi na wamagharibi. Moderator kwa hisani yenu, mmeshanifutia nyuzi zangu zaidi ya moja, nimeongea hamkunielewa, basi kwa leo nawaombeni muiache hii Waabheja sana bhabhaa
  13. R

    JamiiForums Tanzania January Makamba anamfanyia hujuma Rais Samia

    Waziri wa Nishati, January Makamba, anamfanyia hujuma za wazi Rais Samia Suluhu Hassan ili kutimiza ndoto yake ya muda mrefu ya kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hujuma yake ilithibitika wakati wa bajeti ya Wizara ya Nishati ya 2023/2024 jijini Dodoma wiki hii ambapo Makamba aligawa...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Upendeleo wa Rais kwa Yanga unakwenda kuisambaratisha Yanga vipande (inafungwa na USM)

    Yamkini wachambuzi wa soka wameligundua hilo mapema lakini wanaogopa kusema. Kinachofanywa na Rais dhidi ya Simba na yanga ni kama kulea watoto wawili wa kufikia kinafiki! Mtoto wa kambo (simba ya champion) akiwa darasa la juu kabisa la ushindani (champion) anapewa motisha sawa sawa na mtoto...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Rais Samia aondoe hati ya dharura kwenye Muswada wa Sheria ya Usalama wa Taifa, pia TISS ikaguliwe matumizi yake ya fedha

    Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akizungumza katika mkutano wa hadhara Ktavi, amesema; "Tulivyopata taarifa kuwa muswada wa sheria ya usalama wa Taifa umefichwa - fichwa tukasema, wametusikia na sasa wameuweka wazi kwamba sasa wataujadili.Hii ndiyo faida ya vyama vingi kwamba...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Nilimtumainia sana Rais Samia, sasa naanza kukata tamaa

    Haya yananifaya imani yangu kwake iwe haba; 1. Kauli ya kila mtu ale kwa kamba yake, najua mnapatapata kwenye maeneo yenu, msivimbiwe! 2. Ripoti ya CAG amemeza pini as if hakuna kilichotokea na hakuna hatua aliyochukua. 3. Danadana za Katiba mpya. 4. Naibu Waziri na ajali yenye utata. 5...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar tafuta washauri wazuri suala la ardhi ya Bagamoyo

    Hili sakata la ardhi ya Bagamoyo ya hekari elfu sita kuwa ni mali ya Zanzibar lina ukakasi na halifai kupita bila ya kupata mawazo mbalimbali yenye lengo la kuboresha uelewa mpana wa raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni kweli Mwalimu Nyerere aliwapa Zanzibar ardhi ya Bagamoyo ili waweze...
  18. HERY HERNHO

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani, Joe Biden ajikwaa na kuanguka katika hafla ya Colorado

    Rais wa Marekani Joe Biden amejikwaa na kuanguka alipokuwa akikabidhi cheti cha diploma katika sherehe ya kuhitimu kwa Chuo cha Jeshi la Wanahewa la Marekani huko Colorado. Biden, ambaye ndiye Rais mkongwe zaidi wa taifa hilo anayehudumu akiwa na umri wa miaka 80, alisaidiwa kusimama na...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman?

    Ni kitambo kidogo tangu kiongozi huyu aonekane hadharani. Ni zaidi ya miezi karibu 7 Mhe. Othman hajaonekana kwenye tukio lolote la Kitaifa. Mfano ni hivi karibuni Masoud hakuwepo Dodoma katika Hafla ya Uzinduzi wa Ikulu ya Chamwino. Si hivyo tu, hata kwenye matukio makubwa ya Kisiasa visiwani...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto anasema hapati Usingizi kwakuwa Wakenya Wana Maisha magumu, je, Wengine inakuwaje Wanaupata na Kunenepeana hovyo?

    Katika Kuadhimisha Siku ya Madaraka huko nchini Kenya Rais Ruto kasema anakosa Usingizi akiwaza Kupanda kwa Gharama za Maisha kwa Wakenya na hali Ngumu ya Maisha. Chanzo: Gazeti la The Standard. Nami GENTAMYCINE Rais wa JamiiForums namjibu Rais Mwenzangu wa Kenya Ruto kuwa napata mno Usingizi...
Back
Top Bottom