rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia aache kukwepa majukumu

    Wakati akiwa kwenye mkutano wa JWTZ, Rais Samia alijulishwa na Mkuu wa majeshi Jenerali Jacob Mkunda kuwa Kuna wakimbizi wameteuliwa kwenye vyombo vya maamuzi. Ili kukwepa hiyo kauli ya CDF, Rais Samia alipopewa nafasi ya kuongea kwenye mkutano huo, akaleta mada nyingine kwamba mwaka 2025 ni...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ahsante Rais Samia na Ahsante pia Bollen Ngetti

    Wanajamvi, Jana Kuna taarifa zilisambaa sana za kumtaka Rais Samia kutumia birthday yake Kumsaidia kada wa chama chake Thadei Ole Mushi aliyesimama moyo kufanya kazi. Taarifa hizi zilisambazwa na kada wao Bollen Ngetti Mwandishi nguli za Uchunguzi hapa nchini. Hata humu taarifa hizo zilifika...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Zaytun Swai: Rais Samia ni Mhifadhi na mtunza Mazingira namba moja nchini

    "Tumekuja katika Gereza la Wilaya ya Karatu katika siku ya kumbukizi ya kuzaliwa ya Rais wetu Mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan. Nimekuja na akina mama wa Wilaya ya Karatu kwa kushirikiana na Mkuu wa Wilaya ya Karatu" - Mhe. Zaytun Seif Swai, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha "Tunamtakia Rais...
  4. JamiiForums Tanzania Michela Wrong: Nilimkosoa Rais Kagame, sasa napiga kelele baada ya kuzidi kwa Mashambulizi ya mara kwa mara mtandaoni dhidi yangu

    Paul Kagame anaelewa thamani ya taswira inayoonekana. Anapenda kupigwa picha akiwa na sura ya furaha akimkabidhi mtu mashuhuri katika Kongamano la Kiuchumi la Dunia huko Davos - mwezi huu, Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy. Hilo linaendelezwa tu kwa kurejea nyumbani kupiga selfie na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Biden, Waziri wa Ulinzi na Waziri wa mambo ya nje wa Marekani washitakiwa katika mahakama huko Marekani kwa kusaidia uzeshwaji wa Genocide Gaza

    Rais Joe Biden awa rais wa kwanza katika historia ya Marekani kufunguliwa kesi ya uhusika wa mauaji ya Kimbari. Hii inatokana na msaada wa silaha na kiintelijensia na kushindwa kwake kuchukua hatua stahiki zilizomo katika uwezo wake kuzuia mauaji ya kimbari huko Gaza. Kesi hiyo imefunguliwa na...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia nimekuangukia mguuni, keki ya birthday yako mpe Thadei Ole Mushi uokoe uhai wake

    RAIS wangu Samia Suluhu Hassan, kwa unyenyekevu mkubwa mama yetu mpendwa, leo ni siku yako ya kuzaliwa. Keki zimekatwa kila mahali nchi nzima kukusherehekea. Hongera sana Rais Samia kwa miaka aliyokuruhusu Allah uendelee kuishi na kuvuta pumzi chini ya jua. Hiyo ni zawadi ya Mungu. Lakini mama...
  7. JamiiForums Tanzania UVCCM Kagera watoa tamko kuhusu Taarifa ya Sintofahamu iliyotolewa na Emeltha Kente yenye Ujumbe Maalum kwa Rais Samia

    Kwenye Ujumbe huo, Emeltha alimpa Rais Samia siku 4 kutimiza kusudi la Mungu la Kinabii la kurudisha mali za wavuvi zilizopokonywa na Serikali, kuwatoa jela wavuvi waliopewa kesi za uwongo wakatumikie familia zao, wavuvi wavue kwa kutumia kokoro kwa nchi 4 hadi 5 na siyo nchi 6 kama ilivyo sasa...
  8. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz: 2025 tunaenda nawewe Rais Samia

    Msanii Naseeb Abdul almaarufu Diamond Platinumz, amemtakia heri ya siku ya mfanano wa kuzaliwa Rais Samia Suluhu, na pia amemuahidi kuwa 2025 yeye na wanaom-support watampigia kura kwenye Uchaguzi Mkuu wa Rais. Ameandika Diamond Platnumz kwenye ukurasa wake wa Instagram, "Kupata Rais ni...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia Amedhamiria Kujenga Madaraja Kusikofikika: Bashungwa

    RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KUJENGA MADARAJA KUSIKOFIKIKA: BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imejipanga kuhakikisha inajenga na kuboresha miundombinu ya barabara na madaraja katika maeneo yote yasiyofikika...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi apangua Baraza la Mawaziri

    Siku chache tangu aliyekuwa Waziri wa Utalii na Mambo ya kale wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Simai Mohammed Saidi kujiuzulu nafasi hiyo leo, Jumamosi Januari 27.2024 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amefanya mabadiliko ya Baraza la Mapinduzi kwa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Hussein Mwinyi tunakutaka utuletee Maendeleo Bara kama unavyofanya Zanzibar

