Kwa Sasa tutegemee wawekezaji kumiminika Tanzania. Wawekezaji wanawekeza kwenye amani, utulivu na usalama. Hongera Rais Samia

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
2,590
4,603
Naweza kusema uongozi wa Rais Samia umefanikiwa pakubwa kujenga Imani Kwa wawekezaji kuwekeza Tanzania. Tanzania itakuwa kitovu Cha uwekezaji mkubwa miaka ya baadaye.

Awali ya yote nichukue nafasi hii kumpongeza Rais Samia kwa kuendelea kusimamia na kuwezesha mazingira salama na tulivu ya uwekezaji Tanzania.

Mataifa yote, makubwa Kwa madogo, yanayoendelea na yaliyoendelea maandamano, migomo na migongano ni sumu hatari inayozorotesha maendeleo na zaidi inadumaza uwekezaji wa ndani na WA nje.

Tafsiri pana na kubwa ya maandamano, migomo na migogoro ni kukosekana kwa amani, utulivu na usalama na hakuna muwekezaji atakayewekeza kusiko na amani, usalama na utulivu.

Ndio maana katika kuliepusha Taifa dhidi ya maandamano yatakayohatarisha uvunjifu wa amani Rais Samia alikuja na falsafa ya 4R ambazo ni " Reconciliation, Resilience, Reforms and Rebuilding" ambazo kimsingi zinakwenda kinyume kabisa na maandamano na migomo.

Tukirejerea kama mfano, suala la uwekezaji wa bandari na hukumu iliyotolewa na mahakama kuu kanda ya Mbeya ya kubariki uwekezaji huo na waliofungua mashtaka kutaka kuitisha maandamano, ni suala ambalo kimsingi lina lengo la kufifisha juhudi za uwekezaji Tanzania.

Lengo kuu la kutaka kuitisha maandamano ni kutishia wawezaji Kwa njia za uvunjifu wa amani. Naamini wote waliotaka kufanya hivyo hawaangalii Kwa upana suala na mustakabali wa Taifa kwenye uwekezaji. Maandamano sio tu yatatishia wawekezaji wa DP WORLD bali wawekezaji wote waliopo na ambao watataka kuja.

Tumpongeze Rais Samia, Serikali na Jeshi la Polisi kwa kulilinda Taifa letu dhidi ya athari zozote za kiusalama, uvunjifu wa amani na mengineyo.

Pia, tumpongeze Rais Samia kwa kulijenga Taifa katika msingi wa maendeleo endelevu kupitia uwekezaji.
 
Sahihi kabisa.

Tutumie hii fursa vizuri ku attract FDI.
 
Kabadilisheni kabisa katiba ili haki ya maandamano ifutwe ili kuvutia zaidi wawekezaji!
Yule aliyemtusi Kikwete kuwa anaongoza maiti huenda ni sawa!
 
Naweza kusema uongozi wa Rais Samia umefanikiwa pakubwa kujenga Imani Kwa wawekezaji kuwekeza Tanzania. Tanzania itakuwa kitovu Cha uwekezaji mkubwa miaka ya baadaye.

Awali ya yote nichukue nafasi hii kumpongeza Rais Samia kwa kuendelea kusimamia na kuwezesha mazingira salama na tulivu ya uwekezaji Tanzania.

Mataifa yote, makubwa Kwa madogo, yanayoendelea na yaliyoendelea maandamano, migomo na migongano ni sumu hatari inayozorotesha maendeleo na zaidi inadumaza uwekezaji wa ndani na WA nje.

Tafsiri pana na kubwa ya maandamano, migomo na migogoro ni kukosekana kwa amani, utulivu na usalama na hakuna muwekezaji atakayewekeza kusiko na amani, usalama na utulivu.

Ndio maana katika kuliepusha Taifa dhidi ya maandamano yatakayohatarisha uvunjifu wa amani Rais Samia alikuja na falsafa ya 4R ambazo ni " Reconciliation, Resilience, Reforms and Rebuilding" ambazo kimsingi zinakwenda kinyume kabisa na maandamano na migomo.

Tukirejerea kama mfano, suala la uwekezaji wa bandari na hukumu iliyotolewa na mahakama kuu kanda ya Mbeya ya kubariki uwekezaji huo na waliofungua mashtaka kutaka kuitisha maandamano, ni suala ambalo kimsingi lina lengo la kufifisha juhudi za uwekezaji Tanzania.

Lengo kuu la kutaka kuitisha maandamano ni kutishia wawezaji Kwa njia za uvunjifu wa amani. Naamini wote waliotaka kufanya hivyo hawaangalii Kwa upana suala na mustakabali wa Taifa kwenye uwekezaji. Migomo sio tu yatatishia wawekezaji wa DP WORLD bali wawekezaji wote waliopo na ambao watataka kuja.

Tumpongeze Rais Samia, Serikali na Jeshi la Polisi kwa kulilinda Taifa letu dhidi ya athari zozote za kiusalama, uvunjifu wa amani na mengineyo.

Pia, tumpongeze Rais Samia kwa kulijenga Taifa katika msingi wa maendeleo endelevu kupitia uwekezaji.
post nzuri, hongera. Wale wapuuzi wanatumiwa na vibaraka wao kufanya nchi yetu isitulie na kuiharibu mipango mizuri ya serikali. Wasishie kule gerezani bladi fakin. Kuna mtu anaitwa Mrisho Gambo anaisumbua Arusha na migomo ya kijinga kuharibu sura ya jiji la Arusha kuharibu shughuli za kitalii. Huyu km vipi avuliwe hata uanachma wa CCM tujue moja na kupambana naye km maadui wengine. Huwezi kuwa ndani ya chama tawala na unahujumu jitihada ya serikali yake bado unaachwa. Ondoeni hili jambazi linaloharibu taswira ya jiji kwa maslahi yake binafsi. Watu km hawa wa nini. Halafu Arusha inahitaji mkuuwa mkoa km Amos Makalla siyo Mongela sijui kinachomsumbua ni upole au uwoga. Hawezi kufanya maamuzi
 
Back
Top Bottom