Ukiacha swala la Lissu kuwa ndio anaetakiwa kuwa addressed kwenye hiyo barua pamoja na kasoro/makosa ya kiuandishi yanayoonekana katika barua ambayo CHADEMA wameandikiwa na Jeshi la Polisi, kingine cha kujiuliza ni nani kati ya Mwenyekiti wa chama na Katibu Mkuu wa chama anaestahili kuwa...
Tundu Lissu katika Ukurasa wake wa Twitter, ameweka Barua ya Polisi na kuandika Maneno haya "Wito wa polisi sio barua ya kirafiki, ni amri ya kisheria. Wito huo unatakiwa kueleza kosa la mtuhumiwa. Barua hii haielezi kosa ninaloitiwa na imepelekwa kwa Mwenyekiti wa chama. Huu sio wito wa polisi...
Barua kutoka Kanda maalumu ya Dar es Salaam
======
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antipas Lissu ametakiwa kufika Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum ya Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa barua hiyo aliyoandikiwa leo, Lissu ametakiwa kufika bila...
Tundu Lissu huwa anawaambia polisi namna hii:-
i/ "Nyie polisi nyie najua mnamiaka mitano sasa hamjaongezewa mishahara hivyo mna maisha magumu sana. Mimi nikiapishwa kuwa Rais wote nitawaongezea mishahara"
ii/ "nyie polisi nyie tuoneeni tu ila kesho mkistaafu na mkanyimwa pensheni yenu ndiyo...
Je, jeshi la Polisi wanaheshimu viongozi wa Chadema?
Je, IGP Sirro anawaheshimu viongozi wa Chadema; anamheshimu Tundu Lissu?
Tatizo nililoliona ni jeshi la polisi kutokuheshimu viongozi wa Chadema.
Kutokana na matukio ya Polisi kudhalilisha viongozi wa Chadema kuwa mengi, naamini wapo...
Uchaguzi huru na wa haki unaanzia kipindi cha kampeni, lakini tunaona uoendeleo wa wazi kwa CCM.
Mgombea wake Magufuli kila anapopita anaomba kura kwa vitisho lakini hakuna anayehoji iwe ni NEC ama Polisi.
CCM imeshirikiana na vyama vingine lakini hakuna aliyewakemea ila ikitokea upinzani...
Hii ni baada ya kuruhusu magari ya mizigo yasiyo na ubora kusafirisha abiria kutoka wilaya na mikoa ya mbali ili kujaza uwanja wa mkutano .
Hali hii ikiachwa iendelee kwa sababu tu za kisiasa itakuja kuleta maafa makubwa .
Mfanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) jijini Dar es Salaam, Ombeni Alfayo, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumkata mke wake kiganja cha mkono wa kulia kwa sime kwa madai ya wivu wa kimapenzi.
Nipashe
Ukiona Mwanaume yoyote anafanya 'Upumbavu' na 'Ushamba' huu jua...
Kwa kweli msimu huu wa uchaguzi ni kama sherehe katika nchi ,kwa wananchi wengi kujichagulia kiongozi wao kutoka chama kitakachobahatika kupaa kura nyingi kihalali au kimipango.
Sasa inakuwaje polisi wanaonekana kubeba upande mmoja kwa visingizio vya kijinga sana,hata Afande wao mkubwa nafikiri...
Nimeona video ya mgombea mwenza wa CHADEMA akipigwa mabomu kisa kusimama na kuwasalimia wananchi. Roho imeniuma sana.
Nilikuwa nikiona watu wanajivisha mabomu na kwenda kulipua sehemu nilikuwa nashindwa kuelewa kwa nini mtu anafikia hatua hiyo, ila sasa nimeelewa kwa nini watu hujitoa muhanga...
Tunaelewa mnamuogopa muajiri wenu aliepo ingawa sheria haziwafungi mpaka mnavuka mipaka ya kazi zenu badala ya kuilinda serikali mnakilinda chama cha CCM. Tunajua kura ni siri.
Sawa kuweni huko japo kura ni siri ,mbali ya kufanya yote hayo jificheni katika mambo ya aibu wanayoyafanya CCM,mfano...
Mgombea Mwenza wa CHADEMA anapita njiani, anakutana na wananchi, wanataka kumsalimia. Polisi walio kwenye msafara wanatoa mabomu na kuanza kuwapiga wananchi.
Lakini wakati hayo yanafanyika mgombea wa CCM yeye akipita sehemu akakuta wananchi njiani, anaongea nao tena masuala ya kuomba kura...
Hapa ni Kongoro, Mswiswi- Mbarali. Leo kabla ya Dkt. Magufuli kupita vijana wamesimamiwa na polisi kushusha bendera za CHADEMA.
=====
Hapa ni Kongoro, Mswiswi- Mbarali. Leo kabla ya JPM kupita vijana wamesimamiwa na polis kushusha bendera za CHADEMA.
Amani iwe nawe Kamishna Sabas!!
Nimekusikia leo umesema wagombea wafanye kampeni sehemu ambazo wamepangiwa ratiba na Tume. Na mtamchukulia hatua mgombea yeyote ambaye anafanya kampeni sehemu ambayo hajapangiwa na Tume ya Uchaguzi!
Sasa swali langu kwako!
Waziri Mkuu wa Tanzania ndugu Kassim...
Kupitia akaunti ya Twitter ya Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu ameandika
Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni. Wamepiga na kuumiza wananchi waliotupokea. Nawaambia Jeshi la Polisi mfanye kazi yenu kwa weledi...
chadema
eneo
jeshi
jeshi la polisi
kampeni
lissu
lisu
machozi
nyamongo
polisi
risasi
serengeti
serikali
tanzania
tarime
tume ya uchaguzi
tundu lissu
uchaguzi
vijana
Lissu hakuanza utukutu leo, Lissu kaanza kuhenyesha watu tangu enzi za Mkapa, wanasheria wa serikali wote waliishamshindwa, hivi huyu mwamba alifundishwa sheria na wahadhiri wa hapa hapa bongo kweli? Huyu mwamba ni moja ya watu wachache wanaoachaga historia kwenye nchi zao.
Anyway nimefurahia...
Nasikitika kusema tumefika pabaya sana kwamba sasa chama kipo juu ya vyombo vya dola (CCM ni bora kuliko TISS, Polisi na majeshi yote)
Kwambaa mwenyekiti, katibu wa chama anaamua nani afanye nini na kwa wakati gani. Inauma sana.
Jeshi la polisi mkoa wa Geita lipo kwenye masikitiko makubwa...
Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho.
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
ajira
asante
basi
body
ccm
chadema
chato
haki
haki za binadamu
hana
healthcare
hotuba
jpm
kagera
kampeni
kanda ya ziwa
kazi
kununua
kuomba
leader
lissu
lisu
maadili
mabeberu
madaraka
maendeleo
matokeo
mbunge
media
mji
morogoro
mpango
mwanza
nchi
ndege
nyumbani
party
picha
polisi
reggae
sayansi
serikali
sgr
sheria
siasa
siku
siri
song
tanga
tanganyika
tanzania
tarime
tundu lissu
ubunge
uchaguzi
uchaguzi mkuu
ukweli
ulinzi
upinzani
urais
ushindi
video
vijana
vitu
wananchi
wasanii
watanzania
wote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.