Afrika Kusini: Chama Tawala cha ANC chamsimamisha uanachama Rais Mstaafu Jacob Zuma

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,119
20240129_201501.jpg

20240129_201507.jpg

20240129_201513.jpg

Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amesimamishwa Uanachama wa chama Tawala cha African National Congress (ANC) akidaiwa kukataa kupiga Kura ndani ya Chama pamoja na kushiriki kuanzisha Chama Pinzani.

Imeelezwa kuwa Zuma aliyeliongoza Taifa hilo kwa miaka 9 na kujiuzulu baadaye kutokana na kashfa za Rushwa na kutoa upendeleo wa Tenda za Serikali kwa Wafanyabishara, hakuwahi kuchukuliwa hatua na chama hicho hadi alipotangaza kuunga mkono chama cha uMkhonto we Sizwe (MK).

Aidha, katika siku za karibuni, Zuma amedaiwa kuanzisha mashambulizi ya wazi kwa Rais Cyril Ramaphosa ambaye ni mrithi wake na aliwahi kuwa Makamu wake wa Rais. Wachambuzi wa Siasa nchini humo wamedai uamuzi wa Zuma kuunga mkono chama kingine unaweza kuigharimu ANC katika Uchaguzi.

=========

Mr Zuma, 81, had been a lifelong member of the ANC.

He joined aged 17 with no formal schooling and soon rose through the ranks of the ANC's military and intelligence wings, followed by top posts in his home state of Kwa-Zulu Natal and ultimately the deputy presidency and presidency.

Correspondents say this year's election is viewed by many as the most competitive since the ANC came to power in 1994.
 
Zuma ni mjinga ila ana wafuasi wengi sana. Ni jambo zuri akifanya maarifa ANC ivunjikevunjike.
 
Aidha, katika siku za karibuni, Zuma amedaiwa kuanzisha mashambulizi ya wazi kwa Rais Cyril Ramaphosa ambaye ni mrithi wake na aliwahi kuwa Makamu wake wa Rais. Wachambuzi wa Siasa nchini humo wamedai uamuzi wa Zuma kuunga mkono chama kingine unaweza kuigharimu ANC katika Uchaguzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ANC ni kama CCM tu. Zuma Alipatikana na kashfa za rushwa, hakufukuzwa. Amekuja kufukuzwa baada ya kutishia maslahi ya chama
 
Zuma alipokuwa Rais alihusishwa na kashfa kubwa ya kifisadi iliyohujumu vibaya sana uchumi wa nchi ; akishirikiana na wafanyabiashara wakina Gupta!! Hii kashfa ilisababisha
Zuma afunguliwe mashtaka. Hicho ndicho kinachomfanya amchukie Ramaphosa!

Wakati huo akiwa Rais , rafiki mkubwa wa Zuma alikuwa Rais Kikwete wa Tanzania ambae nae alifanya kama rafiki yake kuhujumu uchumi wa nchi kwa kufanya ufisadi wa kutisha akishirikiana na wafanyabiashara wa kampuni ya Home Shopping Centre( GSM)!
Tofauti ya Zuma na Kikwete ilikuwa kule Afrika ya Kusini katiba yao onaruhusu Rais kushitakiwa kama nasi ingekuwa kama katiba ya wananchi iliyopendekezwa ingepitishwa ; Kikwete angeweza kushtakiwa kwa ufisadi aliyoufanya na Home Shopping Centre akiwa madarakani!! Hii ni moja ya sababu kubwa zilizomfanya Kikwete kuhujumu upatikanaji wa katiba mpya!
 
Kuna raisi ambaye hakuhujumu uchumi Tz?

Ukitoa Nyerere.
 
View attachment 2887391

View attachment 2887393
View attachment 2887395
Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amesimamishwa Uanachama wa chama Tawala cha African National Congress (ANC) akidaiwa kukataa kupiga Kura ndani ya Chama pamoja na kushiriki kuanzisha Chama Pinzani.

Imeelezwa kuwa Zuma aliyeliongoza Taifa hilo kwa miaka 9 na kujiuzulu baadaye kutokana na kashfa za Rushwa na kutoa upendeleo wa Tenda za Serikali kwa Wafanyabishara, hakuwahi kuchukuliwa hatua na chama hicho hadi alipotangaza kuunga mkono chama cha uMkhonto we Sizwe (MK).

Aidha, katika siku za karibuni, Zuma amedaiwa kuanzisha mashambulizi ya wazi kwa Rais Cyril Ramaphosa ambaye ni mrithi wake na aliwahi kuwa Makamu wake wa Rais. Wachambuzi wa Siasa nchini humo wamedai uamuzi wa Zuma kuunga mkono chama kingine unaweza kuigharimu ANC katika Uchaguzi.

=========

Mr Zuma, 81, had been a lifelong member of the ANC.

He joined aged 17 with no formal schooling and soon rose through the ranks of the ANC's military and intelligence wings, followed by top posts in his home state of Kwa-Zulu Natal and ultimately the deputy presidency and presidency.

Correspondents say this year's election is viewed by many as the most competitive since the ANC came to power in 1994.
umkhonto we sizwe itawachanganya kidogo ANC
 
Back
Top Bottom