Hi
Hii ni kwa wadada, wengi wanapenda kitonga, yaani kusaidiwa na wanaume kisha kutoa mzigo hawatoi mpaka utumie nguvu au mbinu za kumvizia.
Dunia Iko kasi, watu hatuna muda wa kubebembeza kitu ambacho hakina maajabu. Tunashobokea kabla hatujakipata tu, tukipata tunaanza kujijutia hasa...
Kila mtu ana asili yake! Na maendeleo ya mtu ili yawe na maana lazima yaguse asili ya mtu!
Ukimtoa masai umasaini aje aishi masaki, hii siyo maendekeo kwake bali ni kashfa na ni kumuua (kumharibu kiasilia na lazima siku atarudi alikotoka)
Mtu aliyezoea kunjunga haja yake polini ukimjengea choo...
Katiba ya sasa ipo wazi kabisa kuwa ni wananchi ndio wana mamlaka kutawala taifa lao la Tanzania na hii ni kwa mujibu wa ibara ya 8(1)(a) ya katiba ya JMT. Sasa mbona hawana mamlaka hayo na wanabaki wanalialia hovyo?
Mbona wanalalamika juu ya tozo za ajabuajabu? Mbona wanalalamika kuwa pesa zao...
Kufulia hakujawahi muacha mtu salama! Iwe mtu, kampuni au Serikali. Hata serikali pamoja na kwamba inakusanya kila kitu lakini ikiishiwa huwa inawaza kukusanya kodi kwenye barabara na madaraja wakati yamejengwa kwa kodi zao!
Kuna wakati vyuma vinaweza kukaza kila kona hadi ukatamani kumkopa...
Pesa za Yanga SC Mambwiga ( Washamba ) wa Kudumu FC....
Tsh Milioni 500 za Azam
Tsh Milioni 100 za NBC
Jumla Tsh Milioni 600 ( na hapa bado Mama Samia hajakomba Kodi yake na akiikomba watabakiwa na Tsh Milioni 74 tu na sijui watagawanaje ) vinginevyo watapigana mno Bakora kama Kawaida yao...
IPUUZE KAULI YA "TUTAFUTE PESA" KWA HATMA ILIYONJEMA BASI MTAFUTE MUNGU WAKO.
Anaandika, Robert Heriel
Yule Shahidi!
Andiko hili lisomwe na Vijana wote.
Usiwe mtumwa wa Pesa.
Usiihusudu hata Kama unaambiwa ni tamu. Kamwe usije kujidanganya. Hakuna Raha yoyote ya kuwa na pesa kama huna Mungu...
SERIKALI imesema magari yataanza kulipia fedha yanapopita kwenye Daraja la Tanzanite na katika barabara nyingine mbili za haraka ya Kibaha - Mlandizi - Chalinze - Morogoro (Expressway) na ile ya Igawa - Songwe -Tunduma (Expressway) kwa kuwa zote zina sifa za kutozwa fedha.
Kwa jinsi Pesa...
Hawa jamaa sijui vipi. Nimefanya transaction Jumatano iliyopita, nimemtumia mtu wa Mpesa kwa bahati mbaya miamala ikaenda mara mbili. Nimewasiliana na Airtel Money wanasema wanasema Mpesa itarudisha ndani ya masaa 48. Leo sijaona muamala wowote . Rudisheni pesa yangu tafadhali. Maisha magumu.
Ipo hivi na pisi mbili. Mmoja ni mzuri tako lipo and very respectful. Huyu mwingine sio mzuri anatako ila sasa ni mtu wa viwanja na expensive things.
Na worse ni wa show off kujipost kila mda ila home kwao zipo za kutosha, macho matatu usual things ila sio chochote sio lolote kwa View ...
Habar Wana Jf.
Nadhani mmeshawahi sikia mwanamke kapangiwa nyumba nzuri, anapewa mkwanja wa kutosha lkn mwisho wa siku karuka na mtu ambaye Hana mbele wa nyuma.
