Hatimaye serikali ya Kenya imeonekana kuchukua hatua dhidi ya mauaji na ukatili unaoripotiwa kuendelezwa na maafisa wa polisi wanapoidhinisha amri ya kutotoka nje ya saa moja usiku hadi saa kumi na moja asubuhi.
Idara ya usalama imetangaza kuwa polisi wanne wamesimamishwa kazi kusubiri...
Nikiwa hapa katika viunga vya jiji la Nairobi nimejaribu kupata maoni kutoka wa watu mbalimbali ambao nilitaka kufahamu kuhusu sakata la Polisi kupiga watu siku za hivi karibuni na jinsi suala Hilo lilivyoleta mtafaruku ndani na nje ya Kenya.
Wengi wamesikitishwa na kitendo hicho ila wengi...
Mh Kassim Majaliwa amesema ni waziri wa afya pekee mh Ummy Mwalimu ndiye atakayekuwa akitoa taarifa za Corona nchini.
Mh Majaliwa amesema itakapolazimu zaidi basi ama yeye Waziri mkuu, Makamu wa Rais au Rais Magufuli ndio watakaozungumza na si vinginevyo.
Waziri mkuu amesisitiza kuwa mtu...
Ili kupambana na usambaaji wa Virusi vya Corona Serikali ya India ilizuia watu kutoka nje.
Kwenye video hii polisi wanaonekana kuchapa watu waliowakuta wakitembeatembea nje na kuwapa adhabu mbalimbali kwa kukosa utii
Source: abcworldnewstonight
Wadau,
Jana asubuhi nikiwa njiani kwenye mwendo kasi nikiwa nakwenda kwenye mihangaiko yangu ya kila siku vijana wa mjini (wezi wa mifukoni) walinikwapulia simu yangu na vijisenti kiasi kadhaa. Nilistuka baada ya kusikia kijana wa pemebeni yangu alipokuwa analalama amekwapuliwa simu yake, na...
Kusema kweli mimi mkiristu kisa cha Ramadhani Ntunzwe kimenisikitisha
Mwenye MB zako nisimwage chumvi Ona hapa[emoji116][emoji116][emoji116]
Hii issue ikianza hivi natoa pongezi kwa Ramadhani kwa uvumilivu
VIDEO: Hivi ndivyo mfanyabiashara aliyetajwa na Magufuli
Baadae ikafuata hii mpaka...
"Mhe. Esther Bulaya, Mhe. Halima Mdee na Mhe. Jesca Kishoa wameruhusiwa juzi, isingekuwa Corona tulikuwa tunafikiria kuwapeleka nje kupata matibabu zaidi. Bado tunatafakari nini cha kufanya, hali zao bado hazijatengemaa, hasa Esther Bulaya aliyeumia ndani." Mhe. John Mrema
Askari wa Polisi wamezingira Hotel aliyofikia Mikocheni, Dar es Salaam, wakimtafuta Waziri Kivuli wa Wizara ya mambo ya ndani na Mbunge wa Arusha mjini kwa sababu ambazo hazijajulikana. Mhe. Lema alikuwa azungumze na vyombo vya habari leo jijini D'Salaam kumjibu DPP
Polisi hao wenye silaha...
Inasikitisha sana kuona watanzania wenzetu wakiishi maisha ya hofu kana kwamba hawapo nchini mwao, kule Kitunda kuna sehemu inaitwa Nyantila ambapo maduka zaidi ya 20 yamebomolewa na kuibiwa siku tatu zilizopita.
Na yakaporwa tena jana, vijana wanapora adharani na wanaogopwa, watu wanakabwa saa...
Jeshi la Polisi nchini limemtaka Kiongozi Mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo, Kabwe Zitto kuwasilisha taarifa haraka za mhalifu kwa njia ya mtandao, anayetafutwa na serikali kwa muda mrefu anayejiita Kigogo, ili mhalifu huyo akamatwe.
Limesema hivyo kutokana na taarifa iliyotolewa hivi karibuni na...
Watoa taarifa wanasema kwamba lundo la askari wenye silaha za kivita walifika nyumbani kwake saa 10 alfajiri na kuzingira nyumba yake , kutisha raia waliokuwa tayari kumsaidia jirani yao na hatimaye kumkamata .
Taarifa za awali zinaonyesha kwamba amepelekwa kwenye kituo kikuu cha polisi Mkoa wa...
Nimekuwa nikikaa nao kwenye mabwalo yao nawasikia wakilalamika kuhusu kutokulipwa posho za maji na umeme, nilijaribu kumuuliza askari mmoja akasema kuna mtu mmoja wizarani anakwamisha jambo hilo.
Sasa nauliza kumbe! Kuna utaratibu wa majeshi kulipwa posho za maji na umeme? Je, hawa polisi na...
Kila nikiwa kwenye mabwalo yao nawasikia wakilalamika kunyimwa haki yao ya posho za maji na umeme
Sasa naomba kujua kuna utaratibu wa majeshi kulipwa hizo posho?
Kama upo kwanini wanalalamika nini kinawakwamisha?
Nilijaribu kumuuliza pot mmoja kuhusu hilo akasema kuna mtu mmoja wizarani kwao...
Bado haijafahamika kama wamepigwa risasi na askari walioagizwa kuua na Mkuu wa Wilaya , Mwandishi wa Mwananchi Janeth Joseph na Elia Peter wa global Tv ndio walioathirika zaidi
Wanatuhumiwa kupiga picha tukio baya lililopangwa la kummaliza Mbowe
Shukrani za Pekee ziwafikie walinzi wa Mbowe...
Mwenyekiti wa CHADEMA Mh.Freeman Mbowe amekamatwa na Jeshi la Polisi Wilayani Hai mara baada ya kumaliza kuhutubia Mkutano wa hadhani Jimboni Hai Leo.
Sababu ya kukamtwa kwake bado haijajulikana.
======
CHADEMA imesema Mwenyekiti wake na Mbunge wa Jimbo la Hai, Freeman Mbowe amekamatwa na...
Embu angalia mchina jamani anashiriki siasa za nchi kisa anaimba nyimbo ya kumsifu mfalme, aisee halafu ukiangalia nyuma kuna polisi kabisa analinda eti usalama.
Yaani msajili wa vyama yupo tu,jenga picha hii ingekuwa ni chadema maana kwenye mkutano wa cdm wale mabalozi wa abroda kualikwa tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.