rais

  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alimtumbua DED Msongela Nitu Palela kwa utendaji na usimamizi mbovu na Ufisadi, leo amemteua Palela Msongela Nitu

    Mimi Huwa nikiwaambia, tuna Rais Kazi yake ni KUSAINI TU muwe mnanielewa, yaan tuna Rais akiletewa makaratasi hajishughulishi kwenda Ndani zaidi, ajiridhishe Kisha atoe ruksa. Ebwana eeh Leo katika Kupitia majina ya UDED japo nione jina langu, kijana Mzalendo kama Mimi, nikakutana na hili jina...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Rorya watakiwa kushiriki shughuli za maendeleo baada ya Rais Samia kutoa Tsh Milioni 540

    Mkuu wa Wilaya ya Rorya Mkoani Mara, Juma Chikoka amewataka wananchi wa vijiji vya Mkengwa na Kibuyi kushiriki katika shughuli za maendeleo kutokana na Serikali kutoa kiasi cha shilingi milioni 540 kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Msingi katika Kijiji cha Mkengwa. Juma Chikoka, DC Rorya amesema...
  3. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mradi wa Liganga na Mchuchuma uliopo katika Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe kuanza, fidia zinalipwa

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kuanza mara moja kwa mradi wa Liganga na Mchuchuma uliopo katika Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe mara baada ya kukamilika kwa zoezi la ulipaji wa fidia kwa Wanufaika 1142 waliopisha mradi huo. Rais Samia amesema hayo leo wakati akiongea na...
  4. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Bandari na Usalama wa Taifa, Rais Samia hujui hata hili?

    Uzi huu hauhusiani na uzi mwingine, ni alert mahsusi kwa Rais Samia. Mh Rais inamaana wewe na wabunge hamfahamu kuwa vifaa vingi vya ulinzi na usalama huingia nchini kupitia bandari? Vipi endapo kampuni itakayopewa kuendesha bandari ikiajiri bila kujua majasusi wa nchi jirani kuwa watumishi...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Profesa Makame Mbarawa anatushinda kumng'oa?

    Habari Watanzania, Binafsi nimeamini Prof. Mbarawa hafai kuwa mtumishi katika kiwango cha Uwaziri katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni waziri muoga, waziri picha tu. Ni Profesa aina ya le profeseri, yani yupo kama hayupo, na mambo mengi ya kuudhi na kuuza nchi hufanyika akiwa tuli kama...
  6. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Baada ya Bandari, namshauri Rais tubinafsishe Shirika la Reli

    Kiukweli mie ni mmoja wa waliofurahishwa na mchakato wa kubinafsishwa bandari ya Dar es salaam. Wadau sote tunajua kuna uvujaji mkubwa wa mapato pale port unaotokana na urasimu, ucheleweshaji mizigo, rushwa, Wizi, ukwepaji kodi na hivyo serikali kuambuliakidogo huku kipato kikubwa kiki toroshwa...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aajiri vijana 18,449 serikalini kukuza ufanisi wa kazi

    Rais Samia Suluhu Hassan ameendeleza juhudi zake za kuwawezesha vijana na kuboresha ufanisi wa kazi katika taasisi za serikali. Ndani ya miezi sita ya kwanza ya mwaka 2023,serikali imeajili vijana 18,449. Idadi hiyo inajumuisha walimu wapatao 13,130 ambao wamepata nafasi za ajira katika sekta...
  8. benzemah

    JamiiForums Tanzania Yanga ilivyozoa jumla ya milioni 175 kwa Rais Samia

    UONGOZI wa Young Africans Sports Club umetoa taarifa ya kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Me. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa hafla ya kuipongeza klabu hiyo kwa kucheza mchezo wa Fainali ya Kombe la Shikirisho la CAF, Msimu huu. Katika taarifa hiyo mbali na mambo mengine...
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ombi la Rais kuhusu Fei Toto kwa Yanga ni agizo lakini lisivunje kanuni za FIFA

    Mpira ni taasisi yenye lugha yake, taratibu zake na sheria zake. Mpira ndio taasisi inayoruhusu mtu kuuzwa kwa mkataba fulani wa muda fulani kwa kiasi fulani. Hii inafanyika kwakuwa: 1. kila timu inataka wachezaji wazuri kuliko timu pinzani. 2. Wachezaji wazuri sio wengi sana kwenye jamii...
  10. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Yale makelele yote ya mjini ameyazima Rais Samia

    Baada ya ndugu zetu uto kufanikiwa kushinda ubingwa wa medali na kisha kualikwa chakula cha jioni na Rais Samia. Makelele yalikuwa mengi ohhhhh tumealikwa na mama sisi ndio timu ya taifa mablabla mengi. Baada ya kula ubwabwa na kupongezana kwa sana, sherehe ikaharibika mwishoni kabisa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia uliwaalika tu Uwapendao wana Yanga ilikuwaje ghafla tena Ukawalazimisha Usiowapenda Simba nao waje Ikulu?

