Kama watu walikusanyika uwanja wa ndege kupokea ndege na halikuwa kosa, kwanini kumpokea Lissu uwanja wa ndege ndio iwe nongwa?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
43,803
2,000
Watanzania,mnakumbuka serikali nzima na wananchi walihimizwa kufika uwanja wa ndege kupokea ndege za serikali kila zilipokuwa zinawasili?

Sasa kama watu waliweza kukusanyika kwa wingi kupokea ndege tena wakiongozwa na Raisi wa nchi,iweje leo iwe kosa kumpokea binadamu mwenzao?

Ndio maana kila siku huwa nasema: hawa watu huenda wamenyimwa maarifa ili waanguke kutoka madarakani maana hali hii inashangaza mno na hueza hata kuielezea ikaelewaka kwa mtu mwenye akili timamu.

1595743144797.png1595743334319.png
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
30,413
2,000
Wewe hujui kwamba taifa lina msiba mkubwa?
Hakuna cha msiba, amekufa ameziba shimo la kwake maisha yanaendelea. Wazazibar waliopigwa risasi wakafa utawala wake wala unadhani wana habari na kufa kwake?! Kila mmoja abebe msalaba wake!

Acha kumpamba mwabnadamu, amekufa kama wewe na mimi tutakavyokufa na kuzikwa na kuoza na kuwa mbolea ya mimea....
 
Hero

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
3,780
2,000
Ujio wa TL haua maslahi kwa taifa! Kwanza ngoja atue uwanjwa wa ndege uone atakavyo tehemu maana Hali imebadirika! Nafikiri angeachwa peke yake tu ili apotee kwa maendeleo yaliyofanywa na kipenzi Cha wanyonge Magu.
 
Bishweko

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
3,004
2,000
Ujio wa TL haua maslahi kwa taifa! Kwanza ngoja atue uwanjwa wa ndege uone atakavyo tehemu maana Hali imebadirika! Nafikiri angeachwa peke yake tu ili apotee kwa maendeleo yaliyofanywa na kipenzi Cha wanyonge Magu!
Kumbe nyie ni wanyonge? Tusaidie tujue nani anawanyonga au nani anawafanya mue wanyonge huku kila tarehe tisa Disemba mkisherekea siku ya kupata Uhuru.
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
21,762
2,000
Ujio wa TL haua maslahi kwa taifa! Kwanza ngoja atue uwanjwa wa ndege uone atakavyo tehemu maana Hali imebadirika! Nafikiri angeachwa peke yake tu ili apotee kwa maendeleo yaliyofanywa na kipenzi Cha wanyonge Magu!
Kamuulize JpM ndiye anajua maslahi ya Tundu Lissu pindi akiingia nchini. We kapuku huna unalolijua.
 
Hero

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
3,780
2,000
Kumbe nyie ni wanyonge? Tusaidie tujue nani anawanyonga au nani anawafanya mue wanyonge huku kila tarehe tisa Disemba mkisherekea siku ya kupata Uhuru.
We naye aah, shauri yako...asiyejua maana....!?
 
Hero

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
3,780
2,000
Tumeshuhudia wasanii wetu waliposhinda tuzo kwenye nchi za watu wakipokelewa na mashabiki zao makumi kwa mamia, itakuwa ni jambo la ajabu kwa wapenzi wa CHADEMA na Tundu Lissu kuzuiwa kumpokea mpendwa wao
So uende tuu mbona makelele mengi yote haya!
 
Percy

JF-Expert Member
Jul 21, 2014
6,442
2,000
" Ama kweli Tundu Lissu ni mwiba kwao aisee yani wameshaanza kupiga biti mikusanyiko kisa yeye kurejea nchini!! hapa majuzi tumemuona jamaa mmoja akienda kule Zanzibar na kuwataka wajitokeze kwa wingi wampokee, wakaenda mbali zaidi wakawataka hadi watumishi wa UMMA, wafanye hivyo. Wekeni mazingira sawa ya Uhuru wa watu katika nchi yao. "
 
nditolo

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
2,696
2,000
Hakuna cha msiba, amekufa ameziba shimo la kwake maisha yanaendelea. Wazazibar waliopigwa risasi wakafa utawala wake wala unadhani wana habari na kufa kwake?! Kila mmoja abebe msalaba wake!

Acha kumpamba mwabnadamu, amekufa kama wewe na mimi tutakavyokufa na kuzikwa na kuoza na kuwa mbolea ya mimea....

Na lile sanduku wameharibu pesa tu. Naona gharama nyingi kiasi kwamba hatakiwi kuoza!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom