Rais Samia: Kuna Mabalozi hawajui wanachokifanya, wapo tu

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,603
Reaction score
22,717
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaapisha Mabalozi Wateule Ikulu Chamwino Dodoma leo August 16,2023 ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba ni kwamba kuna Mabalozi ni kama vile hawajui wanachokifanya kwakuwa wapowapo tu na hawafanyi kazi kwa ufanisi.

“Katika Nchi nyingine Mabalozi wetu sijui niseme hawajui wanachokifanya, wapo tu, nilishakutana na Rais mwenzangu ndani ya Nchi za Afrika, ndani ya SADC akaniambia nibadilishie Balozi uliyeniletea hata kazini haendi, mikutano hashiriki yupoyupo tu hatuelewi, Tanzania hatujawazoea hivyo sasa labda ubadilishe nikamwambia nimekusikia”

“Lakini Mabalozi wengine unawaona pale ambapo Ujumbe wa Tanzania umekwenda kwenye Nchi hiyo, au siku za kisherehe za Kitaifa za Nchi hiyo anakwenda kuwakilisha Nchi yake lakini mengine hakuna, au labda Watanzania wafanye ukorofi wakamatwe huko ndio utaona taarifa ya Balozi lakini vingine huoni”

“Sasa inawezekana pia labda na aina ya Mabalozi tunaowapeleka inawezekana, karibuni hivi nilitengeneza Kamati ipitie Wizara hii ya Mambo ya Nje iniletee kasoro zilizopo, nimepokea draft ya kwanza nimewarudishia wanaendelea kufanyia kazi nadhani ripoti itakapokuja itasaidia turekebishe Wizara yetu”

Chanzo: Millard Ayo
 
humphrey polepole
 
Raisi mwemyewe hajui anachokifanya itskuwa huyo balazi
 
Yaaani rais mwezake huyu wa sadc amemuona mjinga kwamba huyu HV Hana wasaidizi balozi gani huyu ananiletea

Ndio maana Yule rais amemtolea uvivu wa wa kuteuwa vipanga siyo makada

Dr namugari Niko Hapa nipewe hat niwakilishe eswatini jmn nikale Bata na mfalme muswati
 
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaapisha Mabalozi Wateule Ikulu Chamwino Dodoma leo August 16,2023 ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba ni kwamba kuna Mabalozi ni kama vile hawajui wanachokifanya kwakuwa wapowapo tu na hawafanyi kazi kwa ufanisi.

“Katika Nchi nyingine Mabalozi wetu sijui niseme hawajui wanachokifanya, wapo tu, nilishakutana na Rais mwenzangu ndani ya Nchi za Afrika, ndani ya SADC akaniambia nibadilishie Balozi uliyeniletea hata kazini haendi, mikutano hashiriki yupoyupo tu hatuelewi, Tanzania hatujawazoea hivyo sasa labda ubadilishe nikamwambia nimekusikia”

“Lakini Mabalozi wengine unawaona pale ambapo Ujumbe wa Tanzania umekwenda kwenye Nchi hiyo, au siku za kisherehe za Kitaifa za Nchi hiyo anakwenda kuwakilisha Nchi yake lakini mengine hakuna, au labda Watanzania wafanye ukorofi wakamatwe huko ndio utaona taarifa ya Balozi lakini vingine huoni”

“Sasa inawezekana pia labda na aina ya Mabalozi tunaowapeleka inawezekana, karibuni hivi nilitengeneza Kamati ipitie Wizara hii ya Mambo ya Nje iniletee kasoro zilizopo, nimepokea draft ya kwanza nimewarudishia wanaendelea kufanyia kazi nadhani ripoti itakapokuja itasaidia turekebishe Wizara yetu”

Chanzo: Millard Ayo
Raisi aondoe mabalozi ambao wamekaa huko ughaibuni kimazoea.

Ateue mabalozi wapya, vijana na wenye ari mpya na hata tovuti zionyeshe wajishugulisha.

Lakini tusisahau suala la Bandari yetu.
 
Back
Top Bottom