Naam habari ndio hiyo, bilashaka wanaume wote tunajua mwanamke na pesa ni kama uji na mgonjwa, sasa basi wewe mwanaume mwenzangu...
Habar wakui
Kila uzi humu ukimrefer demu kumzingua mtu humu pesa inatajwa sana lkn pia kuna hiki kitu wengi pia wqnakisahau muonekano wa nje.
Ushawah kuta mtu ana mapesa kibao ila anagongewa km kawaida kelele huwa nying wanawake hawaeleweki ndio kauli mbiu sasa soma hhapa.
Wanawake ni...
Habari wana JF ,
Serikali ya awamu sita imeonyesha dhamira njema katika kuleta maendeleo katika nchi yetu .
Hicho inakusanya kodi kwa nguvu zote na imeongeza kodi na Tozo Mbali mbali ,yote hiyo ni katika kuhakikisha pesa za maendeleo zinapatikana.
Haijaishia hapo imefanikiwa kupata mikopo...
Niende moja kwa moja kwenye mada:
Ofisini kuna Pisi kali moja Mama SAMIA Intake(Ajira mpya), sasa kuna Workmate mmoja , bado hajaoa, kaanza kumfukuzia mdogo mdogo. Last week bana kapewa kadi ya mchango wa harusi na yule Pisi kali dadake anaolewa hivyo anaomba mchango, Singo elfu 70, Dabo 120...
Huwezi ukaingia mkataba mkubwa kama huu wa kuchakata gesi Lindi kimya kimya kama unaenda kuuza machungwa. Trilioni 70 ni uhai wa taifa letu.
Tunatakiwa kuambiwa ukweli juu ya huu mkataba. Ufafanuzi wa kinagaubaga na kujadiliwa na Bunge.
Hiyo mikataba iliyosainiwa Oman ni mashaka matupu. Maana...
Hii mikopo tunayobugia kwa pupa hivi tutakuja kuilipa kupitia puani. Tanzania yakopa Tsh trilioni 2.4 kutoka IMF
Muda wa kulipa ukifika, tunaweza hata kuambiwa tulipie hii hewa tunayovuta, maana ni rasilimali ya serikali na tulipe kama tunavyolipa kodi ya ardhi. Unapimwa uzito wako kisha...
Mwanamke Uliyekula Pesa Zangu Nakutafuta
Mwandishi: Mwalimu Makoba
Sehemu ya Kwanza
Nilipita siku ya Jumatatu huko Mwananyamala katika nyumba za ndani sana. Baada ya kuvuka mitaro mitatu, nikaona nyumba iliyokuwa na baraza kubwa. Hapo barazani alikaa binti mrembo sana ambaye kwa uzuri wake...
Kuna jamaa yangu ni mtumishi na mkewe pia ni mtumishi. Jamaa analipwa 900k na mkewe analipwa 1.3m ila sasa kodi ya nyumba, bili za umeme na maji analipa mwanaume, na bado ujenzi wa nyumba ni mwanaume apambane, ada ya shule ni mwanaume.
Hivi majuzi imebidi mwanaume amlipie vikoba mwanamke maana...
Najua mada hii inaweza kuwa nyeti kwa baadhi ya watu, hivyo basi samahani sana kwa mtu atakayekereka. Katika vitu vinavyojulikana sana duniani, Pesa inashika nafasi ya kwanza, sababu hadi watoto wa chekechea wanajua umuhimu na matumizi ya pesa kuridhisha hamu zao kununua vitu vya kumung'unya na...
Awamu ya nne tulishudia Jakaya Kikwete akifanya ziara za nje huku akisahau kabisa masuala ya ndani ya nchi yake mpaka akapachikwa jina Vasco Da Gama.
Awamu hii nayo naona ni mwendo uleule. Juzi alikuwa Ulaya. Leo yupo Uarabuni.
Hii ishu ya Uarabuni asingeweza kuwakilishwa hata na balozi!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.