rais

  1. funaku

    JamiiForums Tanzania Nani yupo nyuma ya Feitoto? Kuihujumu Yanga wakati huu ni kumhujumu Rais Samia

    Hii ni kwa wajuvi wa mambo na trend readers and observers. Jana tunaona trend ya shutuma na majibu ya shutuma dhidi ya Rais Mwinyi wa Zanzibar, tunatulia. Leo asubuhi tunaona trend ya shutuma dhidi ya Rais wa Yanga kutoka kwa mzanzibari feitoto ikiwa ni tuhuma nyingine masaa machache dhidi ya...
  2. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani Joe Biden aanguka jukwaani

    Leo Rais Biden wa USA ameanguka jukwaani wakati akisalimiana na Wahitimu wa chuo cha kijeshi cha Anga huko Colorado, chanzo cha kuanguka hakijulikani kama amejikwaa au ni umri mkubwa kiasi kwamba anapoteza balance. Mara baada ya kuanguka maafisa wa usalama wamemsaidia kuinuka fasta na kumpeleka...
  3. tamsana

    JamiiForums Tanzania Kipanya ni shabiki wa Yanga lakini ametumika kumhujumu Rais wa Yanga

    Salam wana jamvi. Ni siku chache tu waliowengi tuliona post ya mjasiriamali mbunifu wa gari la umeme Bw. Kipanya akisambaza sauti ya vikao vya ndani vya maafisa wa serikali wakijadili kuhusu gari lake. Wadau waliowengi walisikitishwa na maongezi ya maafisa wale na kukemea kwa nguvu kitendo kile...
  4. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Natamani kuwa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania

    Hapo vip! Hii ni moja ya ndoto zangu tokea enzi na enzi,nina imani siku ni kiwa rais wa nchi itakuwa ndio mwanzo na neema kubwa ya kila mwananchi maisha yake kuwa bora na umaskini itakuwa ni historia. Nasema hivyo kwasababu uwezo huo ninao,nitakuwa rais ambaye watanzania watatamani aongoze...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Arusha: Hekari 101 na Magunia 482 za Bangi zateketezwa

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na dawa za kulevya imeteketeza jumla ya hekari 101 za mashamba ya bangi sawa na kiasi ya kilo 550 za bangi mbichi pamoja na magunia 482 ya aina hiyo ya dawa za kulevya katika eneo la Kisimiri juu kata ya Uwalu, Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha. Ukamataji huo...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Rais FIFA atoa pongezi kwa Club ya Yanga SC

  7. T

    JamiiForums Tanzania Haya uto Rais katoa dege dreamliner, mkafungwe tena

    Pamoja na kupewa dege na Rais bure kuwasafirisha yanga kwenda Algeria, naskitika kusema hapa kwamba tarehe 3/6/23 uto atapokea kipigo kama cha ngedere aliyekula parachichi za mkinga.
  8. Area 56

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais na ziara za mara kwa mara nchini Burundi

    Leo Makamu wa Rais, Philip Mpango ametua Bujumbura, Burundi. Tangu kuteuliwa kwake, Makamu wa Rais ameshaenda Burundi zaidi ya mara mbili. Kulikoni ziara hizi za mara kwa mara nchini huko kunani?
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Wazi kwa Rais kuhusiana na Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Usalama wa Taifa ya Mwaka 2023

    1. Kwanza kabisa napenda kusema kwamba Mimi binafsi huwa sipendi na wala sina utamaduni wa kupenda kutoa maoni yoyote humu mitandaoni wala kwenye Jamii kuhusiana na masuala ya siasa na hata ya masuala mengine yoyote ya kijamii. Kwa kifupi Mimi siyo mtu wa kupenda mijadala kabisa hususani...
  10. Kyakashombo

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaruhusu Mkuu wa Wilaya kumpinga Rais Samia kumstaafisha kabla ya muda kisheria

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora Mjini wakati wa Magufuli Komanya Kitwala ameruhusiwa kufungua kesi na Mahakama, Ili kupinga kustaafishwa kwa lazima na Mkuu wa nchi, kwa manufaa ya Umma. Kwa taarifa kamili soma kiambatisho Cha gazeti hapo chini. ---- Mahakama Kuu Masjala Kuu imemruhusu...
  11. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apewe maua yake

