Tusimlaumu Raisi kwenye kila kitu. Hakuna mtu nambaye anajua mambo ya pesa, miradi na jinsi ya kuendesha serikali na gharama zake kuliko Makamu wa Raisi Philip Isdor Mpango. Lakini pamoja na ahadi zake za kupambana na ufisadi hajafanya kazi nzuri kupambana na matumizi mabaya ya serikali. Kwasababu Rais amekuwa akitumia ikulu zote kwa shughuli mbalimbali mawaziri wengine na viongozi wengine wameiga hilo na kusababisha matumizi mengi ya serikali yasiyo na msingi.
Ni aibu kuongelea kila siku mambo ya tozo wakati serikali yenyewe haijatoa plan yeyote ya kupunguza matumizi yasiyo ya msingi. Hili jambo la matumizi mabaya limeanza toka wakati wa Hayati Magu na niwe mwazi tu hapa wizara ya fedha iligeuka kuwa wizara ya wasukuma. Ilifika wakati kila sehemu yenye pesa hata msaada kama kiwanda cha Urafiki kilikuwa na msukuma pale ambaye walimweka ili tu kuangalia na kuhakikisha pesa ya China ya Urafiki wanakula wao. Ulikuwa ukipiga simu wizara ya fedha unaweza kuongea kisukuma na kama unabiisha uliza watu walikuwa wanafanya kazi Urafiki kuthibitisha hili kwamba jamaa alikuwa akipiga simu anaongea kikabila!.
Makamu Mpango tunakuomba uwe mkali na kumsadia Raisi badala ya kukaa pembeni kama vile hayakuhusu. Serikali haiwezi kwenda kusimamia miradi ya chini kama hata yenyewe ina matumizi mabaya. Kuna tatiizo la masoko ya mahindi, kuna tatizo la madarasa, na kuna tatizo la Covid lakini bado kuna visemina vya kijinga kila simu Dar wakati Dododma kuna kumbi za bure za serikali. Hii siwezi kumlaumu Raisi pekee maana Makamu wetu alichaguliwa kwasababu kama hizi.