Serikali kuwapa watu case za uhaini bado sijibu la Maswali ya DP World! Kuna maswali lazima uyajibu wewe! Usijifiche

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,211
42,073
Toka limetokea sakata la kusaini mkataba wa DP world ambao wengi wameukosoa na kuonesha ni mmoja ya mkataba mbovu kabisa kuwai kutokea bado watu wengi wamekuwa wakijiuliza ni kweli Samia amesaini yeye mwenyewe mkataba wa aina hii?

Bahati mbaya au nzuri kila akipata nafasi amekuwa akikwepa kuzungumzia mkataba huu amabao kwa sahihi zinaonesha ni yeye aliyesaini lakini badala yake amekuwa akijificha kwenye ujenzi wa darasa,wafiwa watibiwe bure, mechi za Yanga na Simba!

Serikali inatakiwa kujua itafika kipindi atafunua mdomo wake kueleza na kujibu hoja zote maana kila anayemtuma anaeleza la kwake!

Serikali mekosa majibu sasa ameona awape shitaka la uhaini wanaopinga mkataba ule na masharti yake.

Serikali inatakiwa kujua shitaka la uhaini halitokuwa majibu ya mkataba mbovu wa Tanzania na DPW!

Shitaka la uhaini halitompa amani ya kutawala bali majibu juu ya Mkataba wa DPW ndio yatampa amani!

Shitaka la uhaini halitokufanya upendwe bali litakufanya uchukiwe na kuogopwa na wanaccm na wasio wana CCM!

Bado majibu ya kuhusu mkataba wa DPW yataendelea kuhitajika kutoka kwako si leo tuu hadi baada ya Utawala wako!
 
Kashajibu kwamba hawezi kuuza nchi wakati akiwahutubia TLS...

Unategemea jibu jingine tofauti na hilo?
 
Screenshot_20230815-090959.jpg
 
Toka limetokea sakata la kusaini mkataba wa DP world ambao wengi wameukosoa na kuonesha ni mmoja ya mkataba mbovu kabisa kuwai kutokea bado watu wengi wamekuwa wakijiuliza ni kweli Samia amesaini yeye mwenyewe mkataba wa aina hii...
Bado majibu ya kuhusu mkataba wa DPW yataendelea kuhitajika kutoka kwako si leo tuu hadi baada ya Utawala wako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani mahakama si imejibu maswali yote?
Swali lipi mahakama haikujibu?
Ulisoma hukumu?
Uliielewa hukumu?
Wapi watu hapa JF walielezea hukumu vizuri sana
comte ...huyu Jamaa kaweka uzi za hukumu ziko so clear
Kwani mahakama ndio iliweka saini kwenye ule mkataba wa hovyo?

Haiwezekani ujinga ufanye wewe, halafu marekebisho ukafanyiwe na mwingine, kumbe wewe ni zezeta?

Say Yes!.
 
Kwani mahakama si imejibu maswali yote?
Swali lipi mahakama haikujibu?
Ulisoma hukumu?
Uliielewa hukumu?
Wapi watu hapa JF walielezea hukumu vizuri sana
comte ...huyu Jamaa kaweka uzi za hukumu ziko so clear
Kifungu 4(2) kwamba Tanzania inapotaka kuweka mwekezaji mwingine maeneo mengine ya bandari inatakiwa iende Dubai kuomba ridhaa, Dubai wakikataa kutoa idhini ndio basi.

Yaani nchi huru ikaombe ridhaa Dubai? Tena kwa Mali zake? Lingine, kama mkataba huu ni mzuri, kwa Nini bandari za Zanzibar zisiwemo? Kwani wao hawataki kunufaika?
 
Wewe ndiyo utakuwa na shida maana Padri Slaa kasema wazi dawa ni kuipindua serikali unata vyombo vya usalama vifanyaje?
 
Back
Top Bottom