rais

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mahakama yamfutia kesi za ufisadi Rais Mstaafu Bakili Muluzi

    Mamlaka za nchini Malawi zimemaliza kesi ya rushwa dhidi ya Rais wa zamani Bakili Muluzi aliyewahi kuhudumu kwa mihula miwili ya miaka mitano kama Rais kati ya 1994 na 2004 lakini alishtakiwa miaka mitano baada ya kuondoka madarakani. Yeye na aliyekuwa katibu wake wa kibinafsi, Lyness Whisky...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dakika chache baada ya kuapishwa, Rais wa Nigeria afuta Ruzuku ya Mafuta

    Rais mpya wa Nigeria, Bola Tinubu ametumia hotuba yake ya kwanza baada ya kuapishwa kutoa tangazo kuu la kuondoa ufadhili serikali kwenye mafuta ikiwa ni sera zake mpya ili kupunguza shinikizo la kiuchumi. "Ruzuku ya mafuta haipo," aliuambia umati uliojaa katika mji mkuu, Abuja. Alishinda...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia kukamilisha kituo cha biashara Afrika Mashariki

    Baada ya kukwama kwa mradi huu kwa miaka kumi, serikali ya Rais Samia Suluhu inajenga mradi huo ambao utakua na maduka 2060 na kuzalisha ajira za moja kwa moja zaidi 15000 na zisizo za moja kwa moja 50000. Eneo la mradi huo ni zaidi ya viwanja 10 vya mpira wa miguu. Mradi huo utakapokamilika...
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Swahiba wa Putin, Rais wa Belarus, Alexander Lukashenko alazwa baada ya kuumwa ghafla

    Nguvu nyingi ilikuwa inatumika kuficha hali ya afya ya huyu jamaa, wakawa wanakana na kusema yupo mzima anachapa kazi, maradhi yamemuumbua. Hivi Putin yuko wapi maana naye anaishi kama nguchiro tangu ile siku alikoswa koswa pale Klemrin ambapo drones zilimfikishia salamu. ==== Belarus...
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Hii milioni 20 ya Rais Samia mbona kama imetumika tofauti na maelezo? Tazama hapa

    Poleni sana Wananchi kwa kupoteza mchezo jana. Naamini nafasi bado ipo kama mtaenda na mipango na mbinu sahihi ugenini. Nikirudi kwenye mada hapa, shida yangu ipo kwenye namna ya ahadi ya Rais kuhusu kutoa Milioni ishirini na namna ilivyofanyika. Mjadala huu haufungamani na upande wowote...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Nchi 20 kuhudhuria uapisho wa Rais wa Nigeria leo

    Baadhi ya Viongozi Wakuu waliowasili jijini Abuja ni pamoja na Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania, Paul Kagame (Rwanda), Cyril Ramaphosa (Afrika Kusini), Abdelmadjid Tebboune (Algeria) na Denis Sassou Nguesso (Jamhuri ya Congo). Wengine ni Umaro Sissoco Embalo wa Guinea Bissau, Julius Maada...
  7. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule wa Nigeria Bola Tinubu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Heshima kutoka kwa Jeshi la Jamhuri ya Nigeria mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nnamdi Azikiwe Abuja nchini Nigeria tarehe 28 Mei 2023 kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe ya kuapishwa Rais Mteule...
  8. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule wa Nigeria

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Heshima kutoka kwa Jeshi la Jamhuri ya Nigeria mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nnamdi Azikiwe Abuja nchini Nigeria tarehe 28 Mei 2023 kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe ya kuapishwa Rais Mteule...
  9. tpaul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ukijiepusha na hizi dhambi utaingia peponi

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kupepesa macho wala kutikisa masikio. Chini ya utawala uliopita tumeshuhudia matukio mengi ya ovyo yenye kulifedhehesha taifa kwa kiasi kikubwa. Ni katika utawala huo kulikuwa na matukio ya watu wengi kupotea katika mazingira ya utata, na hawajawahi...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais wa Kenya, Ruto anashutumu Wakala wa Kodi kwa ufisadi wakati uchumi ukisuasua

    Rais wa Kenya, William Ruto amedai Watumishi wanaotumika kama Wakala wa Ukusanyaji Kodi kuwa wanajihusisha na rushwa na kushirikiana na wakwepa kodi hali inayochangia uchumi wa taifa hilo kuyumba. Amesema "Ulaghai, kuchukua hongo na ufisadi wa jumla unaendelea kutawala shughuli za KRA (Mamlaka...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Vikwazo 5 vinavyomsubiri Ofisini Rais Bola Tinubu wa Nigeria