    Umejishtukia au? Wana Simba SC Msimamo Wetu ni ule ule kwa Kutuchukia Kwako na Kutupenda Kinafiki leo Ikulu Uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2025 hutopata Kura zetu wana Simba.
  12. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Unahisi ni nani alifikisha suala la Feisal kwa Rais Samia na kwa lengo gani?

    Kauli ya Rais Samia leo ni kama ameinyooshea kidole Dar Young African (Yanga), Yanga mnaugomvi na Feisal! Unaweza kumsikiliza tena Mh Rais alafu ukapata jibu kuwa ni nani alienda kumuelezea Mh Rais issue ya Feisal? Na je! Aliefikisha ujumbe kwa Mh Rais alikuwa wa mlengo gani? Hakuwa na upande...
  13. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sifurahii Mgogoro wa Yanga na Feitoto. Nataka umalizike

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Chakula cha Usiku na Timu ya Yanga kwa ajili ya kuwapongeza kwa hatua waliyofikia ya kucheza Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF). Hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, Ikulu Magogoni jijini Dar...
  14. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Mwendazake alikuwa ni rais alieendekeza ukabila sana

    Japokuwa hata hii pdf ya ajira za ualimu na afya sijaweza kuwa miongoni mwa waliochaguliwa lakini naweza kusema enzi za mwendazake ukabila ulitamalaki sana, wasukuma waliweza kupenya kwenye ajira mbalimbali pdf nyingi za kipindi cha mwendazake zilijaa wasukuma akina ngusa,lushinge maduhu na...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kumsifia Rais Samia kila usimamapo Mbele yake sio kosa; haikuanza Leo.

    KUMSIFIA RAIS SAMIA KILA USIMAMAPO MBELE YAKE SIO KOSA; HAIKUANZA LEO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kumtukuza Rais, kumsifu na kumlambalamba miguu, kumpangusa pangusa na kitambaa, kumfagilia, kumpepea, na kumpamba ni mambo ambayo yalikuwepo tangu zamani. Wala hatajaanza Kwa hawa Ndugu...
  16. benzemah

    JamiiForums Tanzania Sintofahamu picha za Mbunge wa Ngara zikiwekwa maofisini kama picha ya Rais

    Updates: Video imeambatanishwa . . . Mbunge wa Ngara (CCM) Ndaisaba Ruhoro anadaiwa kulazimisha picha zake zibandikwe maeneo yenye mkusanyiko wa watu ndani ya jimbo huku baadhi ya watu wakihoii kwa nini iwe lazima. Picha hizo zinaelezwa kubandikwa maeneo ambako kuna picha za Rais na sehemu...
  17. benzemah

    JamiiForums Tanzania Balozi Dkt Lumbanga asifu ujasiri wa Rais Samia

    Picha: Balozi Dkt Marten Lumbanga Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Dkt Marten Lumbanga amesifu ujasiri na uwazi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwenye uongozi kiasi cha kukaribisha mawazo huru kutoka vyama vya siasa kwa manufaa ya nchi pamoja na kuruhusu vyama vya siasa vifanye mikutano ya...
  18. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Nasubiri kuona Wabunge watakaopinga Muswada wa Sheria ya Fedha

    Rais huyo wa Kenya ametoa kauli hiyo na kueleza kuwa Kura ya Wazi itafanya awatambue Viongozi watakaopinga mpango huo kuwa maadui wa Maendeleo na hawana nia ya kuondoa tatizo la ajira kwa vijana wanaomaliza Vyuo bila kupata kazi. Kauli ya Ruto inakuja ikiwa ni masaa kadhaa yamepita tangu Naibu...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hizi nashawishika kuamini kuwa sijamuelewa Rais Samia kama ni Dikteta ama Mwanademokrasia

    Kuna mambo yanayothibitisha mkanganyiko ktk kumtafsiri rais Samia. Ukimsikiliza ktk hotuba zake na matamanio yake juu ya wapi anataka kuipeleka nchi yetu rais Samia anaonekana anapenda haki na utangamano. Ukianzia namna alivyorekebisha mtanziko wa kisiasa uliokuwepo kwa kuruhusu mikutano ya...
  20. BigBro

    JamiiForums Tanzania Baba wa mke wa Rais Zanzibar

    Kuna anayemjua Baba wa Mariam Mwinyi ambaye ni mkatoliki mke wa Rais wa Zanzibar, Hussen Mwinyi?
Back
Top Bottom