Rais Samia akifungua Jengo la Kitega Uchumi la Kanisa la Anglikana - Central Tanganyika Dodoma

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,814
11,991

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifungua Jengo la Kitega Uchumi lenye Ukumbi wa Huduma za Jamii la Kanisa la Anglikana- Central Tanganyika Dodoma tarehe 15 Agosti, 2023 jijini Dodoma.

06f078fe-e838-4d34-bce5-226f965feaa4.jpg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akivuta utepe pamoja na Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Central Tanganyika (DCT) Dkt. Dickson Chilongani kuashiria ufunguzi Rasmi wa Jengo la Kitega Uchumi (Safina House) la Kanisa hilo kwenye Sherehe zilizofanyika katika viwanja vya Kanisa Kuu la Roho Mtakatifu Jijini Dodoma tarehe 15 Agosti, 2023. Engine katika picha ni Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Mhashamu Dkt. Maimbo Mndolwa pamoja na Maaskofu wengine wa Kanisa hilo nchini.

519a9269-65af-48cc-8ce9-3699a15b3793.jpg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Maaskofu wa Kanisa la Anglikana Tanzania wakati akikata utepe kuashiria ufunguzi Rasmi wa Jengo la Kitega Uchumi (Safina House) la Kanisa hilo kwenye Sherehe zilizofanyika katika viwanja vya Kanisa Kuu la Roho Mtakatifu Jijini Dodoma tarehe 15 Agosti, 2023.

06e2de90-76e9-4e75-a072-cca9dbb52323.jpg

0290612a-c086-4cf3-a491-374e67310255.jpg
Muonekano wa Jengo la Kitega Uchumi (Safina House) la Kanisa la Anglikana Tanzania, Dayosisi ya Central Tanganyika ambalo limefunguliwa Rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye hafla iliyofanyika katika viwanja vya Kanisa Kuu la Roho Mtakatifu tarehe 15 Agosti, 2023.

896abf5c-4c4f-4ddf-b0e6-35c3856ad5be.jpg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akicheza pamoja na waimbaji wa Kwaya ya Safina wakati wa Sherehe za ufunguzi wa Jengo la Kitega Uchumi (Safina House) la Kanisa hilo lililopo katika viwanja vya Kanisa Kuu la Roho Mtakatifu Jijini Dodoma tarehe 15 Agosti, 2023.

1c611b96-b865-4d24-8c14-e35d92d98712.jpg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Central Tanganyika (DCT) Dkt. Dickson Chilongani mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Kanisa Kuu la Roho Mtakatifu kwa ajili ya ufunguzi Rasmi wa Jengo la Kitega Uchumi (Safina House) la Kanisa hilo Jijini Dodoma tarehe 15 Agosti, 2023.
 
Back
Top Bottom