“Klabu yetu ya Simba SC imeachana rasmi na dili la kumpata mshambuliaji wa kimataifa wa Niger Victorien Adebayor, na hii ni baada ya kushindwana kwenye upande wa dau analotaka yeye," Ahmed Ally, Afisa habari na mawasiliano wa Simba Sc.
Chanzo: Dar Mpya Blog
Mapema sana tu hapa hapa JamiiForums...
Salaam
Naomba kutoa maoni yangu kwa huduma mpya ya uwakala wa NMB maarufu kama NMB pesa fasta
Binafsi ninafanya biashara ya uwakala nina miliki mashine ya NMB kwa ofisi moja pia nilifungua biashara nyingine ya uwakala kama sehem ya kuongeza mapato knilifanikiwa kupata pos ya CRDB na nyinginezo...
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema amesema;
"Tunapinga kitendo cha Serikali kutumia fedha za umma kukarabati viwanja vya michezo vinavyomilikiwa na CCM, huu ni ubadhirifu wa Fedha za umma."
"CCM kama wemeshindwa kuendesha viwanja ambavyo walivipora kutoka kwenye...
Tulimsikia Waziri wa Sanaa na Michezo wa nchi hii, Mohamed Mchengerwa, Katika kusoma bajeti yake ya mwaka huu, kuwa analiomba Bunge hilo liweze kuidhinisha zaidi ya shilingi bilioni 10, kwa ajili ya kuvikarabati viwanja hivyo vya CCM, ambavyo alidai kuwa vipo Katika Hali mbaya
Ikumbukwe kuwa...
Complete violation of the constitution of URT.
👇Serikali katika mwaka 2022/23 imetenga kiasi cha Sh. 10 bilioni kwa ajili ya Ukarabati wa viwanja saba vilivyopo katika Majiji, ambavyo ni Jamhuri – Dodoma, Sheikh Amri Abeid - Arusha, Sokoine - Mbeya, CCM Kirumba – Mwanza, na Mkwakwani – Tanga
Isionekane kama ushauri wangu huu ni sababu ya chuki dhidi ya jambazi sabaya lakini ukweli uko wazi kuna njama ya kutakatisha mamillion ya pesa yaliyotokana na ujambazi wa wazi wazi uliofanywa na Sabaya enzi za utawala wa kayafa kupitia mbinu ya michango ya wananchi kugharamia gharama za kesi...
Hapo vip!!
Leo natua kwa huyu mtu anaitwa Tumaini kweka ambaye ni naibu DDP wa serikali,kwanza sitaki nimjue sana kwa sasa napata kichefu chefu.
Niwazi huyu mtu amemgeuza Sabaya kama project ya kujitengenezea pesa kutoka katika kodi za wananchi pasipo Samia kujua hilo.Wananchi na wanaccm...
SUA hao wanafunzi wanaoenda field bila kuwapa pesa za kujikimu mnatuwazia nini?Hili ni swali ninalojiuliza ila hadi sasa hakuna majibu.
Watanzania kazi iendelee.
Katika mambo yanayoonekana kuwa na matatizo ni jinsi baadhi ya vyuo vikuu vinavyotekeleza mambo yake,leo nitaandika mambo...
Wakuu story ni kwamba huyu jamaa kwenye picha amemuua huyo mkewe usiku wa kuamkia leo huko Mwanza ikidaiwa ni baada ya kumkataza mkewe asiende kwenye show ya Mondi.
Baada ya kumwambia asiende kwenye hiyo show ya Nasib Abdul, mke akakaidi akaenda.
Jamaa amempiga risasi saba za kichwa na...
Kwema Wakuu!
Tunakumbushana tuu!
MWANAMKE pekee mwenye mamlaka na uhalali WA kuitaka pesa ya Mwanaume ni Mama yake mzazi na Mke wake tuu, wengine ifanyike biashara.
Kama ni kuuziana muuziane,
Kama ni kununua mnunue iwe Kwa masaa Kwa siku au wiki.
Wanawake msikubali kukaa kwenye mahusiano...
Afisa Elimu Msingi wa Halmashauri ya wilaya ya Tandahimba anawalazimisha walimu kuchangia mitihani ya utamilifu ngazi ya mkoa kwa pesa za kutoka mifukoni mwao. Afisa huyo ajulikanaye kwa jina la Samuel Mshana ambaye amehamia kwenye halmashauri hiyo hivi karibuni akitokea Halmashauri ya wilaya...
Kumradhi wadau naomba mwenye uelewa wa kina kuhusu jambo hili anielimishe kidogo.
Kwa mtazamo wangu kufanya siasa ni jambo ghali sana, hasa unapofanya siasa ukiwa hauna serikali wala wawakilishi wanaopelekea walau upate ruzuku.
Ili ufanye siasa ni lazima uwe na mahali pa kuanzia yaani uwe...
Maake sasa hizi ni dharau, na mateso, vyama wa wafanyakazi vimeshindwa kujua kua ile pesa ndio tunaitegemeaga sana kuinua miradi mikubwa,
Leo hii unipe 33% itanisaidia nini, mbn wabunge wanapewa 100% tena ni hela nyingi sana ndani ya 5yrs?
Mlipe mishahara midogo bado na pensheni mminye...
Kwa ufupi kila nikisikia ile nyimbo ya kijana Diamond aliyoimba na Zuchu, mbo..00 inasimama ghafla.
Vijana tafuteni pesa ili uzeeni mfurahie maisha, ni wewe kuchagua leo uwe na amina, mke wa khalfani n.K
Mahakama ya Wilaya ya Tarime imemuhukumu kwenda jela miaka mitatu aliyekuwa mwalimu mkuu shule ya msingi Mwege iliyopo wilayani Rorya mkoani Mara,Issaya Gwidana kwa makosa 6 ikiwemo la kughushi hundi za shule na kuchukua Sh. milioni 4.965 ambazo ni kwa ajili ya ujenzi wa madarasa...
Leo ijumaa pesa ya Urusi Ruble imezidi kupaa kwa thamani ikilinganishwa na fedha zingine kama dola na Euro. Kwa sasa dola moja ni ruble 57.67.
Ikumbukwe kuwa kabla ya vita dola moja ilikuwa sawa na ruble 82, na mwanzoni mwa vita baada ya Urusi kuwekewa vikwazo lukuki vya kiuchumi, fedha yake...
Habari!
Hii hali ya wanawake kuwa tegemezi imekuwa kubwa sana hasa dunia hii ya tatu. Hata awe mwajiriwa serikalini au sekta binafsi bado utamkuta amejipa haki ya kuwa tegemezi. Yaani wanapenda kupewa kuliko kutoa.
Inafika wakati wanakera, unashindwa kujua kama wana upendo wa dhati kwako au...
Habari
Siku zilizopita nilipost Uzi kuhusu Mtaji wa 25,000 Unavyonipatia laki 4 kila mwezi>>
Watu wengi walitaka kujua jinsi ya kupata Watembeleaji wengi kwenye Blog.
Binafsi natumia njiaa kuu mbili kupata views kwenye blog yangu.
1. Natumia Magroup ya WhatsApp>.
Huwa Na-share Links za posts...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.