pesa

  1. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KRA imekusanya ksh 476 billion kwa muda ya miezi mitatu. Pesa ambayo TZ inakusanya katika muda wa miezi sita.

    Wadau Kenya inazidi kuonyesha kwamba sisi ndio baba wa ukanda huu hata likija kwenye swala la kukusanya ushuru. Kenya imekusanya ksh 476 billion katika muda wa miezi mitatu tu. Kiwango cha pesa ambacho Kenya inakusanya kwa muda wa miezi mitatu, Inaichukua Tanzania miezi sita kukusanya. Sasa sisi...
  2. The Boss

    JamiiForums Tanzania Zile pesa za mechi ya Simba na Yanga iliyoahirishwa ndiyo zimeliwa?

    Wadau Ile mechi ambayo iliepekwa saa moja usiku halafu Yanga wakagoma wakaondoka. Taarifa yake ya fedha ikoje!?Zile hela zilienda wapi?Au ndo zimeliwa? Kuna anaekumbuka labda maelezo yeyote? Nazungumzia mechi ya Simba na Yanga ilioshindikana kuchezwa huku watu walishaingia uwanjani
  3. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Wanauchumi msaada: hii mbinu ya Mwigulu kuongeza mzunguko wa pesa ipo sawa?

    Bondia wakuu. Mwigulu alisema kuwa pesa zitakazopatikana kwenye Tozo zitaenda kujenga vituo vya Afya nk. Tena akasema watatumia mafundi wa eneo husika ili kuongeza mzunguko wa pesa. Kuwa pesa za tozo zitaenda kuleta neema. Sasa hizi hela za tozo kabla ya kukatwa zilikuwa wapi? Si zilikuwa kwa...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Ni kiwango gani che pesa nahitajika kuwa nazo ili niweze kufungua Pharmacy hapa Dar?

    Nakusalimuni wakuu. Binafsi nina ndoto za muda mrefu sana za kufungua Biashara ya kuuza dawa za binaadamu yani Pharmacy kwa rejareja hapa jijini Dar es salam. Naomba maoni yenu wakuu, ni kiasi gani nahitajika niwe nazo ili niweze kufungua na kuanza hii Biashara. kwa maana ile starting point...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake mmepata mtu wa kuwasemea na kuwainua, sasa achaneni na ajenda za pesa mboga, njooni na ajenda muhimu!

    Kheri kwenu kina mama wote! Niende moja kwa moja kwenye mada. Natumaini sote tunatambua Rais na kiongozi wan chi yetu kwa sasa ni Mwanamke, kama jinsi alivyojipambanua mara baada ta kula kiapo kuwa Yeye ndiye Rais wa JMT ambaye kimaumbile ni mwanamke, nasi tulimpokea na tunaendelea kumuunga...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Hii taarifa ya Tunduru kuwa lazima uchanjwe ndio upatiwe pesa za TASAFU ni kweli?

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida,wapokeaji wa pesa za TASAFU, wameambiwa kuwa ,lazima wachanjwe ,ndio wapokee pesa za TASAFU.Na kama watakataa kuchanjwa, basi hawatapewa pesa hizo. Kwa hali hiyo, wananchi hao wametakiwa kuchanja kwanza ndio, waende kupokea pesa. Yaani unachanjwa kwanza, ndio...
  7. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya ulinzi: mshahara laki 1. Pesa ya kula elfu 30. Mbezi Dar

    Wahi chap nikuunganishe upate hii kazi. night shift kwenye lodge Taarifa muhimu nimeweka juu ukiona mshahara sio size yako acha povu. Mlinzi mlinzi mlinzi
  8. Masibayi

    JamiiForums Tanzania SoC01 Uwekezaji kwa ajili ya Mtiririko wa Pesa (Cashflow investment)

    Nukuu kutoka kwa Bibi; Uwekezaji kwa ajili ya mtiririko wa pesa unajikita katika kukupa kipato mara kwa mara. Hii ni tofauti na ule uwekezaji wa kuongeza mtaji ambapo bidhaa ikishaenda hupati hela mpaka ununue bidhaa nyingine tena. Funzo kutoka kwenye ranchi: Ukienda kuangalia ranchi za...
  9. Mmakedonia

    JamiiForums Tanzania Pesa mkononi mwako kwa njia ya mtandao

    Mfumo ambao dunia imejiwekea wa kumtafsiri mtu na mtu au hata taifa na taifa kupitia vipato vyao (pesa) umekuwa ukiweka maswali mengi sana kichwani kwangu, moja kati ya swali ambalo mpaka leo bado sijapata majibu ni lile lililo kwa watu wengi kwamba "Hela zinatengenezwa wapi? Na ni kozi gani...
  10. aabb

    JamiiForums Tanzania Natengeneza BUSINESS CARDS

    ​Natanguliza heshima kwenu wakuu. Natengeneza Business Cards kama sample zinavyoonekana kwenye picha hapa chini. Kuna aina nyingi sana hapa nimeweka mifano tu. (Vilevile ni pamoja na vitambulisho) Kwa anayehitaji tuwasiliane kwa 0715393111.
  11. Dr Restart

    JamiiForums Tanzania Azam Pesa: Huduma mpya ya kifedha

    Kampuni kubwa na iliyoenea katika nchi ya Tanzania pamoja na nchi jirani 'Bakhresa Group' imeleta sokoni huduma mpya ya kifedha ijulikanayo kama 'Azam Pesa'. Huduma hii ni kama zilivyo huduma nyinginezo za M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa and the like. Ili kuielewa zaidi huduma hii, nitaenda...
  12. sungura23

    JamiiForums Tanzania SoC01 Elimu Fedha (Financial Literacy) itawakomboa watu wengi kiuchumi

    Habari wana JF, poleni na hongereni kwa shughuli za ujenzi wa Taifa letu. Andiko langu litaangazia jambo ambalo halizungumziwi sana ama halionekani wazi wazi lakini lina mantiki kubwa kwenye ukuaji wa uchumi kuanzia ngazi ya mtu mmoja mmoja. Nitaanza kwa kufafanua elimu fedha ni nini, kuna...
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania SoC01 Watoto wasio na uzoefu wa kushika Pesa huwa na matumizi mabaya ya fedha ukubwani hasa kwa BOOM

    Elimu ya kutunza pesa wengi wetu imetushinda. Hakuna umasikini mbaya kama kujutia maisha yaliyopita, kama ungetumia pesa vizuri ungefika mbali. Hii elimu ni muhimu kuwafundisha watoto. Wakipata pesa wasihamaki. Ni kama vike unavyokunywa chai kila siku, hata ukiwa mkubwa chai unakua umeizoea...
  14. Fbn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wanzangu, pesa ndio itakufanya kupata mke yeyote unayemtaka na hata kuwa nao kumi

    Kuna muda mwengine tujikite kutafuta pesa jamani sisi wanaume. Hata ukiwa mzee, mlemavu, sura mbaya ila pesa kama ipo basi ulimwengu huu kila mwanamke unayemtaka utampata. Mambo ya kutongoza sana wakati kapuku yamekwisha.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya Mawasiliano tunaomba mzindue huduma ya kubadili vocha kuwa muamala wa pesa

    Hoja yangu hapa ni kutaka kuwepo na mfumo matika simu utakaomuwezesha mtumiaji wa simu aliyeko katika eneo ambalo halina wakala wa huduma za kifefha aweze kununua vocha na kuzibadili kuwa M pesa,Airtellmoney,Tigopesa n.k na hivyo kumtumia mtu anayehitaji. Mfano Umeenda kijijini kwa shuguli zako...
  16. Pozzers

    JamiiForums Tanzania DC Alberto Msando akopa milioni106 benki ili kuwajengea wamachinga sehemu ya kufanyia biashara

    DC wa Morogoro Albert Msando amesema anakatwa Tsh.Milioni 2.8 kila mwezi kutoka kwenye mshahara wake wa Tsh. Milioni 3.1 kama rejesho baada ya kukopa Benki kiasi cha Tsh. Milion 106 ili kujenga vibanda zaidi ya 700 kwa ajili ya Wamachinga kufanyia biashara. Kinachonisikitisha Mbunge na baadhi...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mrejesho baada ya kumfuata mwanangu P. Sasa yuko nyumbani pesa zinaanza kujaa

    Jumapili nilileta uzi humu nikieleza jinsi wiki iliyopita nilivyopitia ukame wa mpito wa mambo ya shekeli. Nilisema kuwa hii hali sijaiexperience kwa kipindi kirefu. Nikaenda mbali na kusema kuwa mwanangu P ambaye alifanyika baraka sana katika familia yangu mara alipozaliwa. Ukata...
  18. Salumsas

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ugonjwa wa Kisukari: Matajiri wengi wanaangalia pesa zaidi kuliko Afya yako

    Salute Wakuu Utangulizi Wengi mmesikia kuhusu ugonjwa wa Kisukari wengine wakilalamika kuwa na huu ugonjwa hatari au wamekatazwa (hospitali) kutumia baadhi ya vyakula ili kuepuka madhara zaidi ya huu ugonjwa. Trust me I guarantee this is the perfect thread tutaelewa kila kitu hapa na hakuna...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Serikali itwambie ukweli kuhusu inflation na thamani halisi ya pesa. Gharama za maisha zimepanda sana

    Siku hizi ukiwa na shilingi elfu 10, inayoyoma kama upepo, thsmani ya pesa haipo kabisa Maisha ya wananchi yanazidi kuwa juu na magumu. Wakati serikali haikuongeza stahiki za wafanyakazi kwa miaka Sita sasa, lakini imewazunguuka na kuwaongezea TOZO lukuki na kodi Lukuki na hivyo kuifanya...
  20. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kwanini Mbinu za trafiki kupokea pesa ya kung'arisha kiatu ziwe kivutio kwa wenye vyombo vya Moto?

    UTANGULIZI Askari wa Usalama barabarani nikiungo Muhimu Sana kati ya wamiliki wa vyombo vya usafiri na sheria zilizotungwa na bunge katika kudhibiti makosa yote ya usalama barabarani na sambamba na kuakikisha vyombe vinavyotembea ni tu vilivyo salama. JE, NI KWELI ASKARI HAWA WANASIMAMIA...
Back
Top Bottom