Rais wangu Samia ni nini kinashindikana kuwaondoa hao wakazi wa Ngorongoro wanaoomba kuondolewa Ngorongoro?

saigilomagema

JF-Expert Member
Jun 5, 2015
4,173
6,156
Serikali ilianzisha mpango wa kuwatoa wananchi ktk hifadhi ya Ngorongoro, wamekubali kwa hiari yao na wamejiandikisha tangia mwaka jana lakini bado serikali haiwahamishi kuwapeleke Mosmera au sehemu nyingine yoyte maana wako tayari.

kila siku wanalalamika kwanini hawaondolewi, kuna nini huko serikalini? Wananchi wako njia panda, kwanini muwatese hivyo?
 
Back
Top Bottom