TANROADS, Polisi hela ya faini hamuioni?

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,882
13,171
IMG-20200722-WA0000.jpg

IMG-20200722-WA0001.jpg

Hilo tinga tinga limeharibikia hapo makutani ya service rodi na Bagamoyo rodi kwa wiki ya pili sasa. Magari yanapata taabu kupita na hata kuleta hatari za ajali. Hapo ni Bagamoyo rodi eneo la GOIG.
 
View attachment 1514174
View attachment 1514175
Hilo tinga tinga limeharibikia hapo makutani ya service rodi na Bagamoyo rodi kwa wiki ya pili sasa.
Magari yanapata taabu kupita na hata kuleta hatari za ajali.
Hapo ni Bagamoyo rodi eneo la GOIG.
Mara zote na siku zote polisi wako kituo cha daladala kipo kama mita mia moja hapo mbele wakila vichwa.
Hili tatizo hawalioni?
 
Back
Top Bottom