Rais Samia, wananchi hatutaki tena maridhiano ya kisiasa

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Oct 7, 2020
1,391
1,258
Wananchi wengi wa Tanzania tunafuatilia mienendo ya vyama vya siasa kisha tunagundua kwamba waomba maridhiano CDM, ACT, NCCR, CUF, nk, ndio waanzishaji wa vurugu.

Tundu Lissu wa CHADEMA kutukana mamlaka ya Rais huku Godbless Lema akidhihaki mamlaka ya Rais. Dkt. Slaa kutukana mamlaka ya Ikulu. Hashim Rungwe kudhihaki.

Wapo wengi kama mlivyowaona katika mikutano na mitandao ya kijamii. Sasa itoshe kwa Rais kukubali maridhiano ya kisiasa na vyama hivyo. Kauli ya maridhiano ni mtego wao ili wamwangushe Rais na CCM yake.

Wasilisho.
 
Hakuna ugonjwa mbaya kama utapiamlo wa akili!
Kwa hiyo nyie ndio mna hati miliki ya Nchi hii?
Kumbuka Tz ni wa- Tanzania wote na sio ya CCM.
Kumbuka uharibifu wa raslimali za Nchi hii mwaribifu no. 1 ni CCM
Upinzani upo kwa ajili ya maslahi ya Wananchi, na CCM ipo kwa ajili ya maslahi ya wachache!
 
Back
Top Bottom