polisi

  1. Mag3

    JamiiForums Tanzania Yanayowapata wapinzani nchini Tanzania mikononi mwa Polisi hayana tofauti na yanayowapata weusi nchini Marekani isipokuwa hili moja!

    Huyu ni Professor Steve Loche, mhadhiri wa chuo kimoja katika jimbo la Massachusetts na ufuatao ni mkasa uliowahi kumkuta kwa sababu tu mi mtu mweusi...anaeleza: “This is what I wore to work today. On my way to get a burrito before work, I was detained by the police. I noticed the police car...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais Trump atoa agizo la kuchukuliwa hatua dhidi ya ukatili unaofanywa na Polisi

    Rais Donald Trump wa Marekani amesaini amri ya rais kuhusu utendaji wa polisi, na kutoa agizo la kuchukua hatua dhidi ya ukatili wa polisi na ubaguzi wa rangi. Hatua hiyo imekuja wiki tatu baada ya kifo cha George Floyd, raia mweusi wa Marekani wenye umri wa miaka 46, ambacho kimesababisha...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Manyoni: Anayedaiwa kumuua na kumfukia mkewe mikononi mwa polisi

    Jeshi la polisi wilayani Manyoni mkoani Singida linamshikilia Yusufu Abdallah mkazi wa Kitongoji cha Tambukareli kwa tuhuma za kumuua mkewe Bi.Neema Vicent na kumfukia kwenye makaburi ya zamani kwa zaidi ya siku arobaini huku ndugu wakihangaika kumtafuta bila mafanikio. Mwili wa marehemu Bi...
  4. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Askari wa Jeshi la Polisi sasa wanajificha huwezi waona na sare zao mtaani

    Habari za siku nyingi JF Hakika kuna kitu hakipo sawa ndani ya Jeshi la polisi la Tanzania Askari wetu wengi tunaishi nao huku mitaani katika nyumba za kupanga, wachache wanaishi katika nyumba za serikali na wengine wachache saana wamejenga nyumba zao vizuri tu Kwa sasa hali imebadilika sana...
  5. Wakulonga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njemba ajisalimisha polisi akiwa uchi kwa kumuogopa mjeshi baada ya kumfumania na mkewe

    Mwanaume mmoja nchini Kenya amejisalimisha kituo cha polisi cha Embakasi Jijini Nairobi akiwa hana nguo baada ya kukimbia kutoka kwenye fumanizi nyumbani kwa mke wa Mwanajeshi. Imeelezwa kuwa mume wa mwanamke huyo ambaye ni Mwanajeshi alirudi ghafla nyumbani bila taarifa na kumkuta mkewe na...
  6. britanicca

    JamiiForums Tanzania Sijawai kuona weledi wa Polisi wa Tanzania

    Ni jambo gani polisi waliwai onesha we led I hapa nchini? Wapo kusakizia watu, na kuwafungulia mashtaka kwa niaba ya CCM! Wapo kula Rushwa!! Wapo kutekeleza Mauaji!!! Nasikia na wengine wameanza kuuza miadarati na mirungi!! Polisi wanakodisha waarifu silaha!!! Polisi wanawarubuni wake za watu...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Tukio la Lissu hadi Lissu ahojiwe, tukio la Mbowe upelelezi tayari, lini Mbowe kahojiwa?

    Tarehe 9 mwezi huu Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mh. Mbowe alishambuliwa na kuvunjwa mguu na watu wasiojulikana, ni takriban siku 3 tu tayari polisi wamefanya uchunguzi na kuja na matokeo. Lissu alishambuliwa tarehe11/9/2017 hadi leo karibu miaka mitatu 3, polisi wanadai wameshindwa kuendelea na...
  8. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

    USHAHIDI wa awali wa Jeshi la Polisi nchini kuhusu madai ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni Freeman Mbowe umeonesh kuwa siku hiyo ya tukio Mbowe alikuwa amelewa chakali na alizunguka kwenye kumbi mbalimbali za...
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Polisi washutumiwa kuwaua watu 15 kiholela

    Kenya: Polisi washutumiwa kuwaua watu 15 kiholela Mamlaka inayoangazia utendakazi wa polisi nchini Kenya IPOA, Jumatano ilisema kwamba Wakenya wapatao 15 wameuawa na polisi katika taifa hilo la Afrika Mashariki katika kipindi hiki ambacho kumewekwa marufuku ya kutoka nje usiku, kati ya masharti...
  10. Cannabis

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi watatu Kenya wakamatwa kwa kumburuza mwanamke kwa pikipiki

    Polisi watatu wamekamatwa nchini Kenya baada ya mmoja wa polisi hao kuonekana akimchapa na kumburuza mwanamke mmoja kwa pikipiki. Mwanamke huyo anadaiwa kuhusiana na tuhuma za wizi mjini Nakuru. Mwanamke huyo amelazwa hospitali baada ya kuumia miguuni na mikononi. Mwanamke huyo amekiambia...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Polisi sita kushtakiwa kwa mauaji waliyotekeleza wakati wa 'marufuku ya kutembea usiku'

    Wakenya wapatao 15 wameuawa na polisi nchini Kenya katika kipindi hiki ambacho kumewekwa marufuku ya kutembea usiku ili kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona, ripoti huru ya mamlaka inayoangazia makosa ya polisi katika taifa hilo (IPOA) imesema. Polisi sita sasa watashtakiwa kwa makosa ya...
  12. Chief Kabikula

    JamiiForums Tanzania Hivi hiki kiherehere cha Polisi , Wabunge wa CCM kuzungumzia tukio la kushambuliwa Mbowe kina malengo gani?

    Baada ya Mbowe kushambuliwa kumeibuka watu wenye kuelekea tukio lenyewe utagikiri wao ndio wahusika, familia au walikuwepo wakati wa tukio. Kuna wabunge wanatoa maelezo eti walikuwa na Mbowe usiku akiwa kalewa, jibu ni lahidi tu Mbowe hajaanza kunywa pombe jana wala juzi Kuna Ndugai anadai kuna...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Polisi yabaini hekari 100 za bangi

    KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa, atoa siku mbili kwa viongozi wa vijiji vitano mkoani humo kujisalimisha polisi baada ya operesheni iliyofanywa na jeshi hilo, kubaini hekari 100 za mashamba ya bangi. Vijiji hivyo amevitaja kuwa ni Bunduki, Misengere, Kododo, Vinile, na...
  14. Influenza

    JamiiForums Tanzania Kushambuliwa kwa Mbowe: Polisi wasema wanaendelea na Uchunguzi, wapiga marufuku tukio hilo kufanywa la kisiasa. CHADEMA yamuhusisha Mchungaji Mashimo

    Kamanda wa Polisi Mkoani Dodoma, Gilles Muroto amesema leo alfajiri walipokea taarifa kutoka kwa Mbunge wa Viti Maaalum, akiwa na Dereva wa Mbowe, Wilhad Urassa (34) kuwa Mwenyekiti huyo wa CHADEMA wakati akipandisha ngazi kuelekea ndani kwake inadaiwa alishambuliwa na watu 3 Kamanda Muroto...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Watu 36 wakamatwa kwa kuwashambulia polisi katika maandamano

    Jumla ya watu 36 wamaekamatwa wakati wa maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi na ukatili wa Polisi uliofanyika na kusababisha kifo cha Mmarekani mweusi George Floyd. Waandamanaji hao wamekamatwa kwa kufanya fujo, uharibifu na kuwashambulia polisi. Taarifa iliyotolewa hivi karibuni imesema...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini mbwa wakali na farasi wababe wa Jeshi la Polisi tokea 2015 hawakukaguliwa na wamekuja kukaguliwa tena 2020?

    Na nasikia Maswali ya 'Mkaguzi' Mkuu 'aliyewakagua' jana yalikuwa ni Kuangalia kama Wanyama hao wana uwezo wa kutoka Baru (Kukimbia) hasa waonapo 'Adui' na pia kuhakikisha kama Farasi wana uwezo wa kupita 'Vichochoroni' sana na kukatisha Mitaa endapo 'Maadui' watakuwa wanaikatisha hiyo Mitaa...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Cameroon: Mwandishi wa Habari adaiwa kufariki dunia mikononi mwa polisi, Shirika la RSF lataka uchunguzi binafsi kufanyika

    Shirika la Reporters Without Borders (RSF) limesema Samuel Wazizi ambaye alikamatwa Agosti 02,2020 kwa madai ya kukosoa Mamlaka za Serikali amefariki dunia Taarifa ya RSF imesema siku tano baada ya kukamatwa, Wazizi alihamishwa Kituo na kuanzia siku hiyo familia na wanasheria wake hakuruhusiwa...
  18. comte

    JamiiForums Tanzania Tatizo kumbe ni polisi wala siyo ubaguzi

    Hapa naona dereva mweusi na askari polisi weusi wanaonyeshana kazi
  19. D

    JamiiForums Tanzania Mjue "Mbokoo" kibaka aliyewahi kuitikisa Kigamboni-Dar kabla ya kudhibitiwa kwa mbinde na Polisi

    Alifahamika kwa jina la MBOKOO! Alikuwa kibaka mwenye miraba minne, Ambaye alikuwa kero kubwa kwa wakazi wa Kigamboni! Taarifa za uhalifu wake ziliwahi kuwa kero zilivyoripotiwa kila siku kwa matukio tofauti kiasi Cha kujaza REPORT BOOK (RB) ya polisi kila kuchwao akituhumiwa kuhusika na...
Back
Top Bottom