Mpesa inakataa kutuma pesa tigo pesa, TCRA waangalieni hawa voda.

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,889
Siku nyingi. Nikijaribu kutuma pesa kutoka Mpesa kwenda Tigopesa inakataa. Inarudiarudia kusema niweke namba ya siri hata mara kumi.

Nahisi Voda wanafanya hili makusudi, labda wana bifu na Tigo. Maana hata kununua airtime tigo kwa kutumia Mpesa haiwezekani.

Kama wana bifu, basi linatukwamisha sisi wateja na ni hujuma. TCRA wachunguzeni hawa jamaa.
 
Back
Top Bottom