    Wakati Rais Hussein Mwinyi anaingia madaralani, uchumi wa Zanzibar ulikuwa kunakuwa kwa asilimia zisizozidi 5. Lakini ndani ya kipindi cha miaka 3 tu uchumi wa Zanzibar leo unakua kwa asilimia 6.8 huku wa bara ulikuwa unakua kwa asilimia 7 kabla ya kifo cha Rais Hayati JPM tena katikati ya...
  12. JamiiForums Tanzania Kada aliyefukuzwa kwa kutomheshimu Rais Mwinyi adai kuna jambo linafichwa kujiuzulu kwa Waziri Simai

    ZANZIBAR: Mwanachama zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mohamed Shamte amedai kuwa suala la kujiuzulu kwa aliyekuwa Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale, Simai Mohamed Said lina kitu ambacho hakiwekwi wazi juu ya uamuzi huo. Shamte ambaye alifukuzwa uanachama wa CCM mwaka 2022 kwa kilichoelezwa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bashungwa: Rais Samia amedhamiria kujenga madaraja kusikofikika

    RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KUJENGA MADARAJA KUSIKOFIKIKA :BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imejipanga kuhakikisha inajenga na kuboresha miundombinu ya barabara na madaraja katika maeneo yote yasiyofikika...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi aridhia ombi la Waziri wa Utalii kujiuzulu Wadhifa wake

    ZANZIBAR: Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekubali ombi la kujiuzulu kwa Simai Mohamed Said, aliyekuwa Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale. Taarifa ya Serikali imesema Rais Mwinyi ameridhia ombi hilo kuanzia leo Januari 26, 2024 ikiwa ni muda mfupi tangu Simai...
  15. JamiiForums Tanzania Ya Magufuli kujirudia, anahisi kuwa ndiye Rais wa Nchi. Atumia fursa ya Rais Samia kuwa nje kikazi

    Wakati Mh Samia Suluhu yupo nje ya nchi kikazi , Paul Makonda anatumia ziara zake ambazo zimepewa jina la 'OPERESHENI CHAFUA MBOWE" kujijenga kisiasa na siyo kujenga chama wala bosi wake , yaani mwenyekiti wa chama. RC na WAZIRI hawana mamlaka hata ya kumfukuza mtu kazi. Ila wanaweza...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: CHADEMA kuna mgawanyiko mkubwa. Lissu hawezi kuwa Rais wa Tanzania, anaishi nje na kuja nchini kimatukio

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda akiwa mkoani singida Makonda Januari 25, 2024 amesema kuwa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuna mgawanyiko unaochochewa na uwepo wa makundi mawili ambayo yote yanataka kumuweka Mwenyekiti wa Chama hicho...
  17. JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais aunde Wizara ya kushughulikia Jiji la Dar na Dodoma pamoja na Wizara ya Umeme

    Kuna uwezekano Doto Biteko hajui ukomo wa madaraka yake kunakoelekea nchi kuingia gizani na umaskini mkubwa kuwanyemelea Watanzania kwa kumtegemea mtu mmoja. Doto anahangaika na Unaibu waziri mkuu, anasahau majukumu ya TANESCO. Ninashauri Rais aunde Wizara ya Umeme tu ambayo itahusika na...
  18. JamiiForums Tanzania Rais wa Namibia kuanza Matibabu ya Saratani nchini Marekani

    NAMIBIA: Rais Hage Geingob anatarajia kuanza Matibabu ya Saratani nchini Marekani ikiwa ni siku chache tangu Serikali ithibitishe kuwa Uchunguzi wa Kiafya umebaini Kiongozi huyo ana Ugonjwa wa Saratani. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Rais, Ikulu, imesema kwa sasa, shughuli zote...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya Mazungumzo na Rais Joko Widodoya wa Indonesia, Jakarta, Alhamisi ya Januari 25, 2024

    https://www.youtube.com/watch?v=BTFeRepAxVg Rais Samia Suluhu Hassan amewasili katika Viwanja vya Makazi ya Rais (Bogor Presidential Palace) Jijini Jakarta, Indonesia na kupokelewa na mwenyeji wake Rais Joko Widodo ikiwa ni sehemu ya ziara ya siku mbili nchini hapo. Rais Joko Widodo ambaye...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Rais wa Namibia apata saratani, anakwenda USA kutibiwa

    Siku Waafrika wakisema tunapinga na kulaani, na ni mtindio wa akili kukubali mtu mwenye dhamana ya kukuletea huduma ya afya eti yeye ndio anasafiri kupata huduma ambazo sisi hatuzipati, tena anaenda kwa gharama zetu, siku hiyo ikifika ndio haya yatakwisha. Kwa saab, kiongozi anakosaje...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…