Jenerali(Rt) Venance Mabeyo anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
8,166
11,569
hii ni kwa uchache sana kwa sasa,
Ni raia mwema wa Tanzania, mzalendo na muadilifu alietukuka.

Ni Mzoefu katika utumishi wa Uma.

Ni mtu mzima aliepikwa vilivyo ktk utumishi na kwahivyo hekima, busara na uzoefu wake ni wa mfano.

Ana nia na uthubutu mwema usio na shaka kwenye kila jambo analosimamia.

Ni muaminifu, mkweli na asie na tamaa ya madaraka, mali au fedha.

Ni mzoefu wa masuala ya kitaifa na kimataifa.

Ni alama ya Amani, mshikamano na Umoja wa kitaifa Tanzania.

Ni mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu.

Si mbinafsi, hana upendeleo wala makuu anapotekeleza majukumu yake.

Ni mtu wa watu licha ya cheo na mamlaka aliyokua nayo, hajivuni na wala haringi.

Ni mwiba na mwarobaini wa rushwa, ubadhirifu wa mali za umma na uonevu wa namna zote nchini.

Ni Mpenda haki, usawa, uwajibikaji na Maendeleo.

Ni mchapa kazi makini, mwenye weledi usio na shaka, hodari na asie choka wala kukata tamaa.

Hana kundi au makundi ndani na nje ya chama, lakini pia ndani na nje ya serikali aliopkua mtumishi wa uma.

Anakubalika pasina shaka ndani na nje ya chama, zaidi sana ndani na nnje ya nchi.

Ndiye tumaini pekee la waTz walio wengi, waliokata tamaa ya maisha kutokana na hali ngumu ya maisha iliyopo.

Ndiye kiunganishi pekee dhidi ya makundi ya urais ndani ya chama tawala na miongoni mwa vyama pinzani.

Ni muwazi mwenye kupendelea utawala wa sheria na utawala bora.

Ana hulka ya kujiamini, kujituma na kuhakikisha analosimamia linatimia katika ukamilifu na ubora unaostahili.

Ana haiba ya kusikiliza maoni ya wengine na, ni mustahimilivu wa mfano katika mambo magumu.
Siku zote ni mtulivu mwenye tafakari makini tangu anapowaza jambo, anapolisema na kulitenda.
Ni muumini wa Muungano uliopo wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ni mpenda amani, utulivu na utengamano miongoni mwa majirani waliotuzunguka ie EAC etc.

Hana tatizo, mzozo, uhasama, uadui au tofauti yeyote kisiasa, kijamii wala kiuchumi na mwanasiasa awaye wa chama chochote nchini.

Ni Tumaini la pekee la ulinzi na matumizi sawa ya rasilimali za nchi kwa manufaa sawa kwa wote kwa kizasi cha sasa na kijacho.

Ni tumaini muhimu na la uhakika kwa vijana hususani wasaka ajira, wafanya kazi wa umma, wafanya biashara, wakulima, wafugaji na jamii kwa ujumla na kwamba huyu muungwana amebeba suluhisho la mahitaji yao.

Ni tumaini muhimu na lenye tija kwa waTZ katika kutatua changamoto mtanbuka za maji, elimu, afya, miundombinu, viwanda, uwekezaji n.k. Huyu muungwana anayo siri ya utatuzi wa hizi chanagamoto.

Si muongeaji sana bali ni mtendaji zaidi.

Ni hodari katika masuala ya usalama na ni mzoefu zaidi ndani na nje ya jeshi katika uongozi.

Ndie mwana mageuzi na mwana-demokrasia wa kipekee, hitajika kwasasa nchini, aliebeba ahueni kwa wanasiasa walio wengi na tiba ya majeraha ya wanaohisi kuonewa na kubinywa na dola lakini pia wasioridhika na hali ilivyo kwa sasa, na kwakweli muungwana huyu anakwenda kurejesha imani ya waTZ iliyotetereka dhidi ya taasisi na mihimili ya dola.

Vigezo alivyonavyo huyu muungwana ni vingi mno ukilingalisha na yeyote yule unaeweza mpendekeza wewe kuwa kiongozi wa nachi. Kwangu mimi muungwana huyu ndiye.

The man is going to take us higher and make Tz great and respected again.

Muungwana huyu atakapo kua Kiongozi wa JMT ndugu, Hussein Ali Mwinyi atakua makamu wa Rais wa JMT.

Mungu Ibariki Serikali Ya Mapinduzi Ya Zanzibar, Mungu Ibariki Jamuhuri Ya Muungano Wa Tanzania na watu wishio ndani yake Amen.
 
Ni kama kuna mwiko kwa Wanajeshi wastaafu wa ngazi za juu Tanzania kushiriki siasa za nchi
 
jamii forum imejaa wapumbavu aisee, mtu yupo analea wajukuu wewe wewe unataka arudi jeshini
 
Yaani ukiwa tu ccm ukipewa urais, unajikuta unageuka kuwa shetani mwenye mapembe
 
Haya yote mbona hakuyaonyesha wakati wa enzi zake? Uchaguzi ulikuwa unaporwa kwa kutumia jeshi lililokuwa chini yake.
 
Back
Top Bottom