rais

  1. Rais wa Tanzania Samia aagiza majeruhi wote waliotokana na ajali iliyoua watu 25 mkoani Arusha watibiwe bure

    Naibu Waziri wa Afya Dkt Godwin Mollel amesema Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameagiza majeruhi wote waliotokana na ajali iliyoua watu 25 mkoani Arusha watibiwe bure Dkt Godwin Mollel amesema hayo leo Februari, 25, 2024 alipowajulia hali majeruhi wa ajali hiyo iliyohusisha magari manne...
  2. Aliyeachiwa kwa msamaha wa Rais ahukumiwa miaka 30 jela

    JOHN Chibuga (31), mkazi wa Kijiji cha Bugolola wilayani Ukerewe, mkoani Mwanza, ambaye Desemba 9, mwaka jana aliachiliwa kwa msamaha wa Rais, amehukumiwa kifungo cha miaka 30 gerezani baada ya kukutwa na kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha. Mwendesha Mashtaka wa Serikali, Aidan Nziku, alidai...
  3. Rais Samia awapongeza Yanga Sc baada ya kuifunga CR Belouizdad bao 4

    Rais was Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameipongeza Klabu ya Yanga kwa kufanya vizuri katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) baada ya kuifunga CR Belouizdad bao nne kwa sifuri na kufanikiwa kufuzu hatua ya Robo Fainali, akisema mafanikio hayo yameandika...
  4. RAIS WA TFF , FREE BUGGATTI NA WENZAKE.

    Ikikupendeza na utapendeza na wengine, mchezo wa soka ni FURAHA na kuwa FAIR. TUMESHUHUDIA nchi ikiwa katika sherehe za uhuru Mh Rais hutoa misamaha kwa WAFUNGWA. Hawa wanakuwa wamefanya makosa na wanapata Misamaha . Kama Taifa la soka Tanzania timu zetu SIMBA NA YANGA kwa mara ya kwanza toka...
  5. Picha: Rais Samia ashiriki mazishi ya kitaifa ya Dkt. Hage Geingob

    Habari picha zikimuonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan alipohudhuria mazishi ya kitaifa ya aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Namibia Hayati Dkt. Hage Geingob yaliyofanyika leo, Jumamosi Februari 24.2024 kwenye uwanja wa michezo wa Uhuru uliopo jijini Windhoek...
  6. Ndege ya Serikali kutumiwa na CCM kwa kazi za kichama ni sahihi?

    Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi ametua Uwanja wa Ndege wa Tabora leo kushiriki mazishi ya Mzee Hassan Mohammed Wakasuvi. Nimeona Daktari ametimba mjini Tabora na ndege ya Serikali. Swali langu ni: Je, ni sahihi ndege ya serikali kutumika kwa kazi za kichama?
  7. Rais kutumia ndege ya abiria badala ya ndege yake binafsi, nani mshauri wake?

    Jamani ndege kama hii BOEING 737-9 max ni ndege ya gharama sana achana na ununuzi wake tu bali hata maintenance pia. Inasikitisha kuona Rais anatumia ndege hii yenye gharama kiasi hiki huku ndege ya Rais ikiwepo bado. Sitashangaa ikipata hitilafu tukaitelekeza mahali kwa sababu matumizi yake...
  8. B

    Kwenye Sekta ya Afya Rais Dr. Hussein Mwinyi amefanya Mageuzi, tumpe maua yake

    Ndio ni mageuzi kwani hatua alizochukua hazikuwahi kufanyika hapo nyuma ama kama zilifanyika basi zilikiwa kwa kiwango kidogo. Dr. Hussein Ali Mwinyi ni Daktari kitaaluma yaani Dakatari wa Binadamu. Tangu ameingia Madarakani Zanzibar kama Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi...
  9. T

    Rais Joe Biden: Ndoa yangu umejengwa kwenye ' Good Sex'

    Rais Biden wa Marekani anasema msingi wa ndoa yake ni mapenzi motomoto na mkewe, good sex. Biden anasema huwashauri wasaidizi wake wasiache kufanya mapenzi kadri wawezavyo. Biden ana miaka 81, kikongwe kabisa lakini bado anapeleka moto ajuza wake, cha ajabu unakuta kijana mdogo wa miaka 20-40...
  10. B

    Rais Mwinyi atuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha mzee Masauni Yusuf Masauni

    23 February 2024 SALAMU ZA RAMBIRAMBI Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Hussein Ali Mwinyi amepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha baba mzazi wa waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, mbunge wz jimbo la Kikwajuni Mh. Hamad Yusuf Masauni kilichotokea leo katika...
  11. Rais Samia atua Namibia kumzika Hayati Dkt. Geingob

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo, Ijumaa Februari 23.2024 amewasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Hosea Kutako ulioko jijini Windhoek, nchini Namibia kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa Rais wa Namibia Hayati Dkt. Hage Geingob Shughuli...
  12. Rais wa Senegal asema ataondoka Ikulu Aprili 2, 2024 licha ya kuahirisha Uchaguzi Mkuu

    SENEGAL: Rais Macky Sall ametangaza kuwa Mamlaka yake ya Uongozi katika Taifa hilo yatakoma rasmi Aprili 2, 2024 ingawa hajaweka wazi juu ya tarehe ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu. Pia, katika taarifa yake, Rais Sall hajaweka wazi nani atakuwa Kiongozi wa Nchi kwa muda wote unaosalia hadi kufika...
  13. Mzee wetu Rais wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi anaendeleaje? Watanzania tunamuombea

    Mzee wetu na Baba/ Babu wa Watanzania wengi Dr. Ali Hassan Mwinyi tulitangaziwa ya kwamba yu mgonjwa, na akakimbizwa hospitali kwa matibabu ya kifua. Tangu tumetangaziwa hivyo hatujapata mrejesho wa afya ya Mzee wetu. Woto wangu kwenu ndugu zanguni Watanzania wenzangu, tuendelee kusugua goti...
  14. Safari za Rais Samia nje ya nchi

    Mjinga mimi nina swali. Ni swali kumhusu Rais Samia [baadhi yenu ni mama yenu]. Sina takwimu wala taarifa zingine zozote za kuufuta huu ujinga wangu. Na hata sijui niende wapi ili kuzipata takwimu na taarifa hizo. Hivyo basi, JamiiForums ndiyo kimbilio langu nitakapo kupata baadhi ya...
  15. Alichokisema Rais mstaafu Kikwete kuhusu Sukari na Umeme

    Wakati kilio cha mgawo wa maji na umeme, na uhaba wa sukari kikiendelea nchini, Rais mstaafu Jakaya Kikwete, amemtaka Rais Samia Suluhu Hassan kuendelea kuwa imara anapoendelea kutafuta suluhisho la changamoto hizo kwa kuwa ni mambo ya kawaida kwenye uongozi. Kikwete amesema anachoonyesha Rais...
  16. Bashe: Tumewalinda vya kutosha Wafanyabiashara wa Sukari, sasa wachague kuuza au kuacha, tunabadili Sheria

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Zuhura Yunus anatarajiwa kuzungumza na Wanahabari (Wahariri na Waandishi wa Habari), Ikulu ya Dar es Salaam, leo Alhamisi Februari 22, 2024 https://www.youtube.com/watch?v=YM-aG-w-Je0 Endelea kufuatilia kitakachoendelea... Zuhura Yunus: Rais Samia...
  17. Video: Rais Rutto akumbana na shida ya umeme wakati anahutubia

    Ukiuliza wananchi ambao wako bize kusifia nchi jirani, basi ni watanzania, yuko tayari asifie Rwanda, Uganda na kila mahali, lakini yuko tayari kudharau nchi yake. Haya sasa, hata Kenya matatizo ya umeme yapo, lakini huwezi wasikia wanadharau nchi yao. --- Katika hali isiyokuwa ya kawaida...
  18. Rais Mwinyi amteua Shariff Ali Shariff kuwa Waziri wa Uchumi na Uwekezaji Zanzibar

    RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemteua Shariff Ali Shariff, kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji visiwani humo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Uteuzi huo umetangazwa na Katibu Mkuu Kiongozi Zanzibar, Mhandisi Zena Said Kwa...
  19. Rais Samia, Naomba umpangie kazi nyingine DC Simon Simalenga. Anakuchafua

    Rais Wa Jamhuri Samia Hassan, naomba umpangie kazi nyingine Mkuu wa Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu, Simon Simalenga sababu anakudhalilisha na kukuharibia. Anafanya watu wakuone kwamba huna maamuzi hata mteule wako anapoenda kinyume na maadili. Ni moja ya watu wanaoamini Mwanamke hawezi kuongoza...
  20. F

    Rais mrejeshe Kalemani wizara ya nishati Uchumi ukue

    Nadhani ifike mahali tukubali kama taifa kuwa tulijikwaa pakubwa (tulikosea sana) kumuondoa Mhe. Dkt. Medard Kalemani MB toka kwenye Baraza la Mawaziri na Wizara ya Nishati. Hali tuliyo nayo ya nishati ya umeme Tz ni wazi kuwa hatuwezi kuvutia uwekezaji mkubwa zaidi tu ya uwekezaji mdogo mdogo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…