    Mei 29, 2023, Taifa la #Nigeria, lenye utajiri wa Dola Bilioni 441 GDP na idadi kubwa ya Watu Barani #Afrika (Milioni 223), litashuhudia kuapishwa kwa Rais Mpya, #BolaTinubu na Makamu wake #KashimShettima Pamoja na ukubwa wa Uchumi wake, bado Nchi hiyo imekosa utulivu katika maeneo mengi...
  12. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Kazi inaendelea chini ya rais Samia. Mwaka 2025 hakuna mbadala wa kuendeleza kazi za taifa hili

    Mwenye macho haambiwi tazama 👇
  13. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa Dola; Wafanyabiashara wa Kariakoo wamkumbuka Hayati Rais Magufuli

    Kuadimika kwa Dola ya Marekani katika soko la Kariakoo kumewafanya Wafanyabiashara kumkumbuka Hayati Rais Magufuli, Dola Moja inabadilishwa kwa tzs 2,430 lakini Dola hiyo haipatikani mtaani Kariakoo. Wachache waliipata asubuhi kwa 3450 uagizaji wa mizigo China umesimama, kutumia pesa ya China...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais kuhusu mapitio ya utekelezaji wa mpango na bajeti kwa mwaka 2022/23

    Hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais kuhusu mapitio ya utekelezaji wa mpango na bajeti kwa mwaka 2022/23 na makadirio ya mapato na matumizi
  15. benzemah

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Makete Amshukuru Rais Samia Kwa Fedha za Kuboresha Elimu na Taa za Barabarani Makete Mjini

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mbunge wa Makete Festo Sanga ameandika ujumbu wa kumshukuru Rais Samia kwa kujibu kwa vitendo ombi la Wana-Makete la kuboresha zaidi miundombinu ya Elimu pamoja na barabara za mji wa Makete la kuwekewa taa zinazoongeza usalama na kuwezesha kuendelea kwa shughuli...
  16. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Tujifunze ujasiri wa Zelensky Rais wa Ukraine

    Usipokua mtu wa kuappreciate mambo mazuri wanayoyafanya wenzako ni ngumu sana kujifunza na kufanikiwa Sisi waafrika hatu-appreciate mambo mazuri ya watu wengine ndo maana tuko vilevile, ni rahis sana kwa mwafrika kumuona mwezake amefanikiwa balaa ya ku-appreciate ataanza kumtuhumu ni...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Sijapenda kabisa mama kumwondoa Meja Jenerali Mzee madarakani

    Ni majuzi tu kwa mara ya pili mfululizo rais wetu amefanya mabadiliko ya uongozi wa mikoa 3 na wilaya moja. sikufurahishwa kuondolewa kwa meja jenerali Mzee kisa tu anasimamia sheria. Vile vigingi viliwekwa kisheria mbunge anachochea wananchi kwa maslahi yake mkuu wa mkoa alikuwa firm leo...
  18. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Rais tunaomba CCM tuletee kijana Kheri James nafasi ya Uenezi Taifa. CHADEMA watapiga salute kwa propaganda zake!

    WanaJf, SALAAM! Ukiona CDM, ACT, NCCR, NLD nk hawaandiki maneno ya kukosoa mwenezi Taifa ina maana aliyepo anawapa usingizi. Kama ilivyokuwa kwa Nape, na Polepole enzi zao nafasi ya Itikadi na Uenezi ilikifanya CCM tujisikie raha sana. Kwa hiyo ktk kipindi hiki ambacho vyama vya upinzani...
  19. Said Stuard Shily

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli pamoja na kuwa hatunae, Malawi wameandika kitabu kuenzi kazi zake

    Professor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa ujumla huyu mwamba wanamtambuq kwamba Tanzania ilipata Rais Mzalendo na mwana wa Africa aliyependa...
  20. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aongoza Kikao Cha Kwanza Cha Baraza la Mawaziri Ikulu Mpya ya Chamwino Dodoma

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri tarehe 24 Mei, 2023 ikiwa ni Kikao cha kwanza kufanyika kwenye Ofisi mpya ya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tangu kuzinduliwa kwa Jengo hilo Jumamosi tarehe 20 Mei, 2023.
Back
Top Bottom