polisi

  1. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Tarime, Martin Maranja akamatwa na Polisi usiku wa manane. Sababu za kukamatwa hazijaelezwa

    🎙”Taarifa: Kamanda @IAMartin_ amekamatwa na @tanpol usiku wa kuamkia leo Alhamis Mjini Tarime na mpaka sasa haijajulikana sababu za kukamatwa kwake.”- @PatricOleSosopi #FreeMartinMaranja
  2. Mystery

    JamiiForums Tanzania Tunaomba Polisi watujulishe kuhusu upelelezi wao juu ya wale waliomnywesha sumu Mzee Mangula

    Mwanzoni mwa mwezi wa tatu mwaka huu, tulimwona Kamanda wa Polisi wa kanda maalum ya Dar, Lazaro Mambosasa, akiongea na waandishi wa habari, akielezea tukio la kulazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili, kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa, Mzee Mangula. Katika taarifa yake hiyo alitutueleza...
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kipanya: Polisi mkiona mwenzenu ananyolewa na nyinyi mkiandae

  4. beth

    JamiiForums Tanzania Paris, France: Maelfu waandamana kudai haki itendeke kwenye kifo cha Mfaransa mweusi aliyefia mikononi mwa Polisi mwaka 2016

    Waandamanaji zaidi ya 20,000 wamekusanyika katika Mji Mkuu wa nchi hiyo, Paris kudai haki itendeke katika kifo cha Mfaransa mweusi Adama Traore aliyefia mikononi mwa polisi mwaka 2016 Uchunguzi wa mazingira ya kifo Traore (24) umekuwa ukiendelea kwa miaka minne huku kukiwa na ripoti za kiafya...
  5. Trubarg

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utafiti: Polisi wa Kenya wameua watu 15 na kujeruhi wengine 31 wakati wa 'ku-enforce Curfew'

    The Independent Policing Oversight Authority (IPOA) says 15 people have been killed and 31 others injured by police officers since Kenya heightened security measures to curb the spread of the novel Coronavirus. About 87 complaints which include deaths, shootings, harassment, assaults resulting...
  6. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania USA: Hapa ndio polisi wameua mmoja tu, hali iko hivi ya maandamano. Wangekuwa watatu au zaidi unadhani ingekuwaje?

    Hii ndiyo USA. Polisi kwa kutokuwa makini na kwa kukanyaga sheria zinazowaongoza kufanya kazi zao wakaua RAIA MMOJA TU asiye na hatia na asiye silaha kabisa huku wakiwa wameshamkata. Hali iko hivi. Serikali nzima iko kwenye misukosuko. Inasemekana watu ilibidi waingie kwa nguvu hadi kwenye...
  7. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polisi iepuke kabisa kuwa Polisi ya USA dhidi George Floyd!

    USA ubaguzi wa rangi na matendo ya kinyanyasaji yalizidi sana. Mpaka leo bado kuna Miji inatangaza maandamano. Nimeona waandamanaji wanaokuwa tayari kugongwa hata na magari ili wafe kwa ajili ya uchungu wa manyanyaso hadi kifo ya mpendwa wao George Floyd. CCM yangu inaingia kwenye Uchaguzi...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Polisi wa Jimbo la Florida US wawapigia magoti waandamanaji, Polisi Tanzania ina la kujifunza

    Police wa Jimbo la Florida nchini US wameweka silaha zao chini na wakapiga magoti mbele ya waandamanaji kuwaomba msamaha, wamekubali kubeba lawama kwa kifo cha Floyd. Humanity restored.
  9. Trubarg

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisingizio cha CORONA: Mume alazwa na Jeneza lenye mwili wa mke wake nje ya kituo cha Polisi

    Katika Hali ya kustaajabisha, Polisi wa Kenya wamemlazimisha mtu anayesadikiwa kuwa na mume wa marehemu kulala nje ya kituo cha polisi na mwili wa Mke wake ukiwa kwenye jeneza. Tukio Hilo lilitokea baada ya Polisi kuzuia msafara wa mazishi uliokuwa unatokea Malindi. Mwanaume Huyo anasema '...
  10. funaku

    JamiiForums Tanzania Nasubiri tamko la Wanademokrasia CHADEMA kulaani mauaji yaliyofanywa na Polisi wa Marekani

    Nikiwa mzoefu wa kufuatilia matamko ya Chama cha Chadema naendelea kusubiri ni lini Chadema itatoa tamko kali na pengine kuandika barua kwa maseneta kule Marekani kuhusiano na tukio la Polisi wa Kimarekani kudhulumu maisha ya mweusi huko marekani. CC: Mmawia
  11. J

    JamiiForums Tanzania Makamanda nisaidieni: Hivi " Peoples power" ni lazima iendane na uporaji? Au ndio sababu Polisi huzuia maandamano yenu!

