Jeshi la Polisi limechagua kuibeba CCM. Wananchi tushikamane tutaishinda dhuruma hii

RockCarnegie

JF-Expert Member
Jan 17, 2019
963
1,927
Kadri Uchaguzi Mkuu unavyaokaribia, ndivyo Jeshi la Polisi linavyozidi kujinasibisha na Chama cha Mapinduzi, (CCM)

Kwa kuwa CCM hakiungwi mkono tena na umma bali ni mwanasesere aliyebebwa kwa mbeleleko ya chuma, Watanzania tusimame kwa pamoja na kwa umoja kulinda thamani ya kura zetu

Tumkatae Jiwe na vikaragosi vyake kwa kupiga kwa wingi na kulinda ushindi.
 
Acha kuweweseka mnatafuta huruma ya Nani? Nyie mtaitwa wapinzani mpaka kiyama,kazi yenu Ni hii kulialia kulaumu kuropoka hovyo hovyo kupinga kila kitu,mnataka Nini zaidi ya hiki? Nyumbu nyie
 
Kadri Uchaguzi mkuu unavyaokaribia, ndivyo Jeshi la polisi linavyozidi kujinasibisha na Chama cha Mapinduzi, CCM!
Unyanyasaji wa wapinzani na matumizi ya wafungwa kenywe kazi za CCM ni ishara ya kuwa kura za Wananchi hazitaheshimiwa!
Kwa kuwa CCM hakiungwi mkono tena na umma bali ni mwanasesere aliyebebwa kwa mbeleleko ya chuma, Watanzania tusimame kwa pamoja na kwa umoja kulinda thamani ya kura zetu!

Mwaka huu mbele ya Tundu Lissu ccm haichomoki. Tuko na Mungu.
 
Kadri Uchaguzi mkuu unavyaokaribia, ndivyo Jeshi la polisi linavyozidi kujinasibisha na Chama cha Mapinduzi, CCM!
Unyanyasaji wa wapinzani na matumizi ya wafungwa kenywe kazi za CCM ni ishara ya kuwa kura za Wananchi hazitaheshimiwa!
Kwa kuwa CCM hakiungwi mkono tena na umma bali ni mwanasesere aliyebebwa kwa mbeleleko ya chuma, Watanzania tusimame kwa pamoja na kwa umoja kulinda thamani ya kura zetu!
Tumkatae Jiwe na vikaragosi vyake kwa kupiga kwa wingi na kulinda ushindi.
Ushindi upo tayari, hapa ni kukamilisha mikakati ya hatua za kuwachukulia hawa viumbe pale watakapopora ushindi kama ambavyo wamezoea miaka yote
 
Viongozi Wa upinzani wana uvumilivu sana, ningekuwa mi ndo kiongozi Wa upinzani kwa huu uonevu Wa polis, ningewatangazia wafuasi wangu wote kutoshirikiana na jeshi LA polis.polis wamekuwa washabiki Wa ccm badala ya kulinda usalama Wa RAIA na Mali zao.
 
Kadri Uchaguzi Mkuu unavyaokaribia, ndivyo Jeshi la Polisi linavyozidi kujinasibisha na Chama cha Mapinduzi, (CCM)

Kwa kuwa CCM hakiungwi mkono tena na umma bali ni mwanasesere aliyebebwa kwa mbeleleko ya chuma, Watanzania tusimame kwa pamoja na kwa umoja kulinda thamani ya kura zetu

Tumkatae Jiwe na vikaragosi vyake kwa kupiga kwa wingi na kulinda ushindi.
Amini nawaambia wapinzani hii ndo hoja kuu ya kushikilia mwaka huu. Ni nguvu ya umma katika kulinda kura na kusimamia uhesabuji wa kura.

Hawa jamaa hawana support mnayodhani kutoka kwenye vyombo vya dola ná wananchi wakikomaa kweli vyombo vya dola vitawanawa mchana kweupe.

We fikiria kwa uonevu wa wazi dhidi ya Prof Assad, uonevu wa wazi dhidi ya yule meneja wa tarula Arusha jana, ni mtumishi gani wa umma atajitolea kuwabeba kijani mbele ya nguvu ya umma???
 
Hivi ni vichekesho,ikulu mtaiiskia tu,wananchi gani wa kuungana na genge la wahuni na waigizaji?

Hivi ninyi watu hamuelewi tu kuwa CCM ni taasisi pana sana ?

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Acha kuweweseka mnatafuta huruma ya Nani? Nyie mtaitwa wapinzani mpaka kiyama,kazi yenu Ni hii kulialia kulaumu kuropoka hovyo hovyo kupinga kila kitu,mnataka Nini zaidi ya hiki? Nyumbu nyie
Kwahiyo sikweli aliyoyaandika?
 
Back
Top Bottom