    JAMHURI ya Muungano wa Tanzania-Kazi Iendelee. Mei Mosi kulifanyika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi duniani, kama ilivyo kawaida ya siku zote inapofika tarehe na mwezi huo. Kitaifa siku hiyo iliadhimishwa mkoani Morogoro ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais Samia Suluhu Hassan. Katika sherehe...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati ataka Mabadiliko ya Katiba yanayompa nafasi ya kugombea tena

    Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Faustin Archange Touadera amesema Nchi hiyo itapiga Kura ya Maoni Julai 2023 kwaajili ya kupitisha mabadiliko yatakayowezesha Rais aliyeko madarakani kuwania Urais kwa kipindi cha 3. Kupitia hotuba yake kwa Taifa, Rais Touadera ameeleza kuwa tayari...
  13. Magufuli 05

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya wamshukia Rais Ruto kuhusu safari nje ya Kenya

    Soma hapa tafadhali
  14. LAZIMA NISEME

    JamiiForums Tanzania Kwanini madaraka ya rais yanalalamikiwa sana na nini kifanyike kwenye katiba ijayo?

    KWANINI MADARAKA YA RAIS YANALALAMIKIWA SANA NA NINI KIFANYIKE KWENYE KATIBA IJAYO? MJADALA KATIKA FORUM YA KATIBA YA WATU
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Shonza: Kwa Mara ya Kwanza Tutampitisha Rais Mwanamke kwa Kishindo Mwaka 2025

    MHE. JULIANA SHONZA - "KWA MARA YA KWANZA TUTAMPITISHA RAIS MWANAMKE KWA KISHINDO MWAKA 2025" "Tutampitisha Rais Mwanamke Madarakani kwa mara ya kwanza mwaka 2025 kwa kumpigia kura za kutosha, kura za heshima. Hatutamchagua kwa sababu ni Mwanamke, hatutamchagua kwa sababu ni takwa la Serikali...
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Wallace Karia Rais wa TFF asema si vyema Yanga kwenda na ndege ya Rais baada ya kupoteza mchezo

    Salaam ndugu zangu, Nimekutana na video fupi ikionesha Rais wa TFF Wallace Karia akisema kwamba itakuwa si vizuri kwa Yanga kwenda na ndege ya Rais baada ya kupoteza mchezo. Je, kuna ukweli wowote wa juu ya hili? Tusaidieni kumhoji Picha1: Sehemu ya Tweet inayomlaumu Rais Karia kwa kauli...
  17. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ampongeza Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdoğan kwa Kuchaguliwa Tena

    Kupitia ukurasa wa mtandao wa Twitter, Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za pongezi kwa Rais Recep Tayyip Erdoğan kwa kuchaguliwa tena kuendelea kuwa Rais wa Uturuki. Ameandika: "Pongezi za dhati kwa Mheshimiwa Rais Recep Tayyip Erdoğan, kwa kuchaguliwa tena kuendelea kuwa...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mufindi Kusini Wamzawadia Rais Samia Ng'ombe

    MUFINDI KUSINI WAMZAWADIA RAIS SAMIA NG'OMBE “Zawadi hizi; Ng'ombe Wawili, Mmoja kwa Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na mwingine kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo zimetolewa na Wana-Mufindi Kusini na mimi ninazikabidhi kwa niaba ya kuwawakilisha wananchi wa Mufindi Kusini...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mahakama yamfutia kesi za ufisadi Rais Mstaafu Bakili Muluzi

    Mamlaka za nchini Malawi zimemaliza kesi ya rushwa dhidi ya Rais wa zamani Bakili Muluzi aliyewahi kuhudumu kwa mihula miwili ya miaka mitano kama Rais kati ya 1994 na 2004 lakini alishtakiwa miaka mitano baada ya kuondoka madarakani. Yeye na aliyekuwa katibu wake wa kibinafsi, Lyness Whisky...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dakika chache baada ya kuapishwa, Rais wa Nigeria afuta Ruzuku ya Mafuta

    Rais mpya wa Nigeria, Bola Tinubu ametumia hotuba yake ya kwanza baada ya kuapishwa kutoa tangazo kuu la kuondoa ufadhili serikali kwenye mafuta ikiwa ni sera zake mpya ili kupunguza shinikizo la kiuchumi. "Ruzuku ya mafuta haipo," aliuambia umati uliojaa katika mji mkuu, Abuja. Alishinda...
Back
Top Bottom