    Nguvu ya Umma au peoples power kinadharia hutumiwa sana na Chadema lakini waliwahi kuitumia kivitendo wakati fulani tukashuhudia kifo cha binti asiye na hatia. Ninafuatilia kinachoendelea Marekani kupitia luninga ya Al-Jazeera kiukweli sijaelewa kama hii ndio nguvu ya Umma wanayoiamini...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Meya wa jiji la Mwanza mh Bwire anayedaiwa kuandaa vijana waliomfurusha Mwita Waitara akamatwa na polisi

    RPC wa Mwanza Jumanne amesema jeshi la polisi limefanikiwa kumkamata meya wa jiji la Mwanza mh Bwire anayedaiwa kuandaa vijana waliomtukana na kutaka kumpiga Naibu waziri wa Tamisemi Mwita Waitara. RPC Jumanne amesema Bwire amekamatwa baada ya kushindwa kuitikia wito wa polisi uliomtaka afike...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Aliyetoa taarifa juu ya dhuluma ya vitambulisho Zanzibar akamatwa na Polisi

    ZANZIBAR: ALIYELALAMIKIA ZOEZI LA VITAMBULISHO AKAMATWA NA POLISI Mkazi wa Jundamiti Kiwani Kisiwani Pemba, Abdalla Khamis Muhammed (Tuba) anashikiliwa na Polisi Mkoa wa Kusini Pemba kwa madai ya kufanya uchochezi baada ya kudai kitambulisho cha Mzanzibar Mkaazi. Mohammed ni miongoni mwa...
  14. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Marekani: Afisa wa polisi aliyefutwa kazi Derek Chauvin ashitakiwa kwa mauaji ya George Floyd. Mkewe ataka talaka

    Afisa wa polisi aliyefutwa kazi Minneapolis Derek Chauvin amekamatwa na kufunguliwa mashitaka ya mauaji juu ya kifo cha George Floyd, mwendesha mashitaka wa kaunti ya Hennepin Mike Freeman alisema. Afisa huyo wa zamani alionekana katika video akiikandamiza kwa goti lake shingo ya Floyd kwa...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Tujuzane; Ni mkwara gani uliwahi kupigwa ukiwa kwenye 18 za polisi

    mliowahi kuingia kwenye kumi na name za polisi; Ni mkwara gani mkubwa mliwahi kukutana nao kutoka mikononi mwa hawa jamaa? Tujuzane!!
  16. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Adaiwa kumuua mtoto wake na kumzika

    MKAZI wa Kijiji cha Sekedidi, wilayani Kishapu, mkoani Shinyanga, Lucia Mahazi (42), anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa kiume wa siku mbili na kisha kumzika, kwa madai ya kutelekezwa na mwanamume aliyempa ujauzito. Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari jana...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Minneapolis: Vurugu zatawala katika siku ya pili ya maandamano kupinga kifo cha mtu mweusi alieyeuawa na Polisi

    Idara ya Haki ya Marekani imesema imeupa kipaumbele cha kwanza uchunguzi wa Polisi kuhusika na kifo cha George Floyd huku maandamano ya vurugu yakiingia siku ya 2 Idara hiyo imesema Waendesha Mashtaka Waandamizi na Wapelelezi kutoka FBI (Federal Bureau of Investigation) wanachunguza kuangalia...
  18. Influenza

    JamiiForums Tanzania Polisi: Idris Sultan anashikiliwa kwa kujaribu kuharibu ushahidi na makosa mengine ya kimtandao

    Jeshi la Polisi limesema linaendelea kumshikilia Idris Sultan aliyekamatwa Jumanne iliyopita akihusishwa na tuhuma za makosa ya kimtandao likiwemo la kujaribu kuharibu ushahidi. Mchekeshaji huyo alikamatwa na kushikiliwa katika Kituo cha Polisi Oysterbay Jijini Dar ambako alihojiwa kwa kutuhuma...
  19. Keynez

    JamiiForums Tanzania Familia za watuhumiwa ni sababu kubwa ya watu kushikiliwa na Polisi bila dhamana

    Sijui wangapi mna ‘personal experiences’ za kushikiliwa na Polisi kwa kosa lolote lile. Ni kweli Watanzania wengi ni wanyonge sana hasa wanapokuwa mbele ya dola. Hata wenye hela huwa ghafla wanageuka wanyonge hata haki zao zinapogandamizwa. Kwa mazingira na mazoea ya Kitanzania, bado wengi...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Polisi hawapewi kazi za utendaji kama Wanajeshi

    Kitu kinanishangaza kwanini Polisi hasa wastaafu hawahusiswi sana na shughuli za kisiasa kama wastaafu wanajeshi. Wanajeshi wanachaguliwa kama mabalozi, wakuu wa mikoa na kwenye bodi tofauti lakini polisi ni wachache. Polisi wana uzoefu mkubwa sana na wananchi lakini nashangaa kuona hawatumiki.
Back
Top Bottom