Rais avunje baraza la mawaziri sakata la bandari

Shakari

Senior Member
Jul 6, 2022
157
440
Serikali ya mhe Ndugu dkt Samia naishauri kwa wazi! isikamate watu na badala yake afumue Baraza lote la Mawaziri na pale ndipo kuna shida.

Unajua Wananchi wakipiga kelele sana nadhani hekima pekee ni kuwapa majibu hata kama majibu hayo yana uchungu.

Jaribio la kuwakamata watu wanaopinga swala la Bandari badala ya kujibu hoja ya bandari! Ni uthibitisho tosha kwamba swala hili linashida na lina siri kubwa! Kiasi Hata wale ambao walikuwa wanaimani nalo na hata wale wengine ambao hawakuweka msimamo wao kama sie wataanza kupata mashaka juu ya kilichomo ndani ya mkataba.

Na hata mimi Mtozi nawawahakikishia mliowakamata ni wachache sana na kama mnakusudia kukamata wote wanaopinga jambo hili lazima kuyageuza madarasa ya secondary na shule za msingi na vile vituo vya afya vilivyojengwa kuwa mahabusu

Na mimi niseme tu Kwa kuwa Baraza la Mawaziri limeshindwa kabisa kulieleza jambo hili la bandari kwa umma na umma wakaliewa hawafai kuwa pale.

Rais nakuomba Uvunje Baraza hili na ulete kikosi kipya kinachoweza kutumia diplomasia na siasa za majukwaani kukamata mioyo ya watu na sio nguvu. Baraza ndio washauri wako na mambo yakienda kombo lazima hawa kuwatazama kwa haraka. Rais Usikubali kuchukua huo mwelekeo!

huyo kenge ni nani, atoe ushuzi wake huko
 
Magereza kamwe hayatotosha kuwafunga Watanzania wapingao Mali ya urithi kugawiwa Bure Kwa RUSHWA ya Wachache.
 
Serikali ya mhe Ndugu dkt Samia naishauri kwa wazi! isikamate watu na badala yake afumue Baraza lote la Mawaziri na pale ndipo kuna shida.

Unajua Wananchi wakipiga kelele sana nadhani hekima pekee ni kuwapa majibu hata kama majibu hayo yana uchungu.

Jaribio la kuwakamata watu wanaopinga swala la Bandari badala ya kujibu hoja ya bandari! Ni uthibitisho tosha kwamba swala hili linashida na lina siri kubwa! Kiasi Hata wale ambao walikuwa wanaimani nalo na hata wale wengine ambao hawakuweka msimamo wao kama sie wataanza kupata mashaka juu ya kilichomo ndani ya mkataba.

Na hata mimi Mtozi nawawahakikishia mliowakamata ni wachache sana na kama mnakusudia kukamata wote wanaopinga jambo hili lazima kuyageuza madarasa ya secondary na shule za msingi na vile vituo vya afya vilivyojengwa kuwa mahabusu

Na mimi niseme tu Kwa kuwa Baraza la Mawaziri limeshindwa kabisa kulieleza jambo hili la bandari kwa umma na umma wakaliewa hawafai kuwa pale.

Rais nakuomba Uvunje Baraza hili na ulete kikosi kipya kinachoweza kutumia diplomasia na siasa za majukwaani kukamata mioyo ya watu na sio nguvu. Baraza ndio washauri wako na mambo yakienda kombo lazima hawa kuwatazama kwa haraka. Rais Usikubali kuchukua huo mwelekeo!

Yaaani Serikali imeshinda kesi Mahakamani kuhusu jambo hilo alafu Rais avunje baraza la Mawaziri kuhusu jambo hilo hilo?

Nilikuwa nadhani ni utani kuwa Tanzania kuna vichaa wengi ila sasa naamnini maneno haya!!
 
Huyo Mtozi sijui ni nani ila akamatwe haraka, anataka kuleta taharuki, anachofanya ni uhaini
 
Serikali ya mhe Ndugu dkt Samia naishauri kwa wazi! isikamate watu na badala yake afumue Baraza lote la Mawaziri na pale ndipo kuna shida.

Unajua Wananchi wakipiga kelele sana nadhani hekima pekee ni kuwapa majibu hata kama majibu hayo yana uchungu.

Jaribio la kuwakamata watu wanaopinga swala la Bandari badala ya kujibu hoja ya bandari! Ni uthibitisho tosha kwamba swala hili linashida na lina siri kubwa! Kiasi Hata wale ambao walikuwa wanaimani nalo na hata wale wengine ambao hawakuweka msimamo wao kama sie wataanza kupata mashaka juu ya kilichomo ndani ya mkataba.

Na hata mimi Mtozi nawawahakikishia mliowakamata ni wachache sana na kama mnakusudia kukamata wote wanaopinga jambo hili lazima kuyageuza madarasa ya secondary na shule za msingi na vile vituo vya afya vilivyojengwa kuwa mahabusu

Na mimi niseme tu Kwa kuwa Baraza la Mawaziri limeshindwa kabisa kulieleza jambo hili la bandari kwa umma na umma wakaliewa hawafai kuwa pale.

Rais nakuomba Uvunje Baraza hili na ulete kikosi kipya kinachoweza kutumia diplomasia na siasa za majukwaani kukamata mioyo ya watu na sio nguvu. Baraza ndio washauri wako na mambo yakienda kombo lazima hawa kuwatazama kwa haraka. Rais Usikubali kuchukua huo mwelekeo!

Baraz la mawaziri ndo lilipanda ndege kwa kodi zetu kwenda kuingia mkataba au saa100 na kyerere chake ,ingekuwa vyema kama angekaa pembeni
 
Back
Top Bottom