pesa

  1. JamiiForums Tanzania Ni kweli pesa ilikuwa ngumu kuipata lakini ilikuwa na thamani tofauti na sasa

    Ukweli lazima usemwe hata kama ni mchungu. Kwa miezi kadhaa kabla ya machi 2022, pesa ilikuwa na thamani japo ilikuwa si rahisi sana kuipata kutokana na mirija mingi ya rushwa na ufisadi kufungwa. Leo hii pesa haina thamani. Tsh elfu 10 ni kama sh elfu 1. Bidhaa bei ghali. Tozo kila mahali...
  2. JamiiForums Tanzania App ya Simba ni kama tunapoteza pesa kwenye ada kulipia tupate taarifa na burudani

    Mimi ni mwana-Simba na nilivutiwa sana kuona Simba ikizidi kusonga kidigitali ila hii digitali yao imelala nyuma kama kawaida yetu suala la ICT linakuwa tofauti na kulizika kabisa na mifumo yao. Hii App ya Simba tulitarajia mengi mfano ukilinganisha na app za club nyingine app zao unaweza kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya unene na mtu aliyefanikiwa kimaisha?

    Kuna hii hali mara nyingi naiona kwa watu aidha hata wewe unaweza kuwa umekutana nayo unakuta mtu alikuwa mwembamba labda akaanza kunenepa basi watu hutokea sana kumsifia kuwa mambo yake yamekuwa mazuri. Je, unene ni kipimo cha maendeleo yako kimaisha?
  4. JamiiForums Tanzania Ole Sabaya bado hali ngumu: DPP amkatia rufaa kwenye kesi ya kwanza

    Hii ndio taarifa ya leo iliyoripotiwa na gazeti la Raia Mwema , ni kwamba DPP ameamua kukata rufaa kwa ile kesi ya kwanza iliyowashangaza wengi ambayo pamoja na Sabaya kufungwa miaka 30 Jela , lakini aliachiwa huru katika mazingira ya kutatanisha , baada ya kukata rufaa na kushinda . Tuendelee...
  5. JamiiForums Tanzania Dada kama hutaki kuliwa usipende kula vya wanaume. Tunapata pesa kwa ugumu sana

    Hi Hii ni kwa wadada, wengi wanapenda kitonga, yaani kusaidiwa na wanaume kisha kutoa mzigo hawatoi mpaka utumie nguvu au mbinu za kumvizia. Dunia Iko kasi, watu hatuna muda wa kubebembeza kitu ambacho hakina maajabu. Tunashobokea kabla hatujakipata tu, tukipata tunaanza kujijutia hasa...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Choo cha kukaa hakimalizi haja; Wamasai wa Loliondo wapewe pesa wajenge nyumba zao wenyewe kulinda asili yao

    Kila mtu ana asili yake! Na maendeleo ya mtu ili yawe na maana lazima yaguse asili ya mtu! Ukimtoa masai umasaini aje aishi masaki, hii siyo maendekeo kwake bali ni kashfa na ni kumuua (kumharibu kiasilia na lazima siku atarudi alikotoka) Mtu aliyezoea kunjunga haja yake polini ukimjengea choo...
  7. JamiiForums Tanzania Ili kuondoa matumizi mabaya ya pesa za umma huu ndio wakati wa taifa letu kuwa na katiba itakayowapa wananchi madaraka ya kutawala taifa lao

    Katiba ya sasa ipo wazi kabisa kuwa ni wananchi ndio wana mamlaka kutawala taifa lao la Tanzania na hii ni kwa mujibu wa ibara ya 8(1)(a) ya katiba ya JMT. Sasa mbona hawana mamlaka hayo na wanabaki wanalialia hovyo? Mbona wanalalamika juu ya tozo za ajabuajabu? Mbona wanalalamika kuwa pesa zao...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kuna muda unaweza kuishiwa pesa hadi ukatamani kumkopa mdada wa kazi

    Kufulia hakujawahi muacha mtu salama! Iwe mtu, kampuni au Serikali. Hata serikali pamoja na kwamba inakusanya kila kitu lakini ikiishiwa huwa inawaza kukusanya kodi kwenye barabara na madaraja wakati yamejengwa kwa kodi zao! Kuna wakati vyuma vinaweza kukaza kila kona hadi ukatamani kumkopa...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa Fedha hizi ambazo Simba SC amezikusanya sioni sababu ya Yanga SC Kuushangilia Ubingwa wakati Pesa waipatayo ni Kiduchu tu

    Pesa za Yanga SC Mambwiga ( Washamba ) wa Kudumu FC.... Tsh Milioni 500 za Azam Tsh Milioni 100 za NBC Jumla Tsh Milioni 600 ( na hapa bado Mama Samia hajakomba Kodi yake na akiikomba watabakiwa na Tsh Milioni 74 tu na sijui watagawanaje ) vinginevyo watapigana mno Bakora kama Kawaida yao...
  10. JamiiForums Tanzania Kauli ya "Tutafute Pesa" Ipuuzwe; Kwa Hatma njema Mtafute Mungu wako.

