Viongozi wa Chelsea FC kutembelea Tanzania kwaajili ya kukuza michezo na utalii

tpaul

JF-Expert Member
Feb 3, 2008
21,838
18,250
Klabu ya mpira ya Chelsea (Chelsea FC) kutoka England itafanya ziara nchini Tanzania siku chache zijazo. Lengo la ziara hiyo ni kukuza utalii pamoja na michezo ikiwemo kujenga akademi ya mpira wa miguu hapa Zanzibar na Tanznania Bara.

Pia wageni hao watapata fursa ya kukutana na viongozi wa wizara ya michezo na kukutana Rais Samia jijini Dar es Salaam Ijumaa kama nafasi hiyo itapatikana.

MAONI YANGU
Haya ni mafanikio ya serikali ya CCM kupitia filamu ya Royal Tour iliyochezwa na mama Samia, aliyekuwa kinara (steering) kwenye sinema hiyo. Asante serikali na chama chetu cha mapinduzi kwa kuboresha michezo nchini Tanznia.

Hii inaashiria kwamba kiwango cha mpira nchini Tanzania kimekua. Sio rahisi klabu kubwa ya mpira kama Chelsea kutembelea na kujenga akademi kwenye nchi ambayo viwango vyake vya mpira vipo chini.

Nawasilisha.

=====

Dar es Salaam. Officials of Chelsea Football Club from England are expected to arrive in the country on Wednesday, where they will meet government leaders in Zanzibar and the Tanzanian mainland.

According to the Chelsea FC coordinator in Tanzania, Mohamed Reza Saboor, the delegation will involve Ms. Carly Telford, who is the commercial manager, and Barnes Hempel, the Head of Global Sales.

Saboor said on Thursday, the delegation will meet the President of the Revolutionary Government of Zanzibar, Hussein Ali Mwinyi, and later on have a discussion with the Zanzibar Minister for Information, Youth, Culture, and Sports, Tabia Maulid Mwita.".

He said on Friday, that the officials of the club will travel to Tanzania and meet with the Minister of Culture, Arts, and Sports, Damas Ndumbaro, where they will discuss various issues regarding sports development.

He said if possible, the delegation is scheduled to meet with President Samia Suluhu Hassan.

The coordinator said officials are coming to Tanzania to promote sports and tourism-related issues. He said they will sign a memorandum of understanding with the football association where all major events will be featured on t-shirts.

“They want to support the football association in Tanzania and will open an academy on the mainland and Zanzibar," he said. According to the Saboor, it will be a promotion for tourism in Tanzania if we go under the umbrella of Chelsea.

Chelsea Football Club has a fan base of more than 100 million members globally. He added that the Mou will benefit Tanzania since the club management will be encouraging their members and fans to visit Tanzania.

The Citizen
 
Kumbuka akina Andy Cole walishawahi kufika hapa na story nyingi sana sijui ilifia wapi....isijekuwa kama yake ya Elon M. wa starlink kunyimwa kibali kwasababu ya masharti.
Kuwa na akiba ya maneno, viongozi wetu siyo watu wa kuwaamini kabisa.
 
Kumbuka akina Andy Cole walishawahi kufika hapa na story nyingi sana sijui ilifia wapi....isijekuwa kama yake ya Elon M. wa starlink kunyimwa kibali kwasababu ya masharti.
Kuwa na akiba ya maneno, viongozi wetu siyo watu wa kuwaamini kabisa.
Hii ya sasa ni ya kweli mkuu. Wamevutiwa na maendeleo ya mpira wa Tanzania wakaona waje kumuunga mkono mama kwa kuupiga mwingi.
 
Hata ushoga mnaoletewa maofisini na makanisani ni mafanikio
Na misikitini pia inaletwa kwani muddy(Sex Award Winner) alimnyonya Ulimi na kuuramba mdomo wa Al Hassan mwana wa Ali na kisha kuuchezea uume wa al Hassan mwana wa Ali kama Hadith Idadi 16,245 inavyoeleza na tulivyofundishwa leo hapa msikiti wa mwembetogwa na Sheikh kipoozeo.
 
Na misikitini pia inaletwa kwani muddy(Sex Award Winner) alimnyonya Ulimi na kuuramba mdomo wa Al Hassan mwana wa Ali na kisha kuuchezea uume wa al Hassan mwana wa Ali kama Hadith Idadi 16,245 inavyoeleza na tulivyofundishwa leo hapa msikiti wa mwembetogwa na Sheikh kipoozeo.
duu ,kuhusu wale wajeshi na mtume muhamadi alichowajibu wafanye walivotoa ombi la wakezao waje uwanja wa vita (Suna)

Kimsingi , binafsi huamini dini Si chombo salama kushepu jamii ,Bali kubomoa ila mbinu zao zakiustadi mno kubaini hilo
 
Back
Top Bottom