rais

  1. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Rais wa DR Congo, Tshisekedi amlinganisha Rais Paul Kagame na Hitler

    Kiongozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amepeleka mashambulizi yake ya kejeli dhidi ya mwenzake wa Rwanda katika ngazi nyingine kwa kumfananisha na Adolf Hitler. Félix Tshisekedi alisema Paul Kagame alikuwa na tabia kama Hitler, na akaongeza: "Naahidi ataishia kama Hitler". Bw Tshisekedi...
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kutuma jambo moja kwa moja kwa Rais au Wasaidizi wa Rais?

    Nina mawazo kuhusu mambo ya kuwekwa katika mpango mpya wa maendeleo wa Taifa. Mawazo yangu siwezi kuyaweka humu maana inaweza yakaibwa na nchi nyingine hivyo kupelekea mambo hayo kwenda kufanya na nchi nyingine na sisi tukaendelea kubaki nyuma. Nawajua watendaji wetu wengi, hawasomagi meseji...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hakuna watu wa kuogopa kama wale walioanza kuwaza kuwa Makamu wa Rais, naamini leo walikuwepo Ikulu wanapiga makofi ila moyoni acha tu

    Mhe. Philip Mpango waliotumia mitandao vibaya wasamehe kwani wao waliamini kwenye kile walichosikia. Lakini pia yawezekana kabisa waliotumia mitandao ya kijamii vibaya wamefanya kazi ya Mungu kushinda ila za shetani. Nitakupa mfano ambao unaweza usiuelewe sana ila una umuhimu; MO alipotekwa na...
  4. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango akutana na Rais Samia Ikulu ya Chamwino

    Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amekutana na Rais Samia Ikulu ya Chamwino katika shughuli ya kupokea hundi ya msaada wa waathirika wa mafuriko ya Hanang ambayo mpaka sasa yamepelekea vifo vya watu 85. Ukimya wa Dkt. Mpango takriban mwezi mmoja ulizua sintofahamu katika mitandao ya kijamii...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kelele za wananchi wazalendo zamleta hadharani Makamu wa Rais. Lakini bado twajiuliza; ni sahihi kiongozi wa nchi kuishi nje mwezi bila taarifa rasmi?

    Makam wa Rais amejitokeza hadharani baada ya jana kurejea nchini akitoka nje ya nchi ambapo amekaa huko kwa takribani mwaka mmoja. Akiwa nje hakuna warsha, mkutano wala kongamano aliloonekana kushiriki. Hali hii ilipelekea wananchi kuibua sintofahamu juu ya afya yake. Katika mipango ya ndani ya...
  6. J_Okay

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anasifiwa sana, hawaju wateule wake kama Jeneali Ulimwengu anavyodai?

    Mimi ni mpenzi wa harakati za Jenerali Ulimwengu katika utetezi wake wa demokrasia, utawala bora na haki za binadamu. Ninachofurahia kuhusu yeye ni kuwa katika kipindi ambacho wengi walinywea na kurekebisha maoni yao yaendane na mazingira ya utawala uliokuwepo katika awamu ya tano, yeye...
  7. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Uturuki yatoa Hati ya Kukamatwa kwa Mtoto wa Rais wa Somalia kutokana na ajali mbaya ya barabarani

    Uturuki imetoa Hati ya Kimataifa ya kukamatwa kwa Mtoto wa Rais wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud, baada ya kudaiwa kumgonga msafirishaji wa pikipiki, ambaye alifariki baadaye. Ripoti ya Polisi imesema Mohamed Hassan Sheikh Mohamud alipata ajali hiyo Mchana Jijini Istanbul aipokuwa akiendesha...
  8. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anataka kuiteka nyara nchi

    Amepewa fursa ya kuongoza nchi kwa miaka michache tu anataka atupangie mipango ya 2050. Ndiyo Mhe. Msekwa alikuwa anasema wakati ule,"Kwamba nimesikia watu wanataka kubadili Katiba Magufuli atawale milele. Maneno gani haya?" Masheikh juzi wameshinda kesi mahkamani,wamekamatwa tena,sasa hii...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amesema tuwe na jamii yenye ujasiri wa kuhoji

    Ndugu zangu Watanzania, Hayo ni maneno ya Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia,simba wa nyika, komandoo wa vita,nyota ya matumaini Mama Samia Suluhu Hasssan katika maazimisho ya miaka 62 ya uhuru wa Tanzania Bara. Ambapo...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar ahudhuria sherehe za Uhuru Dodoma

    Wakuu sherehe za uhuru zinaendelea huko Dodoma. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar amehudhuria sherehe za uhuru. Ni taarifa tu
  11. Darwin 9

    JamiiForums Tanzania Rais Samia jenga barabara ya njia nane Dar to Mwanza, Morogoro to Mbeya, Dar to Arusha

    Mheshimiwa Rais samahani sana, na pole na majukumu yako mama. Sisi WaTanzania ambao kwa bahati mbaya tumewai kufanikiwa kutoka nje ya nchi hii kiukweli roho imekua ikituuma kuona vi nchi vidogo ambavyo vingine havitufikii kwa rasilimali na utajiri tulio nao, et navyo vina barabara bora na kubwa...
  12. blogger

    JamiiForums Tanzania Ilipaswa Rais Samia leo aahirishe shamrashamra za Independence day

    Sijui kwa kweli ila ni Aibu. Achilia mbali majonzi tulio nayo Hanang... Hali ya Miundo mbinu sehemu mbalimbali nchi.. Kukatika kwa umeme kusiko koma. Hali ni mbaya mno. Tunaendaje sherekea. !? Picha la kutisha..kama CYBORG....😱😱
  13. J

    JamiiForums Tanzania Boris Johnson: Wakati mwingine Kwenye majanga kama ya Covid-19 ni Heri kutumia common sense

    Ni Heri kutumia common sense kama yule Rais fulani wa Africa aliyesimama Imara na kuiponya Jamii yake Johnson alikuwa akijibu Swali la Jaji huko UK Sijajua huyo Rais wa Africa anayempongeza ni nani! Maandalizi Mema ya Sabato 😀 --- Boris Johnson says more "common sense" should be used at...
  14. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Picha: Taifa limepata faraja inayostahili toka kwa Rais Samia

  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko Katesh, Wilaya ya Hanang, Manyara na Kuzungumza na Wananchi, leo Disemba 7, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko katika Mji wa Katesh Wilaya ya Hanang Mkoa wa Manyara na Kuzungumza na Wananchi Katika Uwanja wa Shule ya Msingi Katesh. https://www.youtube.com/watch?v=5Glwj_n88M8 Rais Samia...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ushelsheli atangaza hali ya dharura kufuatia mafuriko na mlipuko

    Rais Wavel Ramkalawan wa Ushelsheli ametangaza hali ya tahadhari Alhamisi, akiwaamuru raia wote isipokuwa wafanyakazi muhimu kubaki nyumbani, baada ya mlipuko katika duka moja la vilipuzi na mafuriko kutokana na mvua kubwa. Taarifa ya Ikulu mjini Victoria, imetolewa kufuatia mlipuko mkubwa...
  17. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro ili kuelekea Katesh Wilayani Hanang kulipotokea maafa ya mafuriko

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro tarehe 7 Desemba, 2023 tayari kuelekea Katesh wilayani Hanang kulipotokea maafa ya mafuriko makubwa.
  18. Msanii

    JamiiForums Tanzania Wananchi tuna haki kufahamu alipo Makamu wa Rais Philip Mpango

    Tulimpoteza Magufuli kwa sababu kuumwa hadi kuzidiwa kulifanywa National Bigly Secret ambapo wananchi hatukujulishwa iwapo anaumwa ama amezidiwa zaidi ya kustuliwa na taarifa ya kifo chake mnamo 17 March 2021. Rais ni wa Jamhuri ijulikane kuwa anamilikiwa na wananchi wote bila kujali itikadi...
  19. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa: Makamu wa Rais, Philip Mpango yuko nje kwa majukumu

    Kasim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kuwa Makamu wa Rais Dkt Isdory Mpango ni mzima wa afya na yupo nje ya nchi kimajukumu. Waziri Mkuu amesema kuwa watanzaia waachane na ule mtandao unaosema maneno ya ajabuajabu na wasiwe wasiwasi wowote Kwa kuwa Makamu wa Rais Dk. Mpango ni mzima na...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Dkt. Philip Mpango anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi wa Mkutano wa TAWIRI, Dec 6-8

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa Mkutano wa TAWIRI unatarajia kufanyika kuanzia Disemba 6 hadi 8 jijini Arusha.
Back
Top Bottom