    IPUUZE KAULI YA "TUTAFUTE PESA" KWA HATMA ILIYONJEMA BASI MTAFUTE MUNGU WAKO. Anaandika, Robert Heriel Yule Shahidi! Andiko hili lisomwe na Vijana wote. Usiwe mtumwa wa Pesa. Usiihusudu hata Kama unaambiwa ni tamu. Kamwe usije kujidanganya. Hakuna Raha yoyote ya kuwa na pesa kama huna Mungu...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali: Watumiaji wa Daraja la Tanzanite, Barabara ya haraka Kibaha - Morogoro, Igawa - Songwe -Tunduma kuanza kulipia ushuru

    SERIKALI imesema magari yataanza kulipia fedha yanapopita kwenye Daraja la Tanzanite na katika barabara nyingine mbili za haraka ya Kibaha - Mlandizi - Chalinze - Morogoro (Expressway) na ile ya Igawa - Songwe -Tunduma (Expressway) kwa kuwa zote zina sifa za kutozwa fedha. Kwa jinsi Pesa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania M Pesa/Airtel Money rudisheni pesa yangu

    Hawa jamaa sijui vipi. Nimefanya transaction Jumatano iliyopita, nimemtumia mtu wa Mpesa kwa bahati mbaya miamala ikaenda mara mbili. Nimewasiliana na Airtel Money wanasema wanasema Mpesa itarudisha ndani ya masaa 48. Leo sijaona muamala wowote . Rudisheni pesa yangu tafadhali. Maisha magumu.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Changua RICH but craziee au Normal but respectful

    Ipo hivi na pisi mbili. Mmoja ni mzuri tako lipo and very respectful. Huyu mwingine sio mzuri anatako ila sasa ni mtu wa viwanja na expensive things. Na worse ni wa show off kujipost kila mda ila home kwao zipo za kutosha, macho matatu usual things ila sio chochote sio lolote kwa View ...
  14. JamiiForums Tanzania Ukimtatulia Mwanamke hitaji la kifedha, kinachofuatia ni hitaji la mapenzi

    Habar Wana Jf. Nadhani mmeshawahi sikia mwanamke kapangiwa nyumba nzuri, anapewa mkwanja wa kutosha lkn mwisho wa siku karuka na mtu ambaye Hana mbele wa nyuma. Naam habari ndio hiyo, bilashaka wanaume wote tunajua mwanamke na pesa ni kama uji na mgonjwa, sasa basi wewe mwanaume mwenzangu...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Wanawake kweli wanapenda pesa ila muonekano wako pia ni muhimu

    Habar wakui Kila uzi humu ukimrefer demu kumzingua mtu humu pesa inatajwa sana lkn pia kuna hiki kitu wengi pia wqnakisahau muonekano wa nje. Ushawah kuta mtu ana mapesa kibao ila anagongewa km kawaida kelele huwa nying wanawake hawaeleweki ndio kauli mbiu sasa soma hhapa. Wanawake ni...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Hatukatai kulipa Kodi na Tozo ila inauma sana pesa zetu kuliwa na Watu wachache. Serikali yetu muonee huruma Mama ntilie wa Itigi

    Habari wana JF , Serikali ya awamu sita imeonyesha dhamira njema katika kuleta maendeleo katika nchi yetu . Hicho inakusanya kodi kwa nguvu zote na imeongeza kodi na Tozo Mbali mbali ,yote hiyo ni katika kuhakikisha pesa za maendeleo zinapatikana. Haijaishia hapo imefanikiwa kupata mikopo...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Mbinu za kumdai Pisi kali pesa yako

    Niende moja kwa moja kwenye mada: Ofisini kuna Pisi kali moja Mama SAMIA Intake(Ajira mpya), sasa kuna Workmate mmoja , bado hajaoa, kaanza kumfukuzia mdogo mdogo. Last week bana kapewa kadi ya mchango wa harusi na yule Pisi kali dadake anaolewa hivyo anaomba mchango, Singo elfu 70, Dabo 120...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ni harufu ya ufisadi tu! Mikataba mikubwa ya trilioni ya pesa haiwekwi wazi na wala Bunge hatusikii likihusishwa. Tunaibiwa tushtuke kabla ya 2025

    Huwezi ukaingia mkataba mkubwa kama huu wa kuchakata gesi Lindi kimya kimya kama unaenda kuuza machungwa. Trilioni 70 ni uhai wa taifa letu. Tunatakiwa kuambiwa ukweli juu ya huu mkataba. Ufafanuzi wa kinagaubaga na kujadiliwa na Bunge. Hiyo mikataba iliyosainiwa Oman ni mashaka matupu. Maana...
  19. JamiiForums Tanzania Tahadhari: Ipo siku hewa tunayovuta tutailipia kodi ili ipatikane pesa ya kulipa mikopo chechefu

    Hii mikopo tunayobugia kwa pupa hivi tutakuja kuilipa kupitia puani. Tanzania yakopa Tsh trilioni 2.4 kutoka IMF Muda wa kulipa ukifika, tunaweza hata kuambiwa tulipie hii hewa tunayovuta, maana ni rasilimali ya serikali na tulipe kama tunavyolipa kodi ya ardhi. Unapimwa uzito wako kisha...
  20. JamiiForums Tanzania Riwaya: Mwanamke Uliyekula Pesa Zangu Nakutafuta

    Mwanamke Uliyekula Pesa Zangu Nakutafuta Mwandishi: Mwalimu Makoba Sehemu ya Kwanza Nilipita siku ya Jumatatu huko Mwananyamala katika nyumba za ndani sana. Baada ya kuvuka mitaro mitatu, nikaona nyumba iliyokuwa na baraza kubwa. Hapo barazani alikaa binti mrembo sana ambaye kwa uzuri wake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…