rais

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tumshauri Rais ateue vijana wasio na uzoefu lakini wana vipaji vya uongozi kwenye taasisi za Umma, hawa ni watu ' potential' sana

    Nitaanza na swali kabla ya 'content' ya mada hii na swali langu ni: kuongoza taasisi za Umma au taasisi yoyote inahitaji uzoefu mkubwa au uwezo mkubwa wa kiuongozi? swali la pili: Je, mtu ambaye hana uzoefu(graduate) hawezi kuongoza Taasisi Kwa mafanikio? Lengo la mada hii ni kupata mtazamo...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ni wakina nani walitaka Samia asiapishwe Rais wa Tanzania? Walitaka nani aapishwe? Kama CDF asingesimama imara nini kingetokea?

    Awali akina Lissu waliwahi kusema kuna watu walitaka SSH asiapishwe kama Rais wa Tanzania. Lakini katika mahojiano yake hakuna Sehemu Jaji Mkuu wala Spika anatajwa kushiriki mashauriano ya kumwapisha Mhe. Samia. Kwa kauli ya CDF Mabeyo ni kweli kwamba wapo watu walitaka asiapishwe kama Rais...
  3. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Wenye akili na wazalendo walishajua kuwa Tunahitaji sana kupata Rais Mwingine kama Hayati Magufuli

    Leo tarehe 17/03 ni siku ambayo hayati JPM alitutoka 2021. Katika pitapita leo nimekutana na kijana mmoja kuniambia sisi ambao hatuna akili na sio wazalendo ambao wengi wetu tulikosa virutubisho utotoni na kupata udumavu hatuoni mchango wa hayati Magufuli. Hiyo inapelekea kumsema vibaya na...
  4. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Miaka mitatu ya Rais Samia, kila kitu kimepanda bei

    Serikali yote ni ya CCM, walisema wapinzani wanawachelewesha lakini tunajionea wenyewe miaka mitatu ya Rais Samia vitu vyote vimepanda bei mara mbili toka utawala wa Hayati Rais Magufuli, petroli imepanda bei, sukari imepanda bei, unga umepanda bei, Mchele umepanda bei, maharage yamepanda bei...
  5. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli: Mimi sikuja kutafuta wachumba, nimekuja kufanya kazi

    Rais wetu wa Jamhuri tukufu ya Tanzania Hayati John pombe Magufuli, u hai. U hai kwasababu Watanzania haipiti siku bila kukutaja kwa mema na kazi yako nzuri. Rais wangu leo hii tarehe 17.03.2024 tunapoadhimisha siku yako rasmi ya kuitwa katika makazi ya milele, majonzi na huzuni hutawala...
  6. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Rais Hussein Ali Mwinyi akipokea salamu za pole kutoka kwa viongozi na taasisi mbalimbali baada ya kufiwa na Baba yake Hayati Ali Hassan Mwinyi

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole nyumbani kwake Migombani kutoka kwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF) Jenerali John Jacob Mkunda kufuatia kifo cha Baba Mzazi, Rais Mstaafu wa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  7. SYLLOGIST!

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Chato wajiandaa kumuenzi Rais mpendwa, Hayat Rais John Pombe Magufuli 17/3/2024

    Tizama Video hapa chini👇 https://m.youtube.com/watch?v=qubJ4--yeg0&pp=ygVGdmlkZTogVGF6YW1hIG10b3RvIHdhIGhheWF0aSBtYWd1ZnVsaSBhZnVuZ3VrYSBoYXlhLCBhbXRhamEgcmFpcyBzYW1pYQ%3D%3D
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tukimpa Rais Samia jukumu la kuwa mtalii namba Moja wa Taifa, tutakuza utalii wa kimataifa Kwa kiwango Cha juu. Tuwatumie mabalozi wamsaidie

    Hongera na pongezi nyingi ziende Kwa Rais wa nchi yetu Mhe.Samia Suluhu Kwa kukubali kutangaza utalii kupitia filamu ya "THE ROYAL TOUR". Mengi ya kukatisha tamaa yalisemwa kabla ya matokeo ya filamu hiyo kuanza kuonekana lakini Sasa kinachosemwa ni ushindi na mafanikio. Kulingana na takwimu...
  9. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Atunukiwa Tuzo ya Uvumilivu na Rais Mwinyi

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhi tuzo ya Mwananchi Mvumilivu kutoka Pemba, Ndg. Omar Seif Omar, iliyokabidhiwa kwa mtoto wake Ndg. Hamad Omar Seif, kutokana na yeye kushindwa kuhudhuria kwa sababu ya maradhi yanayomsumbua. Tuzo hio...
  10. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Barua kwa Rais Samia kuhusu kashfa za Balozi Mteule wa Rwanda nchini Tanzania, Jen. Patrick Nyamvuba

    BARUA YA WAZI KWA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DR SAMIA SULUHU HASSAN KUHUSU KASHFA MBALIMBALI ZA BALOZI MTEULE WA RWANDA NCHINI TANZANIA GENERALI PATRICK NYAMVUMBA. Ndugu Mheshimiwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan nakusalimu na kukupongeza kwa sababu...
  11. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Hayati Rais John Magufuli anaishi katika mawazo na fikra za Watanzania

    Miaka mitatu sasa tangu Hayati Rais John Pombe Magufuli afariki akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tuliosoma falsafa na historia tumekutana na hoja kwamba mtu hafariki mpaka siku mtu wa mwisho anapoacha kumuwaza,yani ukimfikiria,ukimkumbuka,ukimtaja,anaendelea kuishi katika mioyo ya...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Tanzania tunakupongeza Rais Samia kwa mazuri unayoyatenda

    Wananchi wa Tanzania tunakupongeza kwa mazuri ambayo unayatenda. Usikatishwe tamaa na kelele sisi tulioishi muda mrefu na kujua mwenendo wa nchi tunakuona unaenda vyema sana. Furaha, amani, mshikamano miongoni mwa watanzania ni wa hali ya juu. Uhuru wa kuabudu, uhuru wa kutoa maoni, hata uhuru...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Ufaransa yatambua jitihada za Rais Samia sekta ya maji, yampongeza na kumuunga mkono zaidi

    UFARANSA YATAMBUA JITIHADA ZA RAIS SAMIA SEKTA YA MAJI, YAMPONGEZA NA KUMUUNGA MKONO ZAIDI Waziri wa Maji Mheshimiwa Jumaa Aweso amekutana na kufanya mazungumzo na Mheshimiwa Chrysoula Zacharopoulou, Waziri wa Nchi-Maendeleo ya Uchumi (Secretary of State for Economic Development) wa Ufaransa...
  14. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Samia awe makini sana na viongozi wa EAC

    Nitaandika Kwa kifupi Tu. Hiv Karibun Rais wa Kenya William Somoe Ruto na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museven wameonekana kuwa Chanda na Pete. Kwa history ya nchi zao kuna kila dalili wameona huu ndio wakat wanaweza kuiingia Tanzania kuliko wakati mwingine wowote. Ikumbukwe awali Rais wa...
  15. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde aelezea mafanikio ya sekta ya madini katika miaka mitatu ya Rais Samia

    -Ukusanyaji wa Maduhuli ya Serikali Katika kipindi cha kuanzia Machi 2021 hadi Februari 2024, Wizara kupitia Tume ya Madini imeendelea kutekeleza jukumu la ukusanyaji wa maduhuli ya Serikali yatokanayo ada za mwaka za leseni, ada za ukaguzi, ada za kijiolojia, mrabaha, fines, penalties and...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Yoweri Museveni ampa zawadi Rais Samia ikulu ya Zanzibar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais Yoweri Museveni wa Uganda na Rais William Ruto wa Kenya wakiangalia picha ya Viongozi wa Nchi mbalimbali za Afrika wakati Rais Museveni alipomkabidhi Rais Samia zawadi hiyo baada ya mazungumzo yao Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Mama Fatma Karume

    Mapema leo nikijuliana khali na Mama Fatma Karume, Mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, baada ya kuhutubia na kuzindua Chama cha Wanawake Sekta ya Fedha Tanzania (TAWiFA) Kizimkazi, Zanzibar. Katika hotuba yangu nimeendelea kusisitiza umuhimu wa taasisi za...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kupeleka rufaa kwa Rais

    Habari, Naomba msaada/Muongozo jinsi ya kufikisha rufaa kwa Rais. Nilipeleka rufaa tume ya utumishi wakaikataa, zaidi nimeongezewa kosa ambalo silitambui. Na Mwajiri hakufuata kanuni za Utumishi, niliweka hayo malalamiko kwenye rufaa ya mwanzo ila hawajajibu wameconclude kuwa adhabu...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni kiongozi shupavu na mwenye ujasiri

    Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa kiongozi shupavu na mwenye ujasiri tangu alipoingia madarakani. Kama mwanamke wa kwanza kushika nafasi ya urais nchini Tanzania, Rais Samia ameleta mabadiliko makubwa na kuleta matumaini mapya kwa wananchi wa Tanzania na kwingineko. Uongozi wake unaonyesha...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ndiye Profesa halisi wa Demokrasia na Utawala Bora Afrika

    Wadau hamjamboni nyote? Wapo watakaokubali na watakaopinga hoja hii ila ukweli halisi Rais Samia anastahili kabisa kupewa hadhi ya kuwa Profesa wa Demokrasia na Utawala Bora Afrika Unapozungumzia Viongozi walioleta mabadiliko makubwa ya kisiasa kwenye nchi zao duniani nina hakika jina la...
Back
